text
stringlengths
0
4.5k
Siku hizi Kusadifisha kiowevu mienendo ya magari ni sehemu ya lazima ya…
Angalizo la mapema, kwa wale wenye utata,
Ili kuuulipiza mchana, kwa masaa ya usiku,
Mwezi huu wa fadhila, Na mwezi wa ihsani
Mwezi huu wa ibada, Na kusoma Qur'aani
sio mwezi wa kawaida, Ni mwezi wenye thamani
Mwezi huo wa baraka, Wa amani na imani
ni mwezi wa maagano, shetwani na wanadamu
1 - Kwa Myahudi ili Kuuponya mwili wake ni lazima achukue vumbi la udongo ndani ya kivuli cha choo cha nje, changanya na asali halafu kula" Gittin 69a.
2 -Akitoka mtu nje ya mlango wa choo hapaswi kufanya ngono mpaka asubiri kwa muda wa kutosha kutembea nusu maili, kwa sababu pepo wa choo yuko pamoja naye kwa wakati huo, kama akifanya hivyo (akifanya ngono), watoto wake watakuwa kifafa. "83- Gittin 70a.
ni wa Mungu utukufu,
je kufunga ni wajibu,
wewe huwa ukiswali, na kuomba Mungu wako
anafunga kwa uhuru.
Samson alijitolea maisha yake kwa ajili ya watu wake!
Ipi raha ya dunia?,
yahudi ni kitu gani,
Je kile Libbre David ni nini?? Je ni sehemu ya Talmud?? Ni lugha gani?
Maana kwa njia ya kupiga google nimekuta madai eti nukuu hii ni uwongo mtupu hakuna sehemu kwa jina hili (au jina la kufanana) katika Talmudi popote duniani!
a) Nukuu yako, mkuu, inapatikana katika toleo gani ya Talmudi?
b) wewe umeikuta wapi (yaani Talmudi kwako nyumbani - toleo gani? AU mahali kwenye intaneti kwa kopi-paste - wapi?? AU sauti ya malaika kwako wakati gani? malaika gani?)
c) Je unakubali ya kwamba jina "libbre David" inaonekana zaidi kama Kiitalia lakini haiwezekani kuwa lugha ya Kiyahudi? Unaonaje?
. Namwomba sana mtaalamu wetu wa dini ya Uyahudi na kitabu cha Talmudi atueleze: Je kile Libbre David ni nini?? Je ni sehemu ya Talmud?? Ni lugha gani? Maana kwa njia ya kupiga google nimekuta madai eti nukuu hii ni uwongo mtupu hakuna sehemu kwa jina hili (au jina la kufanana) katika Talmudi popote duniani! Sasa naomba jibu: a) Nukuu yako, mkuu, inapatikana katika toleo gani ya Talmudi? b) wewe umeikuta wapi (yaani Talmudi kwako nyumbani - toleo gani? AU mahali kwenye intaneti kwa kopi-paste - wapi?? AU sauti ya malaika kwako wakati gani? malaika gani?) c) Je unakubali ya kwamba jina "libbre David" inaonekana zaidi kama Kiitalia lakini haiwezekani kuwa lugha ya Kiyahudi? Unaonaje?
WANAFUNZI wawili wa kike wa kidato cha pili katika sekondari ya Enyeitu mkoani Arusha, wametelekezwa katika nyumba ya kulala wageni Dar es Salaam kwa mwezi mmoja sasa.
Wasichana hao wakazi wa Mianziani, Arusha, walifika Dar es Salaam Juni 4 wakifuatana na mwanamume anayejulikana kwa jina la Rwaka au Swai.
Wanafunzi hao Neema Abel (17) anayedai anaishi na mjomba wake, Amos Michael na Tatu Salim (16) aanayeishi na dada yake Aisha Salim, walifika katika nyumba hiyo siku hiyo saa nane usiku na kupokewa na mhudumu Zainabu Abdallah.
Mwandishi wa habari hizi alifika katika nyumba hiyo ya kulala wageni juzi na kuwakuta wanafunzi hao wamekaa nje kama wapo nyumbani tena wakicheza bao na baadaye akazungumza nao.
Awali, mhudumu huyo alidai kuwa mwanamume huyo aliwaandika katika daftari la wageni wanafunzi hao kuwa ni Aisha Salim (Tatu) na Angela Amos (Neema) ambaye alidai mwanamume huyo ni baba yao mdogo na walifika naye jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutembea.
Alisema, baba huyo alikuwa akifika kila siku katika nyumba hiyo na kuwapa fedha za chakula na kulipia gharama ya chumba namba nane walichokuwa wakiishi kwa wiki tatu.
Mabinti hao wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, walidai kuwa, mwanamume huyo ambaye ni mtu wa makamo, alikutana nao Arusha na kuwa marafiki wa kawaida.
Alisema, walipofika jijini, mwanamume huyo aliwaambia waseme kuwa ni baba yao mdogo na kuwaacha kwenye nyumba hiyo naye akaenda kwa mkewe, na akawa akifika mara kwa mara akiwa na rafiki yake na kuwaachia matumizi.
Alisema, kuanzia siku hiyo wamekuwa wakipika chakula pamoja na wahudumu wa nyumba hiyo, huku bado wakiwa na deni la Sh 35,000 na bila kusema fedha wanazochanga kwa ajili ya chakula wanazipata wapi.
Angela alisema, wanachohitaji sasa ni nauli ya kuwarudisha Arusha, ili kuendelea na masomo, kwa kuwa shule wanayosoma ilifunguliwa jana na wamejifunza kutokana na makosa waliyofanya.
Baadhi ya wafanyakazi wa nyumba hiyo, walidai wasichana hao walisitishiwa huduma baada ya mwanamume huyo kuwakuta wakiwa na vijana wadogo na baada ya kusitishiwa huduma, wamekuwa wakitoka usiku na kwenda kwenye kumbi za starehe ili kupata fedha za kujikimu.
1.Hawa wanamiaka chini ya 18 ni watoto
2. Ni wanafunzi
Ashitakiwe kwa mujibu wa sheria za TZ
Watoto wa siku hizi wana tamaa sana. Hii ni dalili kuwa maadili yetu yanakufa maana Wazee ambao ndio wanatakiwa kuwaongoza wanakuwa ndio waaribifu wakubwa wa hao watoto.
watoto wa siku hz
Upi mchango wako kwenye malezi yao?
watu wenye mawazo kama yako ndio wanaoharibu watoto. Mtoto wa mwenzio mwanao. Alaaaaa!
JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu wanne wakazi wa Kijiji cha Iglansoni Kata ya Muhintiri wilayani Singida, kwa tuhuma ya kuvamia Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupora kisanduku cha kura za maoni kisha kuziteketeza kwa moto.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Bi. Celina Kaluba, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti Mosi mwaka huu saa 12.30 jioni katika kijiji cha Iglansoni.
Alisema siku ya tukio watu kadhaa waliokuwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni za CCM za udiwani na ubunge walivamia ofisi za chama hicho kijijini hapo na kupora kisanduku cha kura na kwenda kuzichoma moto.
Alisema wakati kundi hilo la watu wakifanya vurugu hizo, hapakuwa na ulinzi wa kutosha wa askari polisi na kwamba mgambo wa kijiji pamoja na sungusungu waliokuwa wakifanya ulinzi walishindwa kuzuia vurugu hizo.
"Ni kweli hapakuwa na askari polisi, hatuwezi kuenea wote ikizingatiwa kuwa pia kuna upungufu wa vitendea kazi kama vile magari. Hatukuweza kusambaza askari wetu maeneo yote, Iglansoni ni mbali sana karibu kilomita 150 kutoka hapa mjini," alisema Kamanda Kaluba.
Uchunguzi wa awali unaonesha kuwa watu hao walitenda kosa hilo kwa madhumuni ya kuvuruga matokeo ya kura za maoni baada ya kutokea mchuano mkali baina ya wagombea wawili wa nafasi ya ubunge.
Kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya shilingi Bilioni 221, inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania, BoT, Amatus Liyumba, imekwama tena kuendelea leo baada ya mtuhumiwa kukosekana kortini.
Awali kesi hiyo ilipangwa kusikilizwa jana, lakini kutokana na siku ya jana kuangukia kwenye sikukuu ya Idd El Fitr, ikaamuliwa kuwa iendelee leo.
Hata hivyo, Liyumba hakuwepo mahakamani leo kutokana na kukosekana kwa hati ya kumtoa mahabusu.
Kutokana na hali hiyo, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupitia kwa Hakimu Edson Mkasmongwa anayesikiliza shauri hilo, imeamuru kuwa hati hiyo itolewe ili Liyumba aletwe mahakamani hapo Septemba 25 mwaka huu kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali. Wiki mbili zilizopita, Liyumba hakutokea tena mahakamani kwa maelezo kuwa alikuwa mgonjwa.
Aidha, licha ya kutokuwepo kwa mtuhumiwa, mawakili wote wa utetezi na wale wa Jamhuri walikuwepo mahakamani hapo.
Katika shauri hilo, Liyumba anatuhumiwa kutumia madaraka yake vibaya na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 221 kupitia kwenye mradi wa ujenzi wa majengo pacha ya benki hiyo. Wakati huo huo, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, leo amekataa kutaja mashahidi wake na kusisitiza kuwa atafanya hivyo pale tu mahakama itakapomuona kuwa ana kesi ya kujibu.
Mramba aligangamala hivyo leo kupitia kwa wakili wake Hubert Nyange, wakati alipofikishwa kwenye Mahakama ya Kisutu na aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha Daniel Yona na pia Katibu Mkuu wa zamani wa wizara hiyo, Gray Mgonja.
Wote wanakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na kutumia vibaya madaraka yao na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh. Bilioni 11.7.
Wakili huyo akawataja mashahidi hao ambao wote hao anwani zao zinapitia Makao Makuu ya ofisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU).
Baada ya kumaliza kuwataja mashahidi wa upande wa mashtaka wakili Stanstalaus, akaiomba mahakama kutoa nafasi kwa upande wa utetezi nao kutaja mashahidi wao.
Nyange amedai kwa mujibu wa kifungu namba 230 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, ni wajibu wa mahakama baada ya kufunga ushahidi wa upande wa mashtaka kutoa uamuzi kwa upande wa utetezi kutaja mashahidi endapo wana kesi ya kujibu.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi kesho kwa makubaliano ya pande zote mbili ambapo mahakama imetoa muda kwa upande wa utetezi kupitia baadhi ya vifungu vya sheria kuhusu umuhimu wa kutaja mashahidi wa upande wao kama wakili wa serikali alivyoomba.
Jamaa anaumwa nasikiaa..bp inashuka na kupanda kila siku....ameshajuaa nini hatma yake...labda ndio maana anapata woga wa kesi na bp kushuka....pole sana baba...acha haki itendeke kama kweli au kuna walakini katika kesi yako...sababu ya uliyoyafanya huko nyuma
Mtu wa Pwani
ila kwa kweli ni hatari sana huenda ukapata mafungus ya kule ambalo ni jambo la hatari
unajua si kila mtu anauwezo wa kwenda kununua vitu dukani...
Na zilokuweko kwenye fashion ni zipi?
Yaani mtu una hiari kununua G string ya mtumba, hujui ilivaliwa na mtu wa aina gani kwa ajili ya urembo tu.
Chanzo cha mwandishi wa habari wa kujitegemea, Elias Mhegera kumpiga risasi baba mkwe wake kanisasni juzi ni hisia kuwa mzazi wa mwanamke...
Chanzo cha mwandishi wa habari wa kujitegemea, Elias Mhegera kumpiga risasi baba mkwe wake kanisasni juzi ni hisia kuwa mzazi wa mwanamke huyo ndiye chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yao miaka 10 iliyopita. Mhegera ambaye kwa sasa anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu juzi amekuwa katika mvutano na mke wake ambaye waliachana miaka 10 iliyopita.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni amethibitisha kutokea kwa tukio hilo juzi majira ya saa1:30 asubuhi katika Parokia ya Bikira Maria, Kibangu na kueleza kuwa chanzo ni ugomvi wa kifamilia.
“Adrian Mpande alijeruhiwa bega la kushoto na mtu anayedaiwa kuwa ni mkwe wake. Uchunguzi wa awali umebainisha kuwa sababu ni mambo ya kifamilia,” alisema Kamanda Kaganda na kuongeza: “Tunaendelea na uchunguzi na kukiwa na umuhimu tutawaeleza kwa uwazi.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa Mzee Mpande alipigwa risasi mbili wakati akijiandaa kuingia kanisani kwa ibada juzi Jumapili.
AJIRA KWA WATOTO BADO CHANGAMOTO DUNIANI ~ Mzee wa matukio daima
Home » » AJIRA KWA WATOTO BADO CHANGAMOTO DUNIANI
AJIRA KWA WATOTO BADO CHANGAMOTO DUNIANI
Shirika la kazi duniani ILO limetoa wito wa kuimarishwa juhudi za kuangamiza ajira ya watoto ndani ya miaka minane.
Mmoja kati ya watoto 10 kote duniani ni waathiriwa wa ajira ya watoto, na karibu nusu yao wanafanya kazi hatari. Hayo ni kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kazi duniani Guy Ryder.
Ryder amekiri kwamba idadi ya wafanyakazi watoto imepungua kwa milioni 100 tangu mwishoni mwa miaka ya 90, wakati alipozungumza kwenye ufunguzi kongamano la kimataifa kuhusu suala hilo mjini Buenos Aires. Lakini alilalamika kuwa kiwango cha mabadiliko kimepungua sana katika siku za karibuni.
"hatuwezi kubashiri jinsi masoko ya ajira yatabadilika katika siku za usoni, lakini tunafahamu kitu kimoja: hatutaki tena ajira ya watoo na utumwa mamboleo”, alisema Ryder.
Kwa mujibu wa makadirio ya ILO, kuna wafanyakazi watoto milioni 152 na waathiriwa milioni 25 wa ajira ya kulazmishwa kote duniani.
Kongamano hilo, la nne na la aina yake, lilisisitiza kuhusu lengo lake la kumaliza ajira ya kazi ifikapo mwaka wa 2025.
Wito wa Ryder umekuja wakati Shirika la kimataifa la haki za binadamu- Amnesty International likielezea jinsi karibu nusu ya makampuni 28 makubwa duniani bado yanatumia madini ya cobalt ambayo yalichimbwa na wafanyakazi watoto katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa ajili ya kutumiwa kutengeneza betri.
Katika ripoti yake, yenye kichwa Time to Rechearge, kundi hilo la kutetea haki za binaadamu limeyataja makampuni ya Microsoft, Renault na Huawei ya China kuwa miongoni mwa wanaonufaika na ajira ya watoto.
Amnesty inasema watoto wa hadi chini ya umri wa miaka saba wanahatarisha maisha yao na afya yao kutimiza mahitaji ya madini ya Cobalt, kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya betri kwenye magari ya umeme, simu za smartphone na nishati jadidifu.
Ripoti hiyo imeongeza kuwa hakuna kampuni yoyote kati ya hayo 29 yaliyochungzwa, iliyotimiza majukumu yake ya kufichua na kupunguza matukio ya ukiukaji wa haki za binaadamu. Sekta ya kutengeneza magari nchini Ujerumani pia ina hatia, kwa mujibu wa ripoti hiyo. wakati kampuni ya BMW inafanya vyema katika mambo kadhaa” na kuyashinda makampuni mengine, inaendelea kuonyesha mapungufu makubwa. Amnesty pia imesema makampuni ya Volkswagen na Daimler pia wana mapungufu makubwa.
Madai hayo pia yametolewa kwa makampuni mengine makubwa ya vifaa vya elektroniki, ikiwemo Apple, Samsung na Sony, ambayo yanaendelea kunufaika na ajira ya watoto katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, Gerson Msigwa, mwenyekiti huyo wa chama cha upinzani, anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Said Meck Sadiki.
Baada ya kukaa kimya kufuatia uteuzi huo hatimayeLeo Jumapili June 4,2017 Kiongozi wa AICT Wazalendo Zitto Kabwe ametoa ujumbe yafuatayo:
"Nimekuwa naulizwa Sana kuhusu uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama chetu kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Nimekuwa kimya Kwa sababu tumepokea Taarifa za uteuzi kutoka katika vyombo vya Habari. Mwenyekiti yuko nje ya nchi na kutokana na tofauti za masaa bado hatujawasiliana nae. Tutatoa tamko kamili atakapokuwa amerejea nchini.
Ninawataka wanachama wote wa Act Wazalendo wawe watulivu na Kama kuna masuala yanayohusu maamuzi ya vikao vya Chama tutawajulisha.
KUALA LUMPUR: Malaysia yakumbwa na mafuriko. _ Habari za Ulimwengu _ DW _ 14.01.2007
Malaysia imekumbwa na wimbi la pili la mafuriko na hivyo kuzidisha wasiwasi wa raia kuambukizwa maradhi.
Maafisa wamesema watu wawili wamefariki kutoka na homa inayosababishwa na maji machafu.