text
stringlengths
0
4.5k
Waziri Mahiga akutana na Balozi Korhonen wa Finland nchini
Waziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Klaus Korhonen wa Finland walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo wamejadili masuala mbalimbali kuhusu biashara na kudumisha uhusiano wa kidplomasia baina ya Tanzania na Finland
Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo, wa kwanza kushoto ni Balozi wa Finland nchini Tanzania, Balozi Mhe.Pekka Hukka akifuatilia mazungumzo
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kulia) akifuatilia Mazungumzo
Home > JAMII > MAKAMU WA RAIS CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) SHAMIRA MSHANGAMA AKUTANISHA WADAU KUJADILI DHANA YA “MWANAMKE NA UONGOZI” UDSM
MAKAMU WA RAIS CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) SHAMIRA MSHANGAMA AKUTANISHA WADAU KUJADILI DHANA YA “MWANAMKE NA UONGOZI” UDSM
Aliyekuwa Mgeni Rasmi katika kongamano hilo lililo andaliwa na Makamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Bi. Shamira Mshangama Mh. Sophia Mjema akitoa nasaha zake kwa wote waliohudhuria katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Nkurumah Chuo kikuu cha Dar es salaam.
Ufafanuzi wa eneo katika Kiswahili
uwanja fulani wa maarifa.
Posof ni mji na wilaya iliopo Mkoani Ardahan kwenye kanda ya Anatolia ya Mashariki huko nchini Uturuki.
Posof katika Mkoa wa Ardahan (kwenye kanda ya Anatolia ya Mashariki) nchini Uturuki
Je unajua kitu kuhusu Posof kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Wilaya za Mkoa wa Ardahan
Hii ni orodha ya wilaya za Eire:[1]
Eire (Ireland) katika Statoids.com (Kiingereza)
Je unajua kitu kuhusu Wilaya za Eire kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Mahali pa mji wa Bagnolet katika Ufaransa
Bagnolet ni mji wa Ufaransa.
Je unajua kitu kuhusu Bagnolet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Jamii:Miaka ya karne ya 5 - Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamii:Miaka ya karne ya 5
Makala katika jamii "Miaka ya karne ya 5"
Ufafanuzi msingi wa kware katika Kiswahili
ndege jamii ya kuku, lakini mdogo kuliko kuku, aishiye porini, mwenye mwili wa rangi ya kahawia au hudhurungi na mabaka meupe au meusi na miguu ya rangi nyekundu au manjano.
mahali panapochimbwa mawe kwa ajili ya kazi mbalimbali au panapovunjwa mawe kwa mashine ili kupata kokoto.
Kimanta ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamanta. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimanta imehesabiwa kuwa watu 5300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanta iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimanta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Dover ni mji mkuu na wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Delaware nchini Marekani.[1] Mji upo katika eneo la Mto wa Mt. Jones katika pwani tupu ya Mto Delaware. Mji ulipewa jina na William Penn kwa ajili ya Dover huko Kent, Uingereza. Na kwa mwaka wa 2007, mji ulikadiriwa kuwa na wakazi wapatao 35,811.[2]
Je unajua kitu kuhusu Dover, Delaware kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Vipande vinawekwa kwenye vipindi vya 10, 20 na 30yrd.
Wachezaji hufanya kazi zao za joto na kazi za kutosha ili zifanane na mafunzo yao wenyewe na mahitaji yao ya maandalizi. Wachezaji wanahamia kwenye vikundi vya 2 au kama watu binafsi (kama inavyoonekana katika mchoro).
Wachezaji wanapaswa kufanya shughuli hizi ili kuandaa (joto-up) kwa kikao cha mchezo au mafunzo. Vipande vinawekwa 10yrds mbali na mtu mwingine. Wachezaji wanaendelea karibu na wimbo mpaka shughuli zote zimekamilishwa. Vipande vya wachezaji karibu na vidole vya mwisho huku wakizunguka wimbo katika mwelekeo wa kupambana na saa.
Kabla ya kuanza halisi ya joto up wachezaji utaratibu ni aliuliza Jog kuzunguka mbegu kwa muda wa dakika 3 kuongeza joto ya msingi.
Nchi ya Burundi leo inapiga kura ya maoni kufanya marekebisho ya katiba ambayo yanaweza kumuweka Rais wa sasa Pierre Nkurunziza madarakani mpaka mwaka 2034.
Kwa mujibu wa BBC Kura hiyo itapigwa ya ndiyo au hapana ili kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano mpaka saba katika awamu moja.
Katiba ya sasa imeweka ukomo kwa Rais aliyepo madarakani kuhudumu kwa kipindi cha awamu mbili, kwa mujibu wa mabadiriko yatakayofanywa yatampa uhuru Rais Nkurunziza kugombea tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 akiwa kama mgombea mpya na hivyo huenda akatawala mpaka mwaka 2034.
Chama tawala CNDD-FDD kinachoongozwa na Nkurunziza ndicho kinaendesha kampeni ya kuunga mkono upigwaji wa kura ya ndiyo huku kiongozi wa upinzani Agaton Rwasa chini ya mwamvuli wa muunganiko wa vyama vya upinzani ujulikanao kama Amizero y’Abarundi wakihamasisha kura ya hapana.
Ufafanuzi wa daku katika Kiswahili
chakula kinacholiwa usiku baada ya kufuturu na kabla ya kufunga siku inayofuata wakati wa Ramadhani.
Ufafanuzi msingi wa firari katika Kiswahili
Ufafanuzi wa karabai katika Kiswahili
taa yenye utambi wa kimia na inayotumia mafuta ya taa na hutiwa upepo.
Ufafanuzi msingi wa ugeni katika Kiswahili
hali ya kutozoea mahali, kazi, n.k..
hali ya kutokuwa mwenyeji.
‘Leo tuna ugeni kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Duniani’
sehemu ya katikati ya shina la mti na ambayo ni laini.
Natamani ningekuwa na muda wa kusoma vitabu vingi, lakini mgawanyo wa kazi huu duh!
Kidoka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wadoka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidoka imehesabiwa kuwa watu 11,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidoka iko katika kundi la Plateau.
Je, unajua kitu kuhusu Kidoka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Ufafanuzi wa kigutu katika Kiswahili
pata chakula kwa kuwategemea wengine.
‘’’Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 2002’’’ ulukuwa uchaguzi wa tatu nchini humo chini ya mfumo wa vyama vingi. Ulifanywa mnamo 27 Desemba 2002
Uchaguzi wa Urais[hariri _ hariri chanzo]
e • d Muhtasari wa matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa Kenya, 2002
Uchaguzi wa Wabunge[hariri _ hariri chanzo]
Mara nyingi unaweza ukafikiri ni hivyo...pamoja daima!!
toa mionzi ya mwanga au moto.
Mahakama mjini Moscow nchini urusi imekubali ombi kutoka kwa Mamlaka ya Vyombo vya Habari nchini humo kufunga mtandao wa Telegram haraka iwezekanavyo.
Mamlaka hiyo ilifanya ombi la kufungwa kwa mtandao huo kutokana na kampuni ya mtandao huo kukataa kutoa taarifa zinazotumika kufungua jumbe za watumiaji.
Wakala wa Ulinzi nchini humo FSB wameeleza kuwa Telegram imetumika katika kutekeleza matukio ya kigaidi nchini humo Urusi ikiwa ni pamoja na tukio la bomu lililoua watu 15 katika eneo St. Petersburg la mwaka jana.
Kwa mujibu wa familia ya marehemu, Maleu ambaye anamiliki Hoteli za Impala, Naura, Ngurdoto zilizopo jijini Arusha, wamesema ndugu yao alifia Afrika Kusini na kwamba taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa leo.
Familia wamesema hadi sasa hawajapata taarifa rasmi kutoka hospitalini hapo kuelezea chanzo cha kifo cha mpendwa wao.
Mrema alipelekwa Afrika Kusini mwezi Juni mwaka huu baada ya kusumbuliwa na matatizo ya kiafya.
Global Voices in Swahili · Habari za uandishi wa kiraia kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
Habari Kuu kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
Habari kuhusu Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini
"Tungepata maji mara mbili kwa juma, wakati mwingine kipindi cha kiangazi kiasi hicho hakitoshi hata kutuvusha kwa wiki moja..."
Naibu Katibu Mkuu wa Misheni, Joyce Innocent akisherehesha kongamano hilo.
Taswira katika kongamano hilo.
Kwaya ya Praise Team ikitoa burudani ya nyimbo za kusifu.
Viongozi wa muungano wa wanawake wa Kanisa hilo.