text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
FC. Barcelona wakiwa wanajiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa leo dhidi ya AS Roma ya Italy. |
Alex Oxlade-Chamberlain akimtungua kipa wa Reading, Ali Al-Habsi kufungia bao la kwanza kati ya yote mawili aliyoifungia Arsenal katika ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa 16 Bora Kombe la Ligi England usiku huu Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA |
Mwenyekiti wa Kijiji cha Ilongero, Issa Swedi, alisema tukio hilo lilitokea Jumapili kati ya saa 12:00 jioni na saa 2:00 usiku kwenye korogo la mto uliopo jirani na Shule ya Msingi ya Ilongero. |
Alisema baada ya watoto hao kuchelewa kurudi nyumbani hadi saa moja jioni, wazazi wao walipata hofu wakatoa taarifa kwa mwenyekiti wa kitongoji, ambaye aliongozana nao hadi Kituo cha Polisi cha Ilongero kutoa taarifa juu ya kutoweka kwao. |
Asubuhi, wazazi pamoja na majirani zao walianza kuwatafuta na walipofika kwenye bustani ya baba yao mzee Athumani Jumanne walikokuwa wakimwagilia bustani, waliona alama za viatu aina ya kata mbuga na zingine za buti katika eneo hilo. |
Mwandishi wa habari hizi alishuhudia mama mmoja wa Kizungu anayefanya kazi za kujitolea katika Kituo cha Afya cha Ilongero akilia baada ya kushuhudia miili ya watoto hao, huku akilaani kitendo hicho kuwa ni cha kinyama. |
Kutokana na tukio hilo, wakazi wa kijiji hicho walijazana kwenye chumba cha maiti katika kituo hicho, kufuatilia tukio hilo na kusababisha huduma kituoni hapo kusimama siku nzima. |
Baadaye wanakijiji hao walikwenda kwenye Kituo Kidogo cha Polisi kwa lengo la kumuuua mtuhumiwa aliyekamatwa kwa kulishambulia gari ambalo lilikuwa limembeba kumpeleka kituoni hapo, lakini wote walitawanyika baada ya kutokea askari wa kituo hicho wakiwa na bunduki. |
Afisa Wa Habari wa Azam Fc Jaffer Idd akizungunza na wanahabari. |
Uongozi wa klabu ya Azam umewaonya mashabiki wa timu za Yanga na Simba kuwa wastaarabu na vifaa vya uwanja wao katika mechi zao za wikiendi ijayo. |
Simba na Yanga zitatumia uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao wikiendi ijayo baada ya uwanja wa Uhuru ambao utakuwa na shughuli za kijamii katika siku hizo. |
Simba ndio itakuwa ya kwanza kutumia uwanja huo siku ya Jumamosi itakapo ikaribisha Lipuli wakati Yanga ikicheza na Prisons siku ya Jumapili. |
Kucheza mchezo Bunny Decoration online. Maelekezo kwa ajili ya mchezo Bunny Decoration online. mchezo kwa watoto wadogo. Kuchagua sungura taka, mazingira ya haki. Na admire sungura nzuri zaidi duniani. Soma zaidi... |
Kikosi cha Yanga kinashuka Dimbani Taifa kesho Jumatano kikiwakaribisha walima alizeti, Singida United kutoka Singida katika mchezo wa ligi kuu bara. |
Yanga itakuwa kibaruani ikiwa na kumbukumbu ya kuondoshwa na Singida kwa changamoto ya mikwaju ya penati kwenye michuano ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Namfua. |
Mechi hiyo itaanza majira ya saa 10 kamili jioni. |
karibu sana mzee wa chelsea |
Mwanzo > HABARI ZA ULAYA > SPURS YASHINDA 2-0 UGENINI LIGI KUU YA ENGLAND |
Wakifurahia kwa pamoja ni Harry Kane aliyetokea benchi jana na kumpa pasi nzuri Dele Alli (mbele) kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Swansea City Uwanja wa Liberty. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 12 PICHA ZAIDI GONGA HAPA |
Babu tale ambae alianza kama msanii wa vichekesho akiigiza sauti za watu maarufu amesema alikuwa na uwezo wa kuigiza sauti zaidi ya 100 licha ya kwamba concentration yake baadae ilianza kupotea taratibu |
Hata hivyo mkali huyo ambaye amezaliwa December 31, mwaka 1982 amesema aliweza kufahamiana na Madee walipokutana Morogoro kwenye show wakati huo msanii wa kizazi kipya Madee anatamba na nyimbo yake inayoitwa “Mungu wasemehe masela” ambayo alifanya na TID. |
Makocha, Muingereza Dylan Kerr wa Simba SC (kulia) akizungumza na Hans van der Pluijm (kushoto) Uwanja wa Amaan, Zanzibar jioni ya leo wakati timu zilipokutana kwa ajili ya mazoezi kujiandaa na mechi za Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi kesho |
MATOKEO YA MTIHANI MWAKA 2016 WILAYA YA LUSHOTO |
dj sek: MIILI YA ASKARI WATATU WA JESHI LA POLISI WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA YAAGWA |
MIILI YA ASKARI WATATU WA JESHI LA POLISI WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA GARI ILIYOTOKEA WILAYANI IKUNGI MKOANI SINGIDA YAAGWA |
Mbona hata Karume asili yake ni Msumbiji na bibi yake chotara wa kisumbiji na Oman, pia Magufuli asili yake ni Rwanda kabila ya Hutu, mama yake ni chotara wa kisukuma na bukoba, pia mimi... |
Next Story → Kocha wa zamani wa Yanga amefariki Dunia nchini Malawi |
Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia hat trick timu ya vijana chini ya umri wa miaka 21 ya England katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Norway usiku wa jana kuwania tiketi ya Euro 2017. Mabao mengine ya England yalifungwa na Nathaniel Chalobah, Ruben Loftus-Cheek na Lewis Baker, wakati la kufutia machozi la Norway lilifungwa na Ghayas Zahid mjini Colchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA |
MBAO... _ MTAA KWA MTAA BLOG |
Kwa kuenzi utajiri wetu wa maliasili na wanyama. |
WIZARA YA KILIMO YANG'ARA TUZO ZA UTEKELEZAJI WA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI 2017/2018 |
JAFO ATOA WIKI MBILI KWA WAKURUGENZI KUBAINISHA MAENEO YA UJENZI WA MADARASA |
MATOKEO YA KOMBE LA DUNIA! |
BLOG RASMI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA.: UWANJA WA NAMFUA WATOA MATUMAINI KWA WANA SINGIDA. |
Dkt. Nchimbi amesema anaridhishwa na kasi ya utengenezaji wa uwanja wa Namfua unaomilikiwa cha chama cha Mapinduzi Mkoa wa Singida huku akiupongeza uongozi wa CCM mkoa wa hatua ilipofikia uwanja huo kwakukwa ni tegemeo la fursa nyingi hasa za wajasiriamali wadogo. |
Kundi la watu wanaojidai kuwa wapiganaji wa Kiislamu limeweka video mtandaoni likidai uwepo wa wa wapiganaji wa Kiislamu nchini humo. |
Mwandishi wa BBC anayeangazia masuala ya usalama Afrika, Tomi Oladipo, anasema hakuna ushahidi wa uhusiano wa moja kwa moja kati ya wapiganaji hao na kundi la Islamic State. |
VIJIMAMBO: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI |
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Luteni Jenerali Wynjones Mathew Kisamba (kushoto) ambaye alimtembelea Makamu wa Rais ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam. |
BLOG RASMI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA SINGIDA.: UZINDUZI WA MASHINDANO YA UMISETA MKOANI SINGIDA KATIKA PICHA |
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dokta Angelina Mageni Lutambi akiwaasa wanafunzi kutoka shule mbalimbali za sekondari Mkoani kuwa na nidhani katika michezo na kufanya bidii kwakuwa michezo ni ajira. |
Katibu Tawala Msaidizi sehemu ya Elimu Florian Kimolo akisalimiana na moja ya timu kabla ya mechi kuanza. |
Mechi ya Mpira wa Miguu kati ya wasichana wa Shule ya Sekondari ya Ikungi na Mkalama Ikiendelea. |
Upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umetishia kuandamana kupinga uchaguzi wa Desemba 23 kufuatia hatua ya Tume huru ya Uchaguzi na Mahakama ya Katiba kuamua kuzuia wagombea kadhaa wa upinzani ikiwa ni pamoja na kiongozi wa zamani wa kivita Jean-Pierre Bemba kuwania katika uchaguzi ujao. |
Mapema wiki hii Mahakama ya Katiba ilithibitisha hatua ya Tume huru ya Uchaguzi kumzuia Jean- Pierre Bemba kuwania katika uchaguzi wa urais wa Desemba 23 na kusema kuwa hana vigezo vya kugombea nafasi ya urais kufuatia hukumu aliyopewa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa kosa la kuhonga mashahidi.. |
Jumanne wiki hii chama cha MLC kilitoa wito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu "kuweka mambo sawa" kuhusu sheria inayomhukumu Bemba kwa kosa la kuhonga mashahidi. |
Hii ni "tafsiri potofu za sheria ya ICC ili kumzuia Bw Bemba katika uchaguzi wa urais wa Desemba 23, 2018," katibu mkuu wa chama cha MLC Eve Bazaiba ameandika katika barua iliyowasilishwa kwa Bibi Fabienne Chassagneux, mwakilishi wa ICC nchini DRC. |
Chama cha MLC cha Jean-Pierre Bemba kimetangaza kuwa kitatangaza baadaye tarehe rasmi ya maandamano hayo , kufuatia uamuzi wa mahakama ya katiba kuondoa jina la mgombea kwenye nafasi ya urais Jean-Pierre Bemba katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo. |
KWA SIMU TOKA LONDON : Mahojiano na Janet Chapman - Nini Faida ya Ujenzi wa Ramani za Vijijini Afrika? |
KWA SIMU TOKA LONDON – Mahojiano na Janet Chapman – Nini Faida ya Ujenzi wa Ramani za Vijijini Afrika? https://www.youtube.com/watch?v=vmPk-vLtjD4&t=18s Janet Chapman ni kati ya Waingereza wanaojitolea (bila malipo ), miaka mingi kujaribu kusaidia Afrika, hususan Tanzania. Akiwa mwanachama wa Shirika la Misaada ya Maendeleo Tanzania (TDT) na Jumuiya ya Waingereza na Watanzania (BTS) karibuni amejihusisha na suala la kutokomeza Ukeketaji. Katika mahojiano na "Kwa Simu Toka London" Mei 11, 2017 anafafanua mradi mpya wa kujenga ramani vijijini Tanzania, yaani "Mapping". Je maana na faida yake ni ipi? Kufaidi zaidi mahojiano bofya CC dirisha la You Tube upate maelezo yaliyoandikwa kitaaluma kuelewa kinachosemwa. |
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUWAKILISHWA NA DKT. MWIGULU NCHEMBA KATIKA TAMASHA LA PASAKA 2018 KANDA YA ZIWA - HABARI ZA JAMII |
Home / Burudani / MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUWAKILISHWA NA DKT. MWIGULU NCHEMBA KATIKA TAMASHA LA PASAKA 2018 KANDA YA ZIWA |
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU KUWAKILISHWA NA DKT. MWIGULU NCHEMBA KATIKA TAMASHA LA PASAKA 2018 KANDA YA ZIWA |
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akitoa ufafanuzi juu ya ujio wa mgeni rsmi ambaye ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu ambaye atawakilishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu Nchemba. Pembani ni Mtatibu wa Tamasha hilo, Jimmy Charles (kushoto). |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka 2018 linalotarajiwa kufanyika Kanda ya Ziwa ambapo Aprili 1 itakuwa Uwanja wa CCM-Kirumba na Aprili 2, 2018 ni Simiyu. |
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ameyasema hayo leo wakati akiongea na wanahabari jijini Dar es Salaam kuwa wamejiandaa vya kutosha na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu atawakilishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Mwigulu Nchemba. |
"Sisi tumejiandaa vya kutosha Tamasha la Kutosha Mwaka huu ni moto hakuna haja ya kukosa kuhudhuria, waimbaji wamejiandaa vya kutosha kila na upande wa usalama umekamilika vizuri," anasema Msama. |
Malunde1 blog leo Oktoba 08,2017 inatimiza umri wa miaka MITANO tangu kuanzishwa kwake tarehe 08.10.2012. |
Lengo: Kuchapisha habari za ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga. |
Waendeshaji: Waandishi wa habari |
ASANTE KWA KUENDELEA KUTUAMINI KWA HABARI ZA UKWELI NA UHAKIKA KWA MUDA MUAFAKA |
Wananchi wakiongozwa na wanaharakati nchini Kenya leo wamefanya maandamano jijini Nairobi kwa lengo la kupinga kukithiri kwa ufisadi nchini humo. |
Hata hivyo, wananchi hao waliokuwa wanaongozwa na wanaharakati kadhaa maarufu walilazimika kutimua mbio baada ya jeshi la polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya kwa kufanya maandamano bila kibali. |
Waandamaji hao walikuwa wamebeba mabango mbalimbali yanayoshinikiza kukomeshwa kwa vitendo vya ufisadi nchini humo huku wakiwataka viongozi wa nchi hiyo kutangaza mali zao. |
Maandamano hayo yalikuwa sehemu ya kampeni maalum ya kupinga ufisadi iliyopewa jina la ‘KnockoutCorrupition’ iliyopata umaarufu zaidi kupitia mtandao wa Twitter. |
Baadhi ya waandamanaji walijikuta wakiambulia kipigo kikali kutoka kwa wana usalama. |
Msiba wa Marehemu Amina Athumani Mwandishi wa Habari za Michezo Gazeti la Uhuru na Mzalendo Kisiwani Zanzibar. _ H@ki Ngowi |
Msiba wa Marehemu Amina Athumani Mwandishi wa Habari za Michezo Gazeti la Uhuru na Mzalendo Kisiwani Zanzibar. |
Katibu wa Kamati ya Kombe la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Ndg Khamis Said akimfariji Mume wa Marehemu... |
H@ki Ngowi: Msiba wa Marehemu Amina Athumani Mwandishi wa Habari za Michezo Gazeti la Uhuru na Mzalendo Kisiwani Zanzibar. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.