text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Watu zaidi ya elfu tisini walilazimika kukimbia makazi yao katika jimbo la Johor karibu na Singapore. |
Mkuu wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa Asia Abdalah akizindua shindano la tuzo za uhifadhi wa mazingira zilizoandaliwa na Shirika la hifadhi za Taifa (TANAPA) jana katika kata ya Udekwa wilaya ya Kilolo ,kulia kwake ni meneja ujirani mwema Tanapa Ahmed Mbugi |
Wananchi wa kata ya Udekwa Kilolo wakifuatilia uzinduzi wa shindano la tuzo za uhifadhi wa mazingira za Tanapa |
Maofisa wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wakifurahia hotuba ya mkuu wa wilaya |
Wananchi wakifuatilia kwa makini vigezo vya mshiriki wa shindano hilo |
Baadhi ya washindi wa mwaka jana wakitoa ushuhuda |
Mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah akipanda mti wa kumbukumbu katika shule ya msingi Udekwa |
SERIKALI wilayani kilolo mkoani Iringa imewataka wananchi wa wilaya hiyo kuwa mabalozi wema katika utunzaji wa mazingira na kuwa serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wote wanaokwenda kinyume na maagizo ya uhifadhi mazingira yaliyotolewa na makamu wa Rais Samia Suhulu Hassan . |
Kuwa serikali ya awamu ya tano ipo mbele kuokoa ikolojia iliyoharibika katika mto Ruaha mkuu na tayari makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekwisha unda kikosi kazi cha kunusuru ikolojia ya mto Ruaha mkuu kwa faida ya wanyama na wananchi ambao wanategemea umeme unaozalishwa na mto huo . |
Kauli hiyo imetolewa jana na mkuu wa wilaya ya Kilolo Asia Abdalah katika kata ya Udekwa wilaya ya Kilolo wakati wa uzinduzi wa shindano la tuzo za uhifadhi wa mazingira lililoandaliwa na shirika la hifadhi za Taifa (TANAPA) . |
Alisema kuwa lengo la serikali ya wilaya ya Kilolo si kuwaondoa wananchi wanaolima kwenye vyanzo vya maji na wale wanaolima mabondeni kilimo cha Vinyungu ila serikali inataka wananchi wake kufanya kilimo hicho kwa kuzingatia sheria za mazingira ya kuepuka kulima ndani ya mita 60 kutoka kwenye vyanzo vya maji ama kwenye mapito ya maji . |
Hivyo alisema lazima kila mmoja awe mwalimu wa mwenzake kwa kuhakikisha sheria ya mazingira ya kuacha mita 60 kutoka kwenye vyanvyo vya maji na kingo za maji inazingatiwa na iwapo watashindwa kufanya hivyo kwa kujiwajibisha wenyewe kwa wenyewe serikali itachukua hatua ya kuwawajibisha pasipo kutazamana usoni . |
" Lengo la serikali ni kuona wananchi wake wanafanya shughuli zao za kilimo kwa kuzingatia sheria za mazingira hivyo ni lazima kila mmoja kuchunga sheria za uhifadhi wa mazingira hivyo kila mmoja ahakikishe hakuna anayeharibu mazingira " |
Alisema iwapo mazingira yataharibiwa kwa sasa ni pigo kubwa kwa vizazi vijavyo hivyo kuanzishwa tuzo hiyo ya uhifadhi wa mazingira iwe chachu kwa wananchi kujitokeza kushiriki kulinda mazingira yanayowazunguka . |
Meneja wa ujirani mwema Tanapa Ahmed Mbugi alisema kuwa tuzo hiyo imeanzishwa kwa ajili ya kuendeleza uhifadhi na utunzaji wa mazingira itashirikisha wilaya za Chunya , Mbarali mkoani Mbeya , Wanging'ombe na Makete mkoa wa Njombe kwa mkoa wa Iringa ni Mufindi na Kilolo . |
Mbugi alisema hali ya maji katika mto Ruaha mkuu imeendelea kuongezeka toka kuanzishwe kwa shindano hilo ukilinganisha na miaka ya nyuma miezi kama hii hali ilikuwa ni mbaya zaidi . |
Mzee wa Mshitu: Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Chad na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa |
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete Akutana na Rais wa Chad na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa |
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Chad, Mhe. Jenerali Idrissa Deby Itno katika Ikulu ya nchi hiyo jijini N'Djamena, Chad. |
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni Umoja wa Afrika na Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad Mhe Moussa Fakhi nyumbani kwake jijini N'Djamena |
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni Umoja wa Afrika Mhe Moussa Fakhi nyumbani kwake jijini N'Djamena |
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti Mpya wa Kamisheni Umoja wa Afrika Mhe Moussa Fakhi nyumbani kwake jijini N'Djamena. |
Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jana tarehe 20 Februari 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chad, Mhe. Jenerali Idrissa Deby Itno katika Ikulu yake jijini N'Djamena, Chad. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa pia na Waziri wa Elimu wa Chad Mhe. Ahmat Ghazali Acyl na Waziri wa Fedha Mhe. Diguimbaye Christian. |
Ziara hiyo ya Rais Mstaafu nchini Chad ni muendelezo wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu ya kuwafikia viongozi wa nchi 14 za Afrika za kipaumbele katika kutekeleza mapendekezo ya Ripoti ya Kizazi cha Elimu (The Learning Generation). |
Katika mazungumzo yao, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Deby wamezungumzia janga kubwa linaloinyemelea dunia na hasa nchi za uchumi wa kati na chini ikiwa hakutafanyika mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu. |
Viongozi hao wamezungumzia haja ya nchi za bara la Afrika kuchukua hatua z amakusudi kufanya maboresho na mageuzi makubwa katika sekta ya elimu katika nchi zao ili kuweza kuendana na kasi ya nchi zilizoendelea. Azma hiyo inatokana na stadi kuwa nchi za uchumi wa kati na chini zko nyuma kielimu kwa miaka 50 hadi 70. Aidha, lipo tishio kuwa ifikapo mwaka 2050, kazi na ajira takribani bilioni 2 zitakuwa zimefutwa kutokana na maendeleo na matumizi ya teknolojia (automation). |
Rais Deby amemuhakikishia Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete uthabiti wa azma ya nchi yake kufanya mageuzi makubwa katika sekta ya elimu. Ameelezea utayari wa nchi yake kujiunga na mpango huo wa kufanikisha mapinduzi ya sekta ya elimu ndani ya kizazi kimoja ifikapo mwaka 2040. |
BODI YA PAMBA TANZANIA YATAKIWA KUONGEZA MBEGU MKOANI TABORA. ~ Mzee wa matukio daima |
Home » » BODI YA PAMBA TANZANIA YATAKIWA KUONGEZA MBEGU MKOANI TABORA. |
BODI YA PAMBA TANZANIA YATAKIWA KUONGEZA MBEGU MKOANI TABORA. |
UONGOZI wa Bodi ya Pamba Tanzania umeomba kuongeza tani 148 ya mbegu za zao hilo baada ya wakazi wengi wa Mkoa wa Tabora kujitokeza kwa ajili ya kuoma zao hilo katika msimu wa mwa 2017/18. |
Ombi hilo limetolea jana katika kijiji cha Mwanasimba Wilayani Igunga na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri wakati wa uzinduzi wa msimu ujao wa kilimo cha pamba nchini. |
Alisema kuwa baada ya zoezi la uhamasishaji wa kutoka katika vijiji mbalimbali katika Wilaya ya Igunga, Uyui, Urambo, Nzega na Kaliua watu wamehamasika na kujitokeza kulima zao hilo. |
Alisema kuwa Tabora ndio imechaguliwa kuwa mzalishaji wa mbegu za pamba na kitalu cha taifa kwa ajili ya maeneo mengine nchini na kwa hiyo haitakuwa vema kupanda aina nyingine ya mbegu zaidi ya UKM08. |
Aidha Mkuu huyo wa Mkoa alitoa onyo kwa mkulima yoyote asidiriki kulima mbegu nyingine zaidi iliyopendekezwa na Bodi kwa ajili ya uzalishaji wa Mbegu na kuongeza kuwa kinyume cha hapo akikuta mkulima amepanda mbegu kinyume cha maelezo ya Serikali ataing’oa. |
Kwa upande wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB) Marco Mtunga alisema kuwa katika msimu ujao wa kilimo jumla ya tani 25,000 za mbegu zimetengwa kwa ajili ya wakulima ambapo 11,548 ni aina ya UKM08 na tani 13,452 ni UK91. |
Alisema kuwa kwa upande wa Mkoa wa Tabora mbegu iliyosambazwa ni UKM08 na ndio pekee itakayolimwa kwa sababu ya kuwa kitalu cha Taifa kwa ajili ya kusambaza katika maeneo mengine katika Msimu wa 2018/19 ambapo maeneo yote yatalima aina hiyo mpya. |
Mtunga aliongeza kuwa jumla ya ekari milioni moja na laki tatu zinatarajiwa kupandwa pamba msimu ujao wa kilimo katika mikoa 16 inayolima zao hilo hapa nchini. |
Naye Mkuu wa Wilaya ya Igunga John Mwaipopo alisema kuwa tayari wameshapokea tani 500 za mbegu za pamba ambapo wameshazishambaza katika maeneo yote yanayolima zao hilo. |
Alisema kuwa tayari viongozi mbalimbali wanaendelea kutoa elimu kwa wakulima ili waweze kuzalisha kulinga na sharia na kanuni za kilimo hicho kwa ajili ya kulinda heshima ya Wilaya ya Igunga kuwa kitalu cha Taifa. |
Kansella Angela Merkel achaguliwa tena kwa mara ya nne, Ujerumani _ Radio Taifa |
Kiongozi wa Ujerumani Kansella Angela Merkel amechaguliwa tena kwa mara ya nne kuongoza taifa hilo, huku chama cha itikadiA� kali zaA� uzalendo kikijipatia ushindi wa kihistoria kwenye uchaguzi huo. Hata hivyo muungano wa vyama vya CDU na CSU unaoongozwa na Merkel haukupata uungwaji mkono mkubwa ilivyotarajiwa, japo utasalia kuwa na wajumbe wengi bungeni. Mshirika wa muungano huoA� wa chama cha kisoshalisti cha SDP, umesema kuwa utajiunga na upinzani baada ya kupata pigo kwenye uchaguzi huo. Chama kinachofwata siasa za mrengo wa kulia chaA� AFD kilijipatia ushindiA� muhimu na kuibuka cha tatu kwenye uchaguzi huo. Kilijipatia ushindi huo kutokana na sera zake za kupinga uislamu na kitakuwa naA� viti bungeni kwa mara ya kwanza. Matokeo ya awaliA� yalionyesha kuwaA� chama cha SDP kinachoongozwa na Martin Schulz kilipata kura chache mnoA� tangu vita vikuu vya pili vya dunia. Alisema kuwa matokeo hayo yanamaanisha mwisho wa ushirikiano na muunganoA� wa Merkel, ambaye hana budi sasa kubuni muungano mpya, jambo litakalochukua miezi kadhaa. Imearifiwa kuwaA� huenda kukawa na vyama sita vikuu vya kisiasaA� katika bunge la sasa tangu vita vikuu vya pili vya dunia. |
JUMANNE Usiku Mabingwa Watetezi wa UCL, UEFA CHAMPIONS LIGI, FC Barcelona wako kwao Nou Camp Jijini Barcelona Nchini Spain kucheza na wenzao wa Spain Atletico Madrid kwenye Mechi ya kwanza ya Robo Fainali |
Mechi nyingine ya Robo Fainali Siku hiyo hiyo ni huko Munich, Germany wakati Bayern Munich watacheza na Benfica ya Portugal. |
Barcelona wanaingia kwenye Mechi hii na Atletico Madrid wakitoka kwenye kipigo kitakatifu cha Jumamosi Uwanjani kwao Nou Camp mikononi mwa Mahasimu wao wakubwa Real Madrid waliowachapa 2-1 kwenye Mechi ya La Liga. |
Kipigo hicho kilukuwa cha kwanza kwa Barca katika Mechi 39 chini ya Kocha Mkuu wao Luis Enrique. |
Mbali ya hilo, Barca wanatinga kwenye Robo Fainali hii wakiwania kuwa Timu ya kwanza tangu Miaka ya 1990 kuweza kutetea vyema Taji lao la Ulaya ambalo wao walishindwa kufanya hivyo Mwaka 2010 na 2012. |
Lakini Wachambuzi wengi, hasa wa huko Spain, wamekuwa na wasiwasi na Barca kwa sasa baada ya kuonekana wakiwa goigoi walipofungwa Juzi na Real. |
-Barcelona wameshinda Mechi 6 zilizopita dhidi ya Atletico Madrid lakini katika Mechi yao pekee ya Ulaya, Atletico iliibwaga Barca kwa Jumla ya Bao 2-1 katika Mechi 2 za Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI ya Msimu wa 2013/14. |
Lakini, Kocha Luis Enrique, mara baada ya kipigo toka kwa Real, amesema: “Tushaisahau Gemu hiyo!” |
Ingawa Atletico hawana rekodi nzuri dhidi ya Barca, Timu hiyo ya Jiji la Madrid ni wapinzani wagumu na hasa kwa Mechi za Ulaya na Barca watakumbuka vyema nini walitendewa Msimu wa 2013/14 kwenye UCL. |
Kwenye Hatua ya Robo Fainali ya UCL, kama hii, Barca walitoka 1-1 na Atletico Uwanjani Nou Camp na kunyukwa 1-0 huko Vicente Calderon na kutupwa nje ya UEAF CHAMPIONS LIGI. |
Baada ya Mechi hizi za Jumanne, Jumatano pia zipo Mechi 2 za Robo Fainali za UCL ambapo Paris St-Germain wapo kwao Jijini Paris Nchini France kucheza na Manchester City ya England na nyingine ni huko Germany kati ya Wolfsburg na Real Madrid. |
Marudiano ya Robo Fainali hizi ni Aprili 12 na 13. |
Barua kutoka Dar _ Matukio ya Afrika _ DW _ 21.05.2015 |
Tanzania inaundwa na pande mbili zilizoungana wa mwaka 1964, Tanganyika iliyopata uhuru wake kutoka kwa Muingereza mwaka 1961 na Zanzibar iliyopata uhuru wake mwaka 1963 na kufanya mapinduzi yake mwaka 1964. |
Kwa pamoja, Tanzania inatambulika kama kisiwa cha amani kwenye eneo la Afrika ya Mashariki na Kati, na inasifiwa kwa mchango wake mkubwa kwenye historia ya ukombozi wa mataifa kadhaa ya kusini mwa Afrika na pia ushawishi wake kwenye eneo la Maziwa Makuu. |
Katika safu hii, tunakuletea barua kutoka kwa mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Tanzania, Anaclet Rwegayura, zinazotoa uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa mtazamo wake. |
Mzee wa Mshitu: MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKAZI DUNIANI: SERIKALI KUREKEBISHA SERA KUONDOA MAKAZI HOLELA |
MAADHIMISHO YA SIKU YA MAKAZI DUNIANI: SERIKALI KUREKEBISHA SERA KUONDOA MAKAZI HOLELA |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelekezo kutoka kwa Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule. Katika ujumbe wake wa siku ya makazi mwaka huu Waziri Lukuvi amsesema Serikali imejipanga kurekebisha sera za ardhi na makazi ili kuondoa makazi holela. |
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule. akitoa maelezo kwa mmoja wa wadau waliofika katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kwenye Kilele cha maadhimisho ya siku hiyo leo asubuhi. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akitoa ujumbe wa siku ya makazi duniani mbele ya vyombo vya habari leo, kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelekezo kutoka kwa Afisa Masoko wa Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) Zubeda Masoud. Katika ujumbe wake wa siku ya makazi mwaka huu Waziri Lukuvi ameviagiza vyombo vinavyohusika na upangaji miji kuongeza zaidi kazi ya upimaji wa makazi na kisha kuyaboresha makazi yaliyokwishavurugika. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akiendelea kukagua mabanda ya maonyesho ya taasisi na idara mbalimbali za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelekezo kutoka kwa Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule. |
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akitafakari jambo akiwa katika mkutano huo. |
Serikali inafanya mapitio ya sera mbalimbali zinazohusiana na masuala ya nyumba nchini, yenye lengo la kuweka mfumo wezeshi ambao utarahisisha uendelezaji wa sekta ya nyumba na kuisaidia kuweza kuendelea kufanya vizuri. |
Waziri wa Ardhi, Mheshimiwa William Lukuvi. (Kushoto) |
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi alipokutana na wadau wa masuala ya ardhi wakati leo Tanzania ikiungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani. |
Amesema wizara ya ardhi ipo kwenye hatua za awali za kuandaa muswada wa sheria ya uendelezaji milki ambayo utasaidia kupunguza makazi holela, na kutoa mwongozo wa kuratibu na kusimamia haki za wawekezaji na wapangaji na kusimamia ubora wa majengo na huduma zake. |
Kwa upande wa wadau na waendeleza ardhi nchini wamesema katika kuhakikisha wanasaidia taifa kuepuka ujenzi holela wameweka mikakati maalum ya kusaidia sekta ya ardhi kuimarika nchini.Umoja wa Mataifa uliipitisha na kuitenga kila Jumatatu ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka kuwa ni siku maalum kwa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Makazi. |
Kauli mbiu ya Siku ya Makazi Duniani ni NYUMBA KITOVU CHA MIJI, kauli ambayo inasimamia usalama wa umiliki wa ardhi, upatikanaji wa huduma, vifaa na miundombinu, uwezo wa kumudu gharama za nyumba, kukalika, kufikika, mahali na utoshelevu wa kitamaduni. |
Inakadiriwa ifikapo mwaka 2050 nusu ya wakazi wote duniani watakua wakiishi mjini. |
Odinga ataka usaidizi wa nchi za Magharibi _ Matukio ya Afrika _ DW _ 10.11.2017 |
Katika mchezo huu kuhusu Kuenea kwa Itikadi Kali, tunashuhudia bomu linalipuka katika eneo la maduka makubwa huko Kululaland na maafisa vijana wa polisi Jude na Brenda wanakishughulikia kisa hicho. |
Chifu Awombo amekufa, mwili wake ukiwa katika ukingo wa mto katika shamba la maua. Je aliuliwa na mnyama wa mwituni kama serikali inavyotaka watu wa Chongwe waamini? Ama aliuawa? |
Peter, kijana kutoka familia tajiri anakufa kutokana na kiwango kikubwa mno cha dawa. Wakati uchunguzi unapobaini hakujiua bali aliwekewa sumu, maafisa watatu wa upelelezi wanaanza uchunguzi wao. |
Wangari Maathai,mshika bendera katika kupigania hifadhi ya tabia nchi ,mshindi wa zawadi ya amani ya Nobel amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. |
kutokana na ubongo wake kuwa na mchanga badala ya |
mwenye akili anaweza kuchukua hoja hizi za kipuuzi za huyu |
mzee,sina namna ya ku criticize zaid ya kudharau na kuona ni |
Unakili alafu unakataa. Wewe ni mtu wa namna |
Ninajua kuwa Tanzania ni nchi maskini. Kwa maneno ya |
Kwa kusema waziwazi kama sio CHADEMA na vyama vingine, CCM |
mkakati wa uongozi kiasi cha kufikia watu kuamini kuwa |
kuwa rais. Wewe ndiwe utakuwa mbunge baada yangu na fulani |
Rural and Urban: ILIKUWA NI MBWEMBWE TU ZA KUPANDA JUU YA MTI...MIMI NA MDOGO WANGU |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.