text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Johnson aliungana na nahodha wake kwa kuongeza: "Kila mmoja anapaswa kufanya kazi yake: wanapaswa kusahau kile wanachokitafuta na kutoa maamuzi na sio kuruhusu mambo ya zamani yaathiri maamuzi yao. |
"Wanapaswa kutoa maamuzi sahihi bila ya kuangalia yanamhusu nani." |
IDADI YA WAYAHUDI KATIKA COMORO |
Jinsi wengi kuna Wayahudi katika Comoro? |
IDADI YA WAISLAMU KATIKA AUSTRALIA NA NEW ZEALAND Jinsi wengi kuna Waislamu katika Australia na New Zealand? |
IDADI YA DINI FOLK KATIKA POLYNESIA Jinsi wengi kuna Dini Folk katika Polynesia? |
IDADI YA WAYAHUDI KATIKA KAZAKHSTAN, IKILINGANISHWA NA MONTENEGRO Jinsi wengi kuna Wayahudi katika Kazakhstan, ikilinganishwa na Montenegro? |
Wawili hao walionekana wakibwatukiana wakati wa mechi yao ya La Liga, Ligi Kuu ya Hispania waliyoshinda 2-0 dhidi ya Granada jana. |
"Hakuna kitu chochote (kilichotokana na kubwatukiana kati ya Villa na Messi)," Vilanova amesema wakati wa mkutano na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mechi. |
"Yeyote aliyewahi kucheza soka anajua kwamba kujibishana ni kitu cha kawaida, na pia ni sehemu ya mchezo. |
"Matukio kama yale ni dalili kwamba timu iko hai. Kutoambiana kitu kwa manufaa ya timu kunamaanisha kwamba kuna tatizo kubwa". |
Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Sayari wakati wa kuomba kura leo.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii. |
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,Afidu Luambano akizungumza na wakazi wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara wa kuomba kura ya Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura. |
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza wakati wa akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura. |
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa ,amemshika mkono Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura. |
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akimnadi kwa wapiga kura Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura. |
Mbunge wa Mbagala, Issa Mangungu akizungumza na wakazi wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara wa kuomba kura ya Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura. |
Meza kuu na sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi |
Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi akiondoka baada ya kuzungumza na wananchi wa kitongoji cha Sayari wakati wa kuomba kura leo |
Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi. |
Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii. |
Neno La Siku: Hii ni mbegu ya ajabu sana kuliko mbegu zote duniani - Job Mkama - timheaven |
Kama wewe ni mtumiaji wa smart phone na umesumbuka sana jinsi ya kuset internet setting kwenye simu yako basi hili ndo jibu lako. Ili kuset internet kwenye simu yako kwa kutumia mitandao ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Airtel na Zantel) fata hatua zifuatazo kwa mujibu wa mtandao unaotumia ili uwende sawa na huduma ya internet na uepukane na usumbufu wa kutafuta 3G. |
Hizi setting ni kwa mujibu ya mitandao ya simu ya tanzania...nategemea utafurahia na utajifunza kwa hili...na kuna swali lolote usisite kutwambia. |
Bila shaka, Winnie alitarajia safari yao, yeye na Museveni, ya kutoka msituni na kuingia Kampala mwaka 1986 ingemfikisha pia kwenye Ikulu ya Entebbe akiwa mke wa Rais. |
Wakati huo huo, kamanda mwenzao tangu enzi wakiwa msituni Major Victor Bwana, alipelekwa Paris kupatiwa matibabu baada ya kupata ajali mbaya Uganda. |
Kinachomsumbua Museveni leo ni ukweli, mpinzani wake, Kiiza Besigye ndiye aliye na mpenzi wake wa zamani, Winnie Byanyima. |
Winnie, aliyekaa akitibu majeraha ya mahaba kwa miaka mitano baada ya 1986 kutupwa kando na baadae kukutana na Besigye miaka ya 90 mwanzoni, alikerwa na anaendelea kukerwa na tabia ya Museveni kumwandama mume wake wa sasa, Kiiza Besigye. |
TAZAMA MATUKIO YA UZINDUZI WA UKUMBI MPYA NDANI YA MUSOMA MWISHONI MWA WIKI - Shommi B ';if(F.indexOf("img.youtube.com")!=-1){w=' '}z=w+''+titlex+' |
Home » »Unlabelled » TAZAMA MATUKIO YA UZINDUZI WA UKUMBI MPYA NDANI YA MUSOMA MWISHONI MWA WIKI |
TAZAMA MATUKIO YA UZINDUZI WA UKUMBI MPYA NDANI YA MUSOMA MWISHONI MWA WIKI |
MWISHONI MWA WIKI KATIKA MJI WA MUSOMA,KULIFANYIKA UFUNGUZI WA UKUMBI MPYA WA DREM GARDEN RESORT ULIOPO BARABARA YA MKENDO KARIBU NA GEREZA LA MUSOMA,AKIZUNGUMZA KWENYE HAFLA YA UZINDUZI,MKURUGENZI WA UKUMBI HUO,ABASI CHAMBA,ALISEMA SIKU ZOTE ALIKUWA NA NDOTO YA KUFUNGUA UKUMBI AMBAO UTAWAPA WAKAZI WA MUSOMA NA WANAOTOKA NJE YA MUSOMA KUKUTANA NA KUFANYA SHUGHULI MBAMBALI ZINAZOHUSIANA NA UKUMBI IKIWEMO KUPATA CHAKULA CHA KILA AINA NA KUWKARIBISHA WATU WOTE KWAAJILI YA KUPATA HUDUMA |
KAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA(WA KWANZA KUTOKA (KUSHOTO)AKIJIANDAA KUFUNGUA RASMI UKUMBI HUO |
BAADA YA KUFUNGUA RASMI UKUMBI |
IKAJA PICHA YA PAMOJA MKURUGENZI ABASI CHAMBA(WA PILI KUTOKA KUSHOTO)AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA WILAYA YA MUSOMA |
WAZEE WA POMBE KALI |
SPORTPESA YATOA SHUKRANI KWA WANAHABARI, SERIKALI, VYOMBO VYA DOLA NA WANANCHI KUFANIKISHA ZIARA YA EVERTON - Dar es salaam Yetu |
Home » » SPORTPESA YATOA SHUKRANI KWA WANAHABARI, SERIKALI, VYOMBO VYA DOLA NA WANANCHI KUFANIKISHA ZIARA YA EVERTON |
SPORTPESA YATOA SHUKRANI KWA WANAHABARI, SERIKALI, VYOMBO VYA DOLA NA WANANCHI KUFANIKISHA ZIARA YA EVERTON |
Colabo zinaendela kati ya Msami na Chemical, hii ni video ya ‘So Fine’ ambaye ni rekodi ya Msami Ft Chemical, Enjoy |
Wakati shule nyingi hapa nchini zikiwa na utaratibu wa kuwahimiza wanafunzi wa kike kuvaa sketi ndefu wanapokuwa katika mazingira ya shule, huko nchini Ufaransa wao hali ni tofauti. |
Msichana huyo mwenye umri wa 15 alifukuzwa kutoka shuleni hapo na utawala wa shule hiyo uliodai amekiuka sheria za nchi hiyo zinazokataza kuonesha waziwazi ishara za kidini. |
Inavyoelekea mgongano huu unatokana na tafsiri hiyo ya sheria ya 2004 inayozuia raia wa nchi hiyo kuonesha wazi wazi kuwa ni waumini wa dini fulani. |
Msichana Sara yeye anasema sketi yake si vazi la kidini, lakini utawala wa shule unatafrisi sketi hiyo yenye urefu wa hadi juu kidogo tu ya kisigino, kuwa vazi la kiislamu. |
Asante kwa kuchagua tovuti hii ya www.dkmandai.com kuwa moja ya sehemu yako ya kupata taarifa mbalimbali, tambua kwamba tunathamini sana uwepo wako mdau wetu, pia unaweza kuwa karibu nasi zaidi kwa kulike page yetu ya facebook iitwayo Mandai Herbalist Clinic- mhc na utakuwa ukifikiwa na taarifa zetu zote. |
KARIBUNI NYOTE MJE KUONYESHA MAPENZI KWA MTUME WENU. |
Hivi ndivyo wanawake wanavyochangia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume |
Malalamiko ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume yamekuwa yakishika kasi na zimekuwa zikitajwa sababu mbalimbali za tatizo hilo ikiwa ni pamoja na vyakula ambavyo si rafiki kiafya pamoja na tabia ya kujichua. |
Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litampelekea kupotea nguvu za kiume taratibu. |
Mwanamke anapokuwa si msafi, huweza kumsababishia mwanaume matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Uchafu ni moja ya kero wakati wa tendo, hivyo ni wazi kuwa mwanamke akiwa mchafu atamfanya mwanaume apoteze msisimko na uwezo wa tendo la ndoa. |
3. Michepuko / usalitiTabia ya usaliti kwa mwanamke ni chanzo kingine cha mwanaume kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapohisi au kubaini kuwa anasalitiwa. |
HABARI MIFUGO NA UVUVI: ZIARA YA MHE. WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MKOA WA TANGA |
ZIARA YA MHE. WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MKOA WA TANGA |
Mfalme Mohammed VI wa Morocco anasubiriwa nchini Rwanda leo tarehe 18, Oktoba,2016 katika ziara ya siku mbili ya kazi kabla ya kuelekea Tanzania na Ethiopia. |
Mohammed VI anatembelea Rwanda baada ya Rais Paul Kagame kumtembelea katika ufalme mwake mwezi Juni,20 ambapo walijadili uimarishaji wa ushirikiano baina ya nchi mbili na kumvisha Kagame medali ya heshima. |
Ziara hii itakuwa fursa kwa mfalme wa Morocco kualika wakuu wa mataifa kwa kuhudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya anga utakaofanyika nchini Morocco mwezi Novemba,7-18,2016 kama magazeti nchini Morocco anavyoandika. |
DK MANDAI: PATA NAFASI YA KUFAHAMU VYAKULA HIVI MUHIMU KWA AFYA YAKO |
PATA NAFASI YA KUFAHAMU VYAKULA HIVI MUHIMU KWA AFYA YAKO |
Karanga ni moja ya chakula chenye faida pia mwilini, miongoni mwa faida zake ni pamoja na kuimarisha afya ya moyo, kupunguza kolestro mbaya mwilini na kuongeza kolestro nzuri. |
Maharage ya soya yana faida nyingi mwilini, ikiwemo , kuimarisha sukari mwilini, kushusha shinikizo la damu kupambana na ugonjwa wa kisukari, figo, moyo, kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa saratani ya kibofu na magonjwa mengine ya wanawake. |
Dk Kai Gesing kabla ya uzinduzi wa mradi huo, ambao huko chini ya usimamizi wa NHIF kwa Mikoa ya Tanga na Mbeya kwa majaribio. |
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa kuwasaidia kupata huduma bora kwa hakina mama wajawazito na watoto walio chini ya umri wa miaka 5,hususani maeneo ya vijijini. |
.Pichani mmoja wa wanufaika wa mradi KfW akipokea kitambulisho cha kupata huduma za afya kwa niaba ya wenzake 600 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bi Chiku Galawa,wanaoshuhudia pemben kulia ni Mkurugenzi mkuu wa NHIF bwn Imanuel Humba na Dr. Sweya ambaye ni meneja wa Mradi kutoka NHIF. |
Naibu Mkurugenzi Mkuu bwn. Hamis Mdee akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu kuhusu namna ambavyo mradi huo unavyotekelezeka kwa kasi Mkoani Tanga kabla ya kuanza kwa mkutano wa uzinduzi. |
akina mama wajawazito waliowawakilisha wenzao 600 wakati wa kupokea vitambulisho vya huduma za afya wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafadhili wa mradi (kfW) na NHIF. |
Neymar ameshinda tuzo hiyo akiwa amecheza mechi 20 msimu huu na kufunga mabao 19 pamoja na kutoa pasi za mwisho 13. |
Wakati huo huo Kyllian Mbappe ametwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa mara ya pili huku akiwa mchezaji wa pili kufanya hivyo kwenye historia ya ligi ya Ufaransa baada ya Eden Hazard. |
Fahamu jinsi hali ya upweke inavyoweza kuharibu afya yako mara moja |
Hali ya upweke ni moja ya mambo hatari kwa afya mara. Hali hii mara nyingi huchangiwa na kutengwa na jamii. |
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa hali ya upweke huwa na uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa kama vile shinikizo la damu, udhaifu wa kinga ya mwili, lakini pia watu hao huwa katika hatari kubwa ya kupata msongo wa mawazo, shambulizi la moyo na kiharusi. |
Wazee wengi hukumbwa na hali hii mara baada ya kustaafu kwani wengi wao huwa na mtazamo usio wa kawaida kuhusu kustaafu kazi. Wengi hufikiri kustaafu ni kutengana na marafiki, familia na watu wengine na kutafuta sehemu tulivu za kumalizia maisha kwa furaha. Lakini kumbe kufanya hivyo si jambo jema. Ukweli ni kwamba watu ambao wanaendelea kuwa karibu na wafanyakazi wenzao,familia zao, marafiki na ndugu wengine baada ya kustaafu huzidi kuwa wachangamfu na wasio na upweke. |
Ukweli ni kwamba watu wasio wapweke ni wale walio karibu na familia, marafiki na jamaa.Hivyo unaweza kumuokoa ndugu yako au mzazi wako kutokana na tatizo hili la upweke kwa kuamua kuwa karibu naye kila unapopata nafasi. |
Serikali katika mpango wa kupunguza bei ya umeme – Swahili |
Wizara ya miundombinu imetangaza kwamba tangu mwaka ujao kutakuwa na kupunguzika kwa pesa ambazo hulipiwa kwa kununua umeme. Tukio hili ni kulingana na miradi tofauti ya serikali ya kukuza viwanda vya umeme mithili ya mradi wa kuongeza umeme wilayani Gisagara. |
Kuna mpango wa kuongeza Megawatt hizi kwa kiwango cha 199 ili kuwanufaisha raia kwa matumizi ya umeme. |
Kuhusu upunguzaji wa bei ya umeme, waziri Musoni alisema; “Kuna mpango kwamba kuwanzia mwezi Januari 2017 tutakuwa na bei ndogo ya umeme kulingana na leo. Si lazima kusubiri kiwanda hiki kukamilishwa kwani kuna miradi mingine itakayokuwa tayari wakati huo.” |
Kiwanda hiki cha umeme kitaridhishwa na pesa zaidi ya milioni 350 za dola ya Marekani, aliyokusanywa kutoka benki tofauti mithili ya benki ya kukuza maendeleo nchini Rwanda (BRD) na pesa za mwenyewe mwekezaji wa mali kwa kiwanda hicho. |
Taarifa na Onyo Kali Kwa Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo Na.404 la Februari, 29 – Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho “Uchafu wa Ombeni Sefue Ikulu”. _ H@ki Ngowi |
Taarifa na Onyo Kali Kwa Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo Na.404 la Februari, 29 – Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho “Uchafu wa Ombeni Sefue Ikulu”. |
Gazeti la Dira ya Mtanzania, Toleo Na.404 la Februari, 29 – Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye kichwa cha habari kisemacho “Uchafu... |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.