text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Ni muigizaji maarufu wa filamu hizo na tayari ameshaigiza zaidi ya filamu 300. |
Kwa mujibu wa jarida la National Enquirer la Nigeria, Oganiru anakabiliwa na kesi nzito ya mauaji ya mke wake mfanyabiashara bilionea aliyekuwa akiishi Abuja. |
Huyo hakuwa mke wake wa kwanza kwani mke wake wa awali naye alikufa katika mazingira yasiyoeleweka miaka kadhaa iliyopita. |
Inadaiwa kuwa baada ya kifo cha mke wake aliyezaa naye watoto wawili wa kiume, alijikuta katika maisha magumu kiasi cha kukosa hata hela kununua chakula na ndipo alipokutana na mwanamke huyo aliyemwimbisha na kueleweka hasa kutokana na sura yake kuwa maarufu kwenye filamu. |
Ripoti inasema kuwa baada ya kuishi pamoja na kuoana na mwanamke huyo, Rich alianza kulalamika baada ya mkewe kushindwa kushika mimba. |
Inaendelea kudai kuwa mke wake alimwamini na kumfanya awe mmiliki wa baadhi ya mali zake na kuwa mwamuzi wa mambo ya kifedha kwenye kampuni yake. |
Baadaye Rich aliingiwa na tamaa na kuanza kuwa na uhusiano na msichana mdogo aitwaye Iyake. |
Happy Birthday Mama Iqra Nakuombea Mwenyeezi Mungu akujalie afya njema wewe na familia yako, na zaidi ya yote akujalie baraka zake kwa kadri ya mahitaji yako. Shamim, a.k.a Zeze ni mwana mitindo anapatikana hapa |
Hongera kwa siku ya kuzaliwa mama Iqra Mungu akulinde |
ALLAH AKUJALIE ZAIDI NA ZAIDI YA HIYO ULIYOFIKIA LEO INSHALLAH |
Hali imeonekana kuwa nzurio kutokana na Manchester United kuendelea kuboronga na safu yake ya ulinzi kuwa nyanya. |
Mechi iliyopita Man United imefungwa mabao 5-3 na Leicester City ikiwa ni bada ya kuongeza kwa mabao 3-1. |
Picha unayoiona, inaonyesha kiasi gani safu yake ya ulinzi inacheza shaghalabagala. Wachezaji hawakai katika sehemu zao. |
Ukiachana na hivyo, katika picha hiyo kuna wachezaji saba wa Man United na watatu tu wa Leicester City lakini bado waliweza kuleta madhara. |
Kitu kikubwa cha tatu, katika wachezaji saba wa Man United, hakuna hata mmoja aliyemkaba mchezaji mmoja tu kati ya watatu wa Leicester City. |
Hayo ndiyo sehemu ya madudu ya safu ya ulinzi ya Man United. |
Ligi Kuu ya England (EPL) ipo katika hatua ngumu, ambapo kwenye mzunguko wa 27 Liverpool wameshinda kwa tabu huku Tottenham Hotspur wakipigwa. |
Vita ya nafasi nne za juu inaelekea kuwa ya aina yake, ambapo Liverpool wakicheza nyumbani ilibidi wafanye kazi ya ziada kuweza kuwafunga Swansea 4-3. |
Haikuwa rahisi kufikia hatua hiyo, na ilibidi kusubiri hadi dakika ya 74 kwa Reds kujipatia bao la ushindi kupitia kwa Jordan Henderson ambaye pia alifunga bao jingine awali dakika ya 20. |
Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Daniel Sturridge mapema katika dakika ya tatu nay a 36 huku Luis Suarez akikosa fursa za kufunga. |
Kocha Chris Hughton alikuwa na furaha kubwa kutokana na ushindi wa 1-0 kwa bao la Robert Snodgrass dakika mbili baada ya kipindi cha pili kuanza, kwani alipoteza mechi kadhaa zilizopita na kuwa katika nafasi isiyo nzuri. |
Ushindi wa Norwich umetia doa kubwa kwa Spurs wanaopigania nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi ili kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya (ECL). |
Kwa matokeo ya mechi za Jumamosi na Jumapili hii, Chelsea wanaendelea kuongoza wakiwa na pointi 60 wakifuatiwa na Arsenal pointi moja pungufu na Manchester City wenye pointi 57 na mchezo mmoja mkononi. Liverpool wana pointi 56 wakifurahia nafasi ya nne. |
Manchester United wameshindwa kupata ushindi kwenye mechi yake ya tatu katika Ligi Kuu ya England (EPL), tofauti na utabiri wa kocha Louis van Gaal kwamba wangeanza kushinda Jumamosi hii. |
Walitoshana nguvu na Sunderland kwenye mechi iliyopita wakati ileya funga dimba katika Uwanja wa Old Trafford walifungwa 2-1 na Swansea, ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya Swansea kuwafunga United kwenye EPL. |
Burnley waliwabana Man U na nyota wao Di Maria aliyesajiliwa kwa pauni milioni 59.7 na kuvunja rekodi ya Uingereza, na mechi ilikuwa ya kuvutia kwenye dimba la Turf Moor. Van Gaal amesema anahitaji muda zaidi kwa sababu anajenga timu mpya, ila asichojua ni iwapo atapewa muda huo. |
Di Maria alicheza kwa dakika 70 kabla ya kubadilishwa na Anderson, lakini pia Van Persie naye alitolewa dakika ya 73 na nafasi yake kuchukuliwa na Danny Wellbeck anayetarajiwa ama kuuzwa au kutolewa kwa mkopo. Juan Mata aliumia na kwenda nje, nafasi yake ikichukuliwa na chipukizi Adnan Januzaj. |
MAFURIKO KATIKA WILAYA YA RUFIJI MKOANI PWANI ENEO LA MTO WA MUHORO |
HIVI NDIVYO HALI ILIVYO RUFIJI MAFURIKO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA |
ILIVYOKUWA IBADA YA JUMAPILI 26/03/2017 BISHOP DR JOSEPHAT GWAJIMA |
Msanii wa filamu Shamsa Ford amefunguka na kusema kitendo cha kumsifia msanii mwezake wa filamu Irene Uwoya kuwa ndiye mwanamke mzuri kuliko wanawake wengine wote wa bongo movie na bongo fleva watu wametokwa na mapovu na kuanza kumtukana. |
"Yaani jana kusema huyu mwanamke ni mzuri kuliko wanawake wote wa Bongo movie imekuwa shida.Yaani mpaka mnanitumia message za matusi? Binadamu nyinyi ni watu wa ajabu sana aisee..Huu ndo ukweli mbishe na mkatae kwa upande wangu na nyinyi wote mnaokubali moyoni halafu machoni mnakataa huyu ndo mzuri..Hana kasolo hata moja kwa vitu vya muonekano..Amejaaliwa na Mwenyezi Mungu kuanzia juu mpaka chini. Mimi huwa nalionaga kama lijini" alisema Shamsa Ford |
CHUO KIKUU ARDHI KUKABIDHI ANDIKO LA MBINU MKAKATI ZA KUTHIBITI ATHARI ZA MAJI YA MVUA KWENYE BONDE LA MTO MBEZI JIJINI DAR ES SALAAM. _ Ardhi University |
Bw.Given Mhina kutoka Chuo Kikuu Ardhi akitoa maelezo juu wa mradi huo. |
Mmoja wa mshiriki wa mradi huo kutoka Addis Ababa akichangia mada. |
Picha na Iframes- Native msaada kwa ajili ya picha na iframes ( youtube, vimeo, google map ...). |
Fahari ya macho!!! |
Faru Fausta Atikisa Bunge..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 7/4/2017. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe magufuli akiwa ameambatana na mgeni wake Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza aliewasili mapema leo katka uwanja wa mpira wa Lemela mjini Ngara,Rais Dkt Magufuli amempokea Rais Nkurunziza akiwa kwenye ziara yake kikazi mkoani Kagera. |
Aidha Rais Nkurunziza baada ya kupokelewa na Mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli,alipata wasaa wa kuwasalimia wananchi mbalimbali waliofika kumpokea katika uwanja huo wa mpira mjini Ngara. |
Jeshi la polisi limedai kwamba limeuamajambazi wawili hatari na kukamata bunduki tisa, kati ya hizo SMG saba, shotgun moja na riffle moja, risasi 473 na magazini 16 baada ya majibizano ya risasi katika misitu ya Milima ya Usambara, Kijiji cha Magamba wilayani Lushoto. |
Katika majibizano hayo, pia polisi walidai kukamata bendera zenye maandishi ya lugha ya Kiarabu, redio saba za upepo na soksi za kuficha nyuso. |
Alisema katika tukio hilo, askari wawili walijeruhiwa kwa risasi. Marijani ambaye alikuwa katika milima hiyo inayodaiwa kuwa ngome ya majambazi hao, aliwataja waliouawa kuwa ni Mudrick Abdi (24) maarufu kwa jina la Osama, mkazi wa Mbagala Majimatitu Dar es Salaam na Sultan Abdallah (24) mkazi wa Kiembesamaki, Zanzibar. |
Wajumbe hawa wamesahau kabisa kuwa Bunge hilo ni la kihistoria na nchi yetu haijawahi kuwa na bunge kama hili tangu tupate uhuru 1961. |
Siku ambayo Rais Jakaya Kikwete alitangaza majina ya wajumbe 201, wapo wananchi walioponda uteuzi huo, lakini binafsi nilijua kipimo cha walioteuliwa kwa Watanzania ni hoja watakazokuwa wakitoa katika vikao vya bunge hilo. |
Nilijua wazi kuwa hata wale wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wale wa Baraza la Wawakilishi, wataweka uzalendo mbele na kuacha masilahi ya vyama wanavyotoka. |
Lakini imekuwa tofauti. Baadhi ya wajumbe hao wamedhihirisha kuwa wapo mjini Dodoma kwa ajili ya kulamba posho na kutetea masilahi ya vyama vyao vya siasa. |
Wengi wamesahau kuwa wamechaguliwa na kuteuliwa kwa ajili ya kuwawakilisha Watanzania milioni 43 ndani ya Bunge hilo. |
Baadhi yao badala ya kujadili masuala ya msingi wamekomalia nyongeza ya posho kwa madai kuwa wanayolipwa sasa ya Sh300,000 kwa siku, ni kiduchu na haitoshi kwa sababu gharama za maisha mjini Dodoma zimepanda. |
Lakini nyumba za kulala wageni hapa Dodoma zinapangishwa kwa kati ya Sh20,000 hadi 80,000, chakula cha kawaida Sh6,000, kukodi teksi ni kati ya Sh3,000 hadi 6,000 sasa nyongeza hiyo ya posho ni kwa ajili ya nini? |
Mwanzo Mpangilio Orodha Balozi na Mashirika ya Kimataifa Balozi ndogo za Tanzania nje Germany |
Utafiti umeonyesha kuwa unywaji kahawa una faida kubwa kwa mwanadamu. |
Mtu anaekunywa vikombe vitatu hadi vinne vya kahawa kwa siku,huishi kwa muda mrefu ukilinganisha na asiekunywa kabisa. |
Utafiti uliofanywa katika chuo kimoja mjini London umeonyesha kuwa mtu mwenye kunywa kahawa huwa na uelewa zaidi ukilinganisha na asiekunywa. |
Wanawake wajawazito pia hufaidika kwa wingi. |
Ripoti zinaonyesha kuwa faida za kunywa kahawa ni kubwa kuliko hasara. |
Matukio ya Rais Magufuli mkoani Shinyanga |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. |
12 DUA YA KUINGIA NYUMBANI |
[Kwa jina la Mwenyezi Mungu tunaingia, na kwa jina la Mwenyezi Mungu tunatoka, na Mola wetu tunamtegemea" Kisha asalimie watu walio ndani] [Imepokewa na Abuu Daud] |
Mnara wa kihistoria unaojulikana kama mnara wa mwenge uliopo mjini Arusha. |
Mnara wa saa ulipo mjini Arusha maeneo ya posta. |
Hii ni gari aina ya Hiace ya abiria ambayo inafanya safari zake kutokea Usa mpaka Arusha mjini, ilikuwa imepata ajali eneo la Makumira katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Habari zaidi kuhusu ajali hiyo bofya hapa http://kingjofa.blogspot.com/2012/09/picha-za-ajali-iliyotokea-leo-jioni.html |
Hii ni gari aina ya Harrier ambayo ilitokea Arusha mjini ikielekea Usa, ikapasuka tairi ya mbele na kupata ajali eneo la Makumira katika wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Habari zaidi kuhusu ajili hiyo bofya hapa http://kingjofa.blogspot.com/2012/09/picha-za-ajali-iliyotokea-leo-jioni.html |
Hili ni eneo la kikatiti ambapo ujenzi wa barabara unaendelea. |
Gari hii niliikuta maeneo ya barabara ya machame (machine tools) ikiwa inavutwa baada ya kupata ajali. |
Hatimaye ile Kesi ya uchochezi iliyokuwa ikinikabili, imefutwa na mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu. Katika shauri hilo, serikali ilidai kuwa niliandika habari za uchochezi katika gazeti la MwanaHALISI juu ya kilichotokea Unguja na Pemba, baada ya kufutwa kwa uchaguzi huru na haki wa 25 Oktoba mwaka 2015. |
Katika uamuzi wake huo, Hakim Mashauri alikubaliana na hoja za utetezi na kuamuru kuniachia huru. Hata hivyo, mara baada ya kuniachia huru, jeshi la polisi limenikamata na niko kituo cha polisi kati. |
Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei, baba wa familia na wanachama wa Utawa wa Tatu wa Mtakatifu Francisko kutoka nchini Madagascar, tarehe 15 Aprili 2018 anaongezwa kwenye Orodha ya Wenyeheri wa Kanisa, walioyamimina maisha yao kwa ajili ya ushuhuda kwa Kristo na Kanisa lake. |
Askofu mkuu Cristobal Lopez Romero anasema katika maisha yake ya kuongoza, kufundisha na kutakatifuza watu wa Mungu anapenda kuwa ni daraja ya majadiliano na shuhuda wa Injili ya upendo na mshikamano. |
Askofu Mkuu Cristobal: Nataka kuwa daraja na shuhuda wa Injili! |
Askofu mkuu Cristobal Lopez Romero aliyewekwa wakfu wa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Rabat nchini Morocco anasema, katika maisha na utume wake wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu anataka kuwa ni daraja na shuhuda wa Injili ya upendo na matumaini! |
Mtumishi wa Mungu Padre Stefano Pernet, muasisi wa Shirika la Masista Wadogo wa Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni aliandika historia ya maisha na utume wake kwa njia ya Injili ya upendo kwa familia maskini nchini Ufaransa. |
Mtumishi wa Mungu Padre Pernet ni shuhuda wa Injili ya upendo! |
Mtakatifu Yohane Paulo II kunako mwaka 1983 alimtangaza Padre Stefano Pernet, Muasisi wa Shirika la Masista Wadogo wa Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni kuwa Mtumishi wa Mungu. Ni Padre aliyeandika kurasa za maisha na utume wake kwa njia Injili ya upendo, sadaka na majitoleo kwa familia maskini! |
Papa Francisko anaitaka Kamati ya Ushauri Kitaifa nchini Italia dhidi ya michezo ya Kamari na Upatu ya Yohane Paulo II kutoa kipaumbele cha kwanza kwa waathirika wa michezo hii ili kuwaonjesha Injili ya matumaini. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.