text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Furaha katika Kongamano hilo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727) |
Serikali Yawasimamisha Kazi Maafisa Utumishi Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Kwimba Kwa Kutowajibika _ MPEKUZI |
Serikali Yawasimamisha Kazi Maafisa Utumishi Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Kwimba Kwa Kutowajibika |
Hii Hapa Ratiba Ya Robo Fainali Europa League _ MPEKUZI |
Hii Hapa Ratiba Ya Robo Fainali Europa League |
Mechi za kwanza za Robo fainali zitachezwa April 5 na Marudiano itakuwa April 12 mwaka huu |
Video Mpya ya Nandy - AIBU |
Msanii wa muziki Bongo, Nandy anakukariisha kutazame video ya wimbo wake mpya uitwao Aibu. Itazame hapa. |
VIDEO: ONA SAFARI YA MWISHO YA MOHAMMED ALI ... KUZIKWA LEO _ EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG |
VIDEO: ONA SAFARI YA MWISHO YA MOHAMMED ALI ... KUZIKWA LEO |
Game Mtindo kwa Bloom ni mali ya jamii Michezo kwa ajili ya Wasichana. Na ina vitambulisho Mavazi, Winx, Winx. |
Maxide, 15214, La Coruña, Galicia iko katika Hispania. Zip code yake ni 15214. |
Wanariadha waanza kutembea katika jangwa la Gobi nchini China. |
Zoezihilo litafanyika ndani ya siku saba na wanariadha hao watatembea kwa umbali wa kilomita 250 katika jangwa hilo. |
Mwanamke wa Kichina anaefahamika kama malkia wa biashara ya pembe za ndovu katika Afrika Mashariki amepanda kizimbani Jumatatu akikabiliwa na shtaka la kuendesha genge linaloratibu biashara hiyo. |
Hii ni orodha ya Hordaland , bonyeza cheo kuvinjari undani habari. |
Je, wewe kama Apps Kwa Hacking iPhone ? |
Kufuatilia iPhone kamwe rahisi kabla ya wakati mwingine. Jailbreak ni muhimu kwa ajili ya kila iPhone kupata kufuatilia programu juu yake. exactspy ni tovuti bora kwa ajili ya kupata upelelezi yako ufumbuzi Mkono. Ni inatoa mbalimbali ya zana kwa ajili ya ufuatiliaji na kufuatilia kifaa yoyote ya simu. Wewe tu haja ya kupata kimwili juu ya mkononi kwa ajili ya kushusha programu invisibly na kuanza kufuatilia kwa njia ya siri. simu user hawataweza kujua kwamba Mkono yao ni msisimko au yaliyoonekana. |
Kufuatilia iPhone yako na exactspy-Apps Kwa Hacking iPhone |
Simu upelelezi ina got maana mpya na exactspy-Apps Kwa Hacking iPhone. Ni inatoa kila kitu unaweza hata kufikiria kuhusu upelelezi. iPhone kufuatilia ni kweli si rahisi kutokana na programu sana kisasa kutumika katika Apple simu za mkononi. Hata hivyo, jailbreaking simu na kuendelea na kufuatilia yake ni rahisi sana kwa high mwisho exactspy-Apps Kwa Hacking iPhone. utendaji ni rahisi sana na unaweza kuelewa matumizi yake kwa njia ya mtumiaji taratibu kirafiki. |
Tovuti exactspy anatoa taarifa nzima kuhusu upelelezi mchakato na bei. Siri kufuatilia inaweza kufanyika kwa njia ya kulipwa programu programu na si akili kulipa kiasi hiki kwa ajili ya kupata taarifa zote kwa iPhone yoyote. Ni huja na makala nguvu, ambayo si haja muda mwingi kuanza. Wakati moja tu kwa ajili ya ufungaji na wewe kufanyika. Hata kama wewe wamepoteza simu yako, unaweza kufuatilia ni, kama programu hii ni imewekwa juu yake. |
exactspy-Apps Kwa Hacking iPhone – Mambo muhimu ya exactspy |
Unaweza kushusha: Je, wewe kama Apps Kwa Hacking iPhone ? |
GOLIKIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema licha ya kuwa na maumivu madogo kwenye goti, anaweza akacheza mchezo wa fainali ya Kombe la Sportpesa utakaofanyika kesho mjini hapa. |
Akizungumza jana muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazoezi ya jana asubuhi kwenye viwanja vya Rift Valley mjini hapa, Manula alisema anaendelea vizuri na anaamini mpaka kufika kesho hali yake itakuwa imeimarika zaidi. |
Katika mazoezi hayo ya juzi, Manula alifanya mazoezi ya peke yake chini ya uangalizi wa daktari wa timu hiyo, Yassin Gembe kwa kukimbia taratibu halafu baadaye akaungana na wachezaji wenzake kwa dakika 10 za mwisho za mazoezi. |
Dk. Gembe, alisema mchezaji huyo anaweza akacheza mchezo wa kesho bila matatizo. |
Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa hana uhakika wa kufanya usajili mwingine kabla ya dirisha la usajili halijafungwa saa chache zijazo |
Lakini meneja huyo raia wa Ureno kupitia mkutano wake na waandishi wa habari mapema hii leo ameeleza kuwa kunauwezekano mkubwa wa kutoongeza mchezaji mwingine ndani ya kikosi chake kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili leo siku ya Alhamisi. |
Sina uhakika wa kuongeza mchezaji mwingine kabla ya dirisha hili la usajili halijafungwa leo hivyo ni muda kwangu kuacha kufikiria swala hilo. |
Wachezaji kama Sergio Romero, Antonio Valencia, Marcos Rojo, Dalot, Ander Herrera na Nemanja Matic hawatakuwepo kwenye mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu Uingereza hapo kesho siku ya Ijumaa. Wakati huo huo Mourinho atalazimika kutazama ‘fitness’ ya wachezaji wake waliyochelewa kujiunga na kikosi baada ya kuwa mapumziko kutokana na kuzitumikia timu zao za taifa kwenye michuano ya kombe la dunia Urusi. |
5: Kampuni ya Sports Master kuitengenezea klabu ya Singida United Vifaa vyote vya Michezo |
Baada ya BASATA kutangaza mabadiliko ya tozo kwa wasanii wa muziki na wa filamu nchini , mashabiki na wasanii wameibuka na kulalamikia maamuzi hayo ya basata huku wakisema kuwa hii ni kama kuua sanaa na kutukomea wasanii nchini. |
Kwa mujibu wa Basata , kampuni itakayo mtumia msanii kufanya naeo tangazo ni lazima anapaswa kulipa kiasi cha shlingi milioni 5 kwa kila tangazo bila kujali ukubwa na udogo wa tangazo, lakini pia bila kujua kuwa itapatikana shilingi ngap katika hilo tangazo. |
mashabiki nao hawakuwa nyuma katika kuona jinsi gani wasanii wanaonewa katika hilo na kusema kuwa Basata wanapaswa kuangalia upya swala hilo.huku instagram bbaadhi ya maoni ya wadau ni kama hivi:- |
Lakini pia katika kurasa za wadau huko Twitter pia wanasema:- |
Kim Kardashian kwa picha za uchi, Lol. _ HABARI ZA WALIMWENGU |
Home » » Kim Kardashian kwa picha za uchi, Lol. |
Kim Kardashian kwa picha za uchi, Lol. |
Jaji Mkuu atoa agizo kwa viongozi na watendaji wa Mahakama nchini - MTILAH BLOG |
Home / KITAIFA / Jaji Mkuu atoa agizo kwa viongozi na watendaji wa Mahakama nchini |
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewataka viongozi mbalimbali wa mahakama ikiwemo Naibu Wasajili, Mahakimu, Watendaji, Wakuu wa Idara na Vitengo kutenda haki kwa watumishi walio chini yao. |
Jaji Mkuu ameyasema hayo leo Mkoani Dodoma wakati akifungua mkutano wa siku mbili wa baraza la wafanyakazi wa mahakama Tanzania. |
“Sisi kama wasimamizi wakuu wa haki nchini tunawajibu mkuu wa kutenda haki kwa watumishi kwa vitendo, ni ukweli usiopingika kwamba kimbilio la mtumishi yeyote aliyefikwa na matatizo ni kwa kiongozi wake katika sehemu yake ya kazi, hivyo basi kila kiongozi anapaswa kufungua milango kwa watumishi waliopo chini yake” amesema Jaji Mkuu. |
Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mahakama Tanzania umewashirikisha wajumbe kutoka kanda zote na menejimenti ya Mahakama Tanzania. |
Thailand - Kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa |
Sasa, maadili, data ya kihistoria, utabiri, takwimu, chati na kalenda ya kiuchumi - Thailand - Kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa. |
Lionel Messi ameonekana kutia mdomoni kitu alichokificha katika soksi kabla ya kuweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa. |
Katika dakika ya 10, kwenye Uwanja wa Nou Camp, kamera za uwanjani zilimuonyesha Messi akichukua kidonge chake kutoka katika soksi na kukitia mdomoni. |
Rais Magufuli ameyasema hayo leo Aprili 6 wakati wa uzinduzi wa ukuta wa mgodi wa Tanzanite, Mirerani mkoani Manyara leo. |
Amesema mzee huyo hakutakiwa kuketi katika viti vya nyuma wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa ukuta wa mgodi huo. |
Rais Magufuli amesema fedha hizo zimsaidie katika matibabu yake na katika mahitaji yake mengine. |
Majaliwa ametoa agizo hilo leo (Jumatatu) wakati akizungumza na watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na wakuu wa mapori ya Hifadhi za Misitu nchini katika kikao alichokiitisha kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma. |
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa wakuu wa Mapori ya Hifadhi za Misitu kuhakikisha wanaweka mawe ya alama (beacons) kwenye mipaka yao ili kuepusha migogoro na wanavijiji wanaowazunguka. |
Waziri Mkuu amesema migogoro baina ya wafugaji, wakulima na kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ni lazima zifanyiwe kazi. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na waandishi wa habari huko kituo cha televisheni cha serikali (ZBC) Zanzibar |
KUNA uhalifu umefanywa Zanzibar. Ni katika matukio mabaya yaliyoanza usiku wa tarehe 26 Mei 2012. Watu wamechochewa kupambana na dola. Hili halijaelezwa na serikali. Polisi wamevamia nyumba za viongozi wa Uamsho na kuvunja milango huku wakiwatukana matusi ya nguoni viongozi na familia zao sambamba na kuwatishia maisha. Polisi hawajalieleza hili. Amir (kiongozi) wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI), Sheikh Farid Ahmed Hadi anasema usiku wa Jumamosi hiyo, akiwa kwake, alipata taarifa anafuatwa na polisi wa kuzuia fujo (FFU). |
Hakuna mwanzo usio na mwisho inshaallah, na mwsho wa hawa jamaa naona unaisha polepole. |
Kwani ni nani alodhani kwamba wananchi watakabiliana na Polisi wahuni namna ile, sasa wanajua kuwa kumbe raia wa Z’bar sio wale wa Miaka ya 1995-2005. |
Hakuna POLISI , JESHI wala nguvu yyte ya Serikali yenye kushinda nguvu ya wananchi, kama kufa hakuna atabaki duniani ilimradi tutie nia thabit ya kuwa uislam ndio focus yetu baada ya uhuru wetu Z’bar (hatuwezi kuwa na uongozi wa kiislam ndani ya huu muungano wa kihuni). |
Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto), akizungumza kwa simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. Wengine kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki , Mussa Jallow, Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walishinda pikipiki na wawili jenereta. |
Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki wa Benki ya Taifa ya Biashara ( NBC) , Mussa Jallow (katikati) akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walijishindia pikipiki na wawili jenereta. |
Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa cha Benki ya NBC, Dorothea Mabonye (katikati) akibonyeza kompyuta ili kumpata mmoja wa washindi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyojijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki wa benki hiyo, Mussa Jallow na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walijishindia pikipiki na wawili jenereta. |
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC na waandishi wa habari wakifuatilia hafla ya droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. |
Meneja Mahusiano wa Benki ya Taifa ya Biashara ( NBC), Eddie Mhina (kushoto) akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto kwake ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow na Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye. |
Wadau wakiwa wamesimama tayari kwa ajili ya kumwimbia Bi Asimwe ule wimbo maarufu duniani wa 'happy birthday' |
Tukio la kutoa zawadi kwa Birthday Girl. |
Dada Sima, Dada Mtu akisasambua mkwanja kama sehemu ya zawadi kwa mdogo wake |
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga,Donald Ngoma amerejea nchini akitokea nchini Afrika ya Kusini ambako alikwenda kwa ajili ya matibabu. |
Uongozi wa Yanga ulichukua jukumu la kumpeleka mchezaji huyo kutibiwa nchini Afrika ya Kusini baada ya kukumbwa na majeraha ya mara kwa mara ambayo yalishindwa kumpa nafasi ya kucheza vizuri tangu mwezi wa kwanza mwaka huu. |
Taarifa zilizopo ni kwamba baada ya kurejea hapa nchini itamchukua miezi mitatu mchezaji huyo ili kupona kabisa na kuanza kuitumikia timu hiyo ya Yanga. |
Aidha katika hatua nyingine Ngoma alisema kwamba kwa sasa yeye yupo tayari kuitumikia klabu hiyo msimu mwingine mmoja baada ya mkataba wake wa awali kuelekea ukiongoni kwa madai ya kutaka kulipa fadhila kwa klabu hiyo. |
Hata hivyo ameshangazwa na taarifa zinazoeleza kuwa yeye amesaini klabu ya Simba akidai kuwa hakuna kitu kama hicho na amedai kuwa hawezi kucheza timu nyingine hapa nchini zaidi ya Yanga hivyo anaamini ikishindindikana ni bora arejee katika timu yake ya zamani ya FC Platnum. |
Magazeti yote ya Michezo, Siasa na Dini leo Januari 12, 2018 – BOIPLUS MEDIA |
Magazeti yote ya Michezo, Siasa na Dini leo Januari 12, 2018 |
← Previous Story Magazeti yote ya Michezo, Siasa leo Januari 11, 2018 |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.