text
stringlengths
0
4.5k
VIPOCHI VITAKUWA BONGO MWISHONI MWA MWEZI HUU
BI.FATMA KUWAFUNDA WANAWAKE KWENYE KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE JIJINI MWANZA
Mbali na kupata burudani, chakula pamoja na vinywaji, mfundaji mashuhuri nchini Bi.Fatma atakuwa mfundaji kwenye Kongamano la Sauti ya Mwanamke Jijini Mwanza, tarehe 06.11.2016 Gold Crest Hotel Jijini Mwanza.
Ni kuanzia saa kumi alasiri kwa kiingilio cha shilingi elfu arobaini tu.
KWA WALE WOTE WALIOPATA NAFASI HIZO WATA JULISHWA KWA NJIA YA SIMU
Siku ya Usalama Mtandaoni 2018 twaungana mkono na mashirika mbalimbali duniani kuadhimisha siku hii kwa usalama mtandaoni 2018 - SEMA TANZANIASEMA TANZANIA
Upo umuhimu wa kulinda na kuheshimu haki za watoto
Ujumbe wako
SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 18/05/2018 -NDANI NA NJE YA TANZANIA _ Moto Moto News
Wito hacker programu kwa ajili ya admin
exactspy- Wito Hacking Programu Kwa Android si bure, lakini unaweza kutumia kama kupeleleza kwa yeyote Android simu. Utakuwa na kusubiri kwa muda kupata programu kupakuliwa kwenye mfumo wako. Unaweza kupata programu hii kwenye kifaa chochote; Ukweli ni kwamba kuna karibu hakuna matatizo masuala taarifa kwa watumiaji. Kuna mende, ambayo si za kudumu kwa watengenezaji, lakini wale madogo. Inakuwa inakera kwa watumiaji spyware kukabiliana na matatizo ya kiufundi, na wanaweza kutarajia kupata matatizo yao Msako kutatuliwa kwa exactspy- Wito Hacking Programu Kwa Android kutokana na msaada wa wateja wake kubwa '.
Pamoja na exactspy- Wito Hacking Programu Kwa Android utakuwa na uwezo wa:
Unaweza kushusha: Ungependa Call Hacking Programu Kwa Android ?
Joseph alisema kuwa kikosi chake kinafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Saateni Mjini Unguja , ikiwa ni maandalizi ya Ligi Kuu ya Zanzibar inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwanzoni mwa mwezi ujao.
Joseph alisema mbali ya maamdalizi ya ligi hiyo lakini pia mazoezi hayo yatakuwa ni sehemu ya kujiandaa na mashindano ya Cecafa ambao wao watashiriki kama ni mabingwa wa Ligi Kuu Zanzibar.
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imehalisha kutoa uamuzi juu ya uhalali wa Msajili wa vyama vya siasa nchini kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kama Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi CUF. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Shauri hilo namba 13 la Mwaka 2016 lilipangwa kutolewa uamuzi tarehe 30 Novemba, 2018, lakini lilikwama baada ya Jaji ...
Kikao cha Board ya Barabara Januari 9, 2018
Matokeo ya darasa la nne mwaka 2017/2018. (Tazama hapa) timheaven.com - timheaven
Download wimbo mpya 'Roho' toka kwa Mwanadada Christina Shusho. Enjoy!
HILI NDILO JINA LA MTOTO WA KIUME WA KANYE WEST AL...
P O Box 1244 Mwanza, Tanzania
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. – Vice President's Office
January Makamba akizungumza machache katika halfa ya makabidhiano ya hundi kutoka kampuni ya ‘Tatu Mzuka’ Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Joseph Malongo, na Sebastin Maganga kutoka kampuni ya The Network
Mwanzo > TFF > LIGI NDOGO BARA KUANZA MEI 11, LIGI YA MABINGWA WA MIKOA NAYO...
LIGI NDOGO BARA KUANZA MEI 11, LIGI YA MABINGWA WA MIKOA NAYO...
KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetangaza kuanza kwa ligi ndogo Mei 11, 2016 katika uwanja wa Karume jijini Dar es salaam itakayozishirikisha jumla ya timu nne.
Timu zilishoshika nafasi ya pili katika msimamo wa SDL kwa kila kundi, Abajalo FC (Dar es salaam), Pamba FC (Mwanza), Mvuvumwa (Kigoma), Mighty Elephant (Songea) zitacheza ligi hiyo kusaka timu mbili zitakazoungana na timu nne za juu kupanda ligi daraja la kwanza (FDL) msimu ujao.
Klabu nne za Allicane Schools (Mwanza), Mshikamano FC (Dar es salaam), Mbeya Warriors (Mbeya) na Singida United (Singida) zilizoongoza msimamo wa makundi ya SDL zitaungana na timu mbili kupanda ligi daraja la kwanza msimu ujao.
Wakati huo huo: TFF imetangaza Mei 14, 2016 kuwa tarehe ya kuanza kwa Ligi ya Mabingwa wa mikoa (RCL) itakayozishirkisha bingwa wa kila mkoa kutoka katika mikoa 27 nchini.
Ligi hiyo ya mabingwa wa mikoa itachezwa katika vituo vine nchini, ambapo mshindi wa kila kundi atapanda moja kwa moja ligi daraja la pili (SDL) na mshindi wa pili mwenye matokeo mazuri kutoka kundi A, B na C.
Kundi A kituo cha (Njombe) kutakua na mabingwa wa mikoa ya Ruvuma, Iringa, Mbeya, Rukwa, Katavi, Dar es salaam 3, Morogoro, Kundi B kituo cha (Morogoro) kitakua na mabingwa wa mikoa ya Pwani, Mtwara, Lindi, Dar es salaam 1, Dar es salaam 2, Tanga, na Singida.
Kundi C kituo cha (Singida) kitakua na mabingwa wa mikoa ya Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, Tabora, Kagera, Manyara, na Njombe, huku kundi D kituo cha (Kagera) kikiwa mabingwa wa mikao ya Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara na Kigoma.
Kutokana na Mh. Raisi kulalamika kuwa ukosefu wa fedha kutoka kwa wahisani ndiyo kunakamisha maendeleo Africa, hii inadhiirisha kuwa viongozi wetu wa Afrika sasa hawana mbinu ya kutegemea makusanyo ya ndani kwaajili ya kuendesha miradi ya maendeleo. Raisi Kikwete aliyasema hayo kwenye siku ya kwanza ya mkutano wa kimataifa wa taasisi ya Smart Partnership Dialoque.
Sasa kwanini serikali isikubali kuondoa ama kupunguza posho zisizo za msingi ili kugharamia miradi ya maendeleo?
Hivi kweli bilioni 987 kila mwaka ni ndogo kwa kuendesha shughuli za kimaendeleo? Eti zinatosha kwa kujitafutia umaarufu tu.
Nawaomba Viongozi wetu wa serikali na wabunge, waweke kipaumbele kwenye shughuli za maendeleo na swala la posho liwe kipaumbele cha mwisho kabisa ama liondolewe. Au hivyo vifungu vya sheria vinasisitiza posho za ajabuajabu ziwe kipaumbele namba moja?
HABARI KAMILI YA MH. RAIS KUTOKA GAZETINI
Mwili wa Marehemu utawasili nchini kutokea Leeds, Uingereza siku ya Ijumaa tarehe 31/03/2017 majira ya saa nne usiku.
Taratibu zote za mazishi zitafanyika tarehe 01/04/2017 Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7, Kuanzia saa tatu asubuhi.
Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam.
Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi 01/04/2017 katika Makaburi ya Kondo, Bahari Beach jijini Dar es salaam.
Aliyekuwa Naibu Waziri wa fedha na mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumshambulia askari polisi.
Washtakiwa wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakili wa serikali, Mwanaamina Kombakono amedai, Mei 15 mwaka huu huko Masaki katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam mshtakiwa Malima alitenda kosa.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 15, mwaka huu ambapo kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi bado haujakamilika.Wakili Kibatala ameieleza mahakama kuwa, tarehe ya kutajwa kwa kesi hiyo atawasilisha pingamizi la awali juu ya mapungufu ya kisheria yaliyopo kwenye shtaka la shambulio linalomkabili Malima Peke yake.
Aliyekuwa Naibu Waziri wa fedha na mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima akitoka mahakamani.
Kwa ajili ya kutofautisha kati ya hofu iliyopitiliza na hofu ya kawaida ambayo yaweza kumkumba mwanadamu yeyote, wakati fulani fulani mwandishi atatumia manenoanxiety au GAD katika kuwasilisha ujumbe wake.
Hofu iliyopitiliza au au anxiety au GAD huambatana na hali ya kuwa na wasiwasi kupita kiasi juu ya maisha ya kila siku
pamoja na matukio yake bila hata muhusika kuwa na sababu maalum ya kuwa na hofu hiyo. Kwa maneno mengine ni kuwa, watu wenye anxiety hujihisi hofu kubwa bila ya kuwa na sababu yeyote ya msingi ya kuwafanya wawe hivyo.
Mara nyingi watu wenye tatizo hili huwa na tabia ya kuhisi kwamba janga kubwa litawatokea karibuni au maafa yatamkumba katika maisha yake na daima hawaachi kuwa na hofu isiyo na sababu juu ya familia zao, pesa, afya, ajira, masomo au hata biashara zao.
• Nasaba (genetics): baadhi ya tafiti zimeonesha kuwa nasaba ina nafasi kubwa ya kumfanya mtu wa familia yenye matatizo ya hofu iliyopitiliza naye kuwa na uwezekano mkubwa wa kupata haya. Hii inaamnisha kwamba, hofu iliyopitiliza inaweza kurithiwa miongoni mwa wanafamilia.
• Sababu za kimazingira: matukio kama vile ajali, kuumia au matukio yenye msongo mkubwa kama vile kunyanyaswa kwa namna yeyote ile, kufiwa na mtu unayempenda, talaka, kubadilisha kazi au kuachishwa/kufukuzwa kazi, kubadilisha shule au kufukuzwa/kuacha shule nayo pia yanaweza kusababisha kuwa na hali ya hofu iliyopitiliza. Hofu (GAD) pia huwa mbaya zaidi kipindi ambapo muhusika huwa katika hali ya msongo mkubwa wa kimaisha (stress). Aidha matumizi ya vitu vyenye kulevya kama pombe (alcohol), sigara (nicotine) au hata kahawa nayo pia yanaweza kuongeza ukubwa wa tatizo hili. Kadhalika, watu waliokuwa watumiaji wakubwa wa vitu hivyo kisha wakaacha ghafla, nao wapo katika hatari kubwa ya kukumbwa na tatizo hili.
• Matumizi ya dawa: kwa watu ambao tatizo hili linaingiliana na maisha yao ya kila siku, matumizi ya dawa yameonekana kusaidia sana kuwafanya warejee katika hali yao ya kawaida. Dawa hizo ambazo pia huitwatranquilizers husaidia kumtuliza mgonjwa na kumfanya ajihisi kupumzika. Dawa zinazotumika zipo katika jamii ya benzodiazepines nazo hufanya kazi ya kupunguza dalili za GAD kama vile kukaza misuli ya mwili au hali ya mgonjwa kutotulia. Baadhi ya dawa zilizo kwenye jamii hii ni kama vile diazepam (valium) na Ativan. Jamii nyingine ya dawa ni zile za kuondoa msongo wa mawazo (depression) yaani Antidepressants, kama vile Prozac, na Zoloft. Hizi nazo hutumika katika matibabu ya muda mrefu ya watu wenye hofu iliyopitiliza.
• Kujifunza kuthibiti msongo wa mawazo kwa kufanya mazoezi mbalimbali kama vile yoga. Akili
BABA MZAZI ATUMIA SIRAHA ZA ULINZI KUMWADHIBU MTOTO WAKE WA MIAKA 10 KWA KOSA LA KUTOKWENDA SHULE JIJINI MBEYA _ CHIMBUKO LETU
Home » UNYANYASAJI WA KIJINSIA » BABA MZAZI ATUMIA SIRAHA ZA ULINZI KUMWADHIBU MTOTO WAKE WA MIAKA 10 KWA KOSA LA KUTOKWENDA SHULE JIJINI MBEYA
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa (pichani kushoto) amewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuisapoti timu hiyo ikimenyana na Chad.
Na vikosi vyote, Chad na Tanzania vitapanda ndege moja leo kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa marudiano na wa kwanza wa mzunguko wa pili, utakaofanyika Jumatatu.
Akizungumza na BIN ZUBEIRY SPORTS – ONLINE mjini hapa baada ya mchezo wa jana, Mkwasa kwanza aliwapongeza vijana wake kwa kazi nzuri hadi kupata ushindi huo, licha ya kucheza kwenye mazingira magumu ya joto kali.
Wachezaji wa Taifa Stars wakimpongeza Nahodha wao, Mbwana Samatta (10) baada ya kufunga
“Tulikuwa na dakika 90 ngumu sana, joto kali na jua pia, lakini tunamshukuru Mungu tumeshinda na sasa tunaelekeza akili zetu kwenye mchezo wa marudiano Jumatatu,”amesema.
Ushindi wa jana unaifanya Tanzania ifikishe pointi nne baada ya mechi tatu, kufuatia kufungwa 3-0 awali na Misri mjini Cairo na kulazimishwa sare ya 0-0 na Nigeria Dar es Salaam mwaka jana.
Home » BURUDANI NA MICHEZO. » JEBBY AAPA KUFANYA MAKUBWA KATIKA TASNIA YA MUZIKI.
Polisi Wapiga Mabomu ya Machozi Hospitali ya Bugando Kuwatawanya Wafuasi wa Chadema
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, jana lililazimka kupiga mabomu ya macho katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), kuwatawanya wafuasi wa Chadema waliokuwa wameupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo aliyeuawa kwa kukatwa mapanga.
Tukio hilo lilitokeaza jana jioni, baada ya wafuasi hao kuanza mvutano na askari Polisi mmoja na ndipo zikaibuka vurugu zilizodumu kwa saa moja na nusu.
Hata hivyo wafuasi hao kabla ya kuanza vurugu hizo, waliruka kuta za hospitali na kufungua geti kwa mabavu.
Mwandishi alishuhudia Polisi huyo na wafuasi wa Chadema wakivutana nje ya mlango wa vyumba vya kuhifadhi maiti.
Hali hiyo ya askari kuangushiwa kichapo, ilisababisha gari la polisi ambalo lilikuwa na polisi ambao walikuwa na mabomu ya machozi na silaha za moto kuanza kupiga mabomu.
Aidha Mwandishi wa habari hizi, alishuhudia Polisi mmoja akimpiga mjane wa marehemu, katika vurugu hizo ambazo wafuasi wa Chadema walikuwa hawataki polisi waingie ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Kifo cha Mawazo kinahusishwa na tofauti za kisiasa kati ya chama cha Mapinduzi(CCM) na Chadema..
Akizungumza na wafuasi wa Chadema, Godbless Lema, alisema kifo cha Mawazo ni mpango wa Chama cha Mapinduzi na kuitaka Jeshi la Polisi kuwakamata watu wanaohusishwa na kifo hicho.
Leo October 13, 2017 Zari The Boss Lady ambaye ni mpenzi wa muimbaji Diamond Platnumz amewasili Dar es Salaam akitokea Afrika Kusini kwa jailli ya uzinduzi wa duka jipya la Danube pale GSM Mlimani City siku ya kesho October 14, Zari baada ya kuwasili Airport Dar es Salaam aliongea na waandishi wa habari.
KAMA ILIKUPITA HII YA USHAURI WA BABA DIAMOND ATOA KWA ZARI
Next Story → VIDEO: Maamuzi ya serikali kuhusu vichwa vya treni visivyo na mwenyewe