text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
ILIKUWA NI MBWEMBWE TU ZA KUPANDA JUU YA MTI...MIMI NA MDOGO WANGU |
Ni lini ilikuwa hii?...duh ni mbwembwe kweli... na je nani alishinda? |
Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown amewasili nchini Ujerumani jana usiku ikiwa ni ziara yake ya kwanza rasmi toka alipochukua madaraka wiki tatu zilizopita. |
Brown ambaye alipokewa na Kasela wa Ujerumani Angela Merkel alimsifu kansela huyo kwa mchango wake katika kufikiwa kwa makubaliano juu ya mkataba mpya wa Umoja wa Ulaya mwezi uliyopita mjini Brussels. |
Mbali ya kuzungumzia majaaliwa ya Umoja wa Ulaya, pia viongozi hao walisema kuwa mazungumzo yalijikita katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, vita dhidi ya ugaidi na kupambana na umasikini barani Afrika. |
Robin Van Persie Middlesbrough wako kwenye maongezi na mkakati wa kumwania Mchezaji wa Fenerbahce Robin van Persie. |
Tumeuanza mwaka wa 2017 kwa kishindo! |
Dimba kubwa kabisa la kandanda barani Afrika – AFCON linang’oa nanga Januari 14! Na ili kujishindia zawadi murwa kabisa, tuambie ni taifa gani mwenyeji wa michuano hiyo ya Kombe la Mataifa ya Afrika |
Tuma jibu lako sahihi kwa kutumia barua pepe |
Kinachoonekana baada ya kushindwa kufuzu kwa mabingwa hao mara nne wa Kombe la Dunia ni kwamba Chiellini, De Rossi na Barzagli wanaweza kutangaza kuachana na majukumu ya kitaifa. |
Buffon ameshinda michezo 175 akiwa na Italia pia akitwaa Kombe la Dunia mwaka 2006 baada ya ushindi wa changamoto ya mikwaju ya penalti mjini Berlin dhidi ya Ufaransa. Pia Buffon akiwa mlinda mlango namba moja wa Juventus alikuwamo katika kikosi kilichoshindwa kutwaa taji la Ulaya mwaka 2000. |
Aidha Buffon alikuwa katika kichapo cha mabao 4-0 dhidi ya Hispania kwenye Euro 2012. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimksikiliza Mkurungenzi wa Kituo cha Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Zanzibar Ndg, Ameir Sheha akitowa maelezo kwa Naibu Waziri alipowasili katika viwanja vya Kituo hicho huko Mbweni Zanzibar wakati wa ziara yake Zanzibar. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akimsikiliza Mtaalamu Ufundi wa Kituo hicho Dr. Rajeev Aggrwal akitowa maelezo ya mafunzo kwa Vijana wanaojiunga na Kituo hicho kupata Elimu ya Ujasiriamali na baadae kujiajiri mwenyewe baada ya kupata ujenzi kupitia kituo hicho, kilioko katika majengo ya Chuo cha Karume Mbweni Zanzibar. |
Naibu Waziri Ofisi wa Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipitia ripoti ya Kituo hicho baada ya kupata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa Kituo hicho wakati wa ziara yake Zanzibar kutembelea Taasisi mbalimbali. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mpina akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kukuza Ujasiriamali Kutengeneza Nafasi za Kibiashara kwa Vijana Ndg. Ameir Sheha, akimtembeza katika Kituo hicho kujionea shughuli zinazofanywa kutowa mafunzo kwa Vijana wanaojiunga kupata mafunzo ya ujasiriamali. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akimsikiliza mwanafunzi wa Kituo hicho Maryam Omar akitowa maelezo ya utengenezaji wa sabuni na mafuta mafunzo wanayoyapata kupitia Kituo hicho kwa sasa kina Vijana 700 wanapata mafunzo ya Ujasiriamali Zanzibar. |
Mwanafunzi wa Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Maryam Omar akitowa maelezo ya jinsi ya utengenezaji wa bidhaa zitokanazo na maziwa, Samli. Siagi na Chizi ni moja ya mafunzo yanayotolea Kituoni Hapo. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na Vijana katika Kituo hicho. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina akitembelea Kituo cha Ujasiriamali Mbweni Zanzibar akiwa na Mkurugenzi wa Kituo hicho Ndg Ameir Sheha. |
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira akipata maelezo kutoka kwa Kijana anayepata mafunzo kituo hicho jinsi ya kutengeneza mishumaa |
Takukuru Yamsaka Aliyekuwa Mhasibu Wake Kwa Kuwa Na Mali Na Pesa Nyingi - Tanzania - Habari/News _ Hivisasa Blog |
Home › Habari/News › Takukuru yamsaka aliyekuwa mhasibu wake kwa kuwa na mali na pesa nyingi |
Naibu Mkurugenzi wa Takukuru, Brigedia Jenerali, John Mbungo amesema hayo leo Jijini Dar es Salaam na kuahidi kuwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo atazawadiwa Shilingi Milioni 10. |
Mtuhumiwa huyo anadaiwa kujipatia mali hizo kutokana na matumizi mabaya ya ofisi, ikiwemo majumba ya kifahari mawili ya aina ya ghorofa yaliyopo Kinondoni, Nyumba za kupangisha ‘Apartments’ zilizopo Mbweni JKT na Kinondoni Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi ikiwemo Mwanza. |
Mtuhumiwa huyo pia anadaiwa kuwa na viwanja vingi katika maeneo mbalimbali nchini katika karibu mikoa yote nchini. |
Wakati huohuo, Takukuru imesema kuwa wamepokea wito wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla wa kumchunguza aliyewahi kuwa waziri katika wizara hiyo na Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe. Lazaro Nyalandu na kudai kuwa kama watamkuta na hatia atafikishwa mahali panakostahili. |
Waziri Kigwangalla ameitaka Takukuru kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kumchunguza Mhe. Nyalandu aliyehamia upinzani hivi karibuni akitokea CCM kutokana na tuhuma mbalimbali ikiwemo kuikosesha Serikali mapato ya Shilingi Bilioni 32 kwa miaka miwili aliyohudumu kama Waziri wa Maliasili kwa kushindwa kusaini sheria ya tozo kwa hoteli za kitalii. |
Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kushoto) akiwapita walinzi wa Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi Jumamosi. |
Dar es Salaam. Beki wa Al- Ahly, Said Ahmed Shedid amesema mechi ya marudiano itakuwa ngumu kwao kutokana na kasi ya washambuliaji wa Yanga pamoja na uwezekano wa mechi hiyo kuchezwa nje ya Cairo na El Gouna. |
Yanga na Ahly zitashuka uwanjani Jumapili hii kuumana katika pambano la marudiano la Ligi ya Mabingwa Afrika raundi ya kwanza. |
Alisema mechi hiyo itakuwa ngumu kwao kama itachezwa nje ya Cairo na El Gouna, ambako hali yake ya hewa inafanana na ile ya Tanzania. |
Kutokana na vurugu zilizojitokeza kwenye fainali ya Kombe la Super Cup kati ya Al-Ahly na CS Sfaxien na kusababisha polisi 22 kuumia, mechi hizo zitachezwa bila mashabiki. |
Serikali ya Misri imesema mechi zote za Cairo zitachezwa bila ya mashabiki au kucheza kwenye Uwanja wa Jeshi wa jijini Cairo. |
"Nidhamu na kasi yao wanapokuwa na mpira ni jambo inabidi kulifanyia kazi ya ziada kabla ya mechi yetu ya marudiano." |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe akizungumza jijini Dar es Salaam alisema, wizara yake imefanya mawasiliano na Balozi wa Tanzania nchini Misri kwa ajili ya kuhakikisha usalama wa msafara wa Yanga. |
"Nichukue fursa hii kusema kwamba serikali ipo nyuma ya Yanga kwa kuhakikisha inakuwa salama muda wote itakapokuwa Misri kwa ajili ya mechi ya marudiano dhidi ya Al Ahly. |
Tayari uongozi wa Yanga umethibitisha kwamba msafara wa timu hiyo utaondoka nchini kesho kwa ndege ya kuekelea Misri tayari kwa ajili ya mchezo wao. |
Ufalme Wa Mungu Umetengenezwa Kati Ya Wanadamu _ Kanisa la Mwenyezi Mungu |
Katika dunia na ulimwengu, hekima ya Mungu inaweza kuonekana. |
Kati ya vitu vyote na watu wote, hekima Yake inapata matunda mazuri. |
Kila kitu kinafanana na mazao ya ufalme wa Mungu. |
Binadamu anapumzika chini ya mbingu ya Mungu kama kondoo katika malisho ya Mungu. |
Mungu anaweza kupumzika Zayuni tena; mwanadamu anaweza kuishi chini ya uongozi wa Mungu. |
Watu wanaweza yote katika mkono wa Mungu. |
Sio tena wenye vumbi, safi kama jiwe la thamani la kijani kibichi, kila mmoja na sura kama ya mtakatifu. |
Kwani ufalme wa Mungu umetengenezwa kati ya wanadamu wote. |
Mungu anatembea juu ya watu wote, Akigeuza mtazamo Wake kutazama pande zote. |
Hakuna kitu hata kimoja ni cha zamani, hakuna mwanadamu hata mmoja yuko kama alivyokuwa awali. |
Mungu anapumzika juu ya kiti Chake cha enzi, Anajilaza juu ya ulimwengu mzima. |
Vitu vyote vinapata utakatifu wao, na moyo wa Mungu unatosheka. |
kutoka kwa "Tamko la Kumi na Sita" la Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima katika Neno Laonekana katika Mwili |
Iliyotangulia:Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu |
Ni kwa Njia ya Majaribio ya Kuumiza tu Ndipo Unaweza Kuyajua Uzuri wa Mungu Ufafanuzi wa Tamko la Nne Njia... (8) Kumpenda Mungu tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli |
Chuo Kikuu cha Tufts |
Mahali pa mji wa Medford katika Marekani |
Medford ni mji wa Marekani katika jimbo la Massachusetts. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 55,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 4 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 22 km². |
Je unajua kitu kuhusu Medford, Massachusetts kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? |
Tarehe ya kuzaliwa/kufariki 21 Mei 1471 6 Aprili 1528 |
Matumizi kwa mt.wikipedia.org |
Rudishwa kutoka "https://sw.wikipedia.org/wiki/Picha:Albrecht_Dürer_072.jpg" |
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ... |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 Mwaka huu, katika uwanja wa Mwembeyanga Temeke Jijini Dar es Salaam. |
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam jana maadhimisho hayo yataongozwa na maandamano ya Wanawake na wadau mbalimbali, na yataanzia katika Shule ya Msingi Mabatini kuelekea viwanja vya Mwembeyanga. |
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu isemayo “Tanzania ya viwanda, Wanawake ndio Msingi wa Mabadiliko ya Kiuchumi”. |
Kauli mbiu hiyo inalenga kuikumbusha jamii kuhusu umuhimu wa kujenga mazingira wezeshi kwa Wanawake hasa kutambua mchango wao katika kuleta Maendeleo yao na ya jamii kwa ujumla. |
Taarifa hiyo pia imeikumbusha jamii kuhusu wajibu wake ikiwa ni pamoja na kuwashirikisha, kuwaamini na kuwapa Wanawake haki sawa katika nafasi za Elimu, Uchumi na uongozi ili wawe chachu ya mabadiliko yenye lengo la kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. |
Maadhimisho hayo yataambatana na maonesho ya kazi za ujasiriamali yanayoendelea katika uwanja wa Mwembeyanga, ambapo Asasi za kiraia na vikundi mbalimbali vya wanawake vitaonesha bidhaa zao. |
Aidha, Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam wanakumbushwa kushiriki kwa wingi katika maadhimisho hayo ikiwa ni pamoja na kuwa na mikakati ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinanazowakabili Wanawake kuanzia ngazi ya kaya hadi Taifa. |
Querétaro (jina rasmi: Santiago de Querétaro) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Querétaro upande wa kati ya nchi Mexiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 596,450 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 759.9 km². |
Mji ulianzishwa na Waconquistador mwaka 1531. |
Je unajua kitu kuhusu Querétaro, Querétaro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? |
Mwana Wa Afrika: WAFANYABIASHARA KATIKA MANISPAA YA MUSOMA WALALAMIKIA ASKARI WA KIKOSI CHA ZIMAMOTO |
ASKARI WA ZIMAMOTO WAKIWA NA ASKARI POLISI WAKIWA KATIKA OPARESHENI YA KUKAGUA VIFAA VYA KUZIMIA MOTO KATIKA MADUKA |
Wafanyabiashara wa maduka yanayouza bidhaa mbalimbali katika Manispaa ya Musoma wameilalamikia Halimashauri ya Manispaa hiyo kitengo cha Zimamoto kwa kuwasulutisha kufunga maduka yao kwa kile kinachoelezwa oparesheni ya kuangalia maduka ambayo hayana vifaa vya kuzimia moto. |
Wakizungumza na Blogu hii kwa nyakati tofauti Mjini Hapa,wamesema hawapingani na sheria ya kuwa na vifaa hivyo katika maduka yao lakini wanashangazwa na utaratibu unaofanywa na kikosi cha Zimamoto kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuwalazimisha kufunga maduka yao na kukwamisha shughuli za Biashara. |
Wamesema elimu inapaswa itolewe kuhusiana na matumizi ya vifaa hivyo na si kutumia nguvu kubwa na kulazimishwa kufungwa kwa maduka wakati wanalipia ushuru pamoja na mapato mengine ya kuendesha biashara zao. |
"Huu tunajua ni mradi wa mtu pale Manispaa na ndiye anaye toa amri ya kutumika kwa oparesheni hii ambayo si tunaona ni kero kwetu maana kama unavyoona maduka mengi yamefungwa kutokana suala hili,"alisema mmoja wa Wafanyabiashara hao. |
Blogu hii ilifanya jitihada za kufika katika Ofisi za Manispaa ya Musoma ili kafahamu suala hili kwa kina lakini jitihada za kumpata muhusika wa kulizungumzia akuweza kupatikana. |
zuia mtu asiendelee kufanya jambo fulani. |
MAHAKAMA ya Rufaa Oktoba 30 mwaka huu inatarajiwa kusikiliza marejeo ya hukumu iliyotolewa na mahakama hiyo katika kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viki maarufu kama Babu seya na wanawe. |
Baada ya hukumu hiyo, Babu Seya na mwanawe pamoja na wakili wao Mabere Marando waliomba marejeo ya hukumu hiyo. |
Babu Seya na wanawe walidaiwa kutenda makosa 10 ya kubaka watoto wenye umri kati ya miaka sita na minane na makosa mengine 11 ya kulawiti watoto wa kike wenye umri huo huo kati ya April na Oktoba 2003 katika maeneo ya Sinza kwa Remmy, Dar es Salaam. |
Waraka wa kwanza wa Petro - Wikipedia, kamusi elezo huru |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.