text
stringlengths
0
4.5k
ni jambo jema kwa tume ya uchaguzi kutoa sample copies za kupigia kura,ili zichapwe katika magazeti,wananchi wajue kuwa mgombea uraisi picha yake itakuwa upande gani,mbunge na diwani,ili ukiingia tu ktk kupiga kura hupotezi muda ,kama ni upande wa kulia,kushoto wa karatasi ,fasta unapiga kura bila kupoteza muda.
tukumbuke ktk vituo vya kupiga kura kutakuwa na Polisi,kuna baadhi ya watanzania wanaogopa magwanda ya police,etc,watakuwa na uwoga wa mazingira,hata ktk swala zima la kampeni,inakuwa rahisi kupiga kampeni,kuwa ukiingia tu wewe cheki kulia utaona mgombea wako,
Magazeti ya chama,UHURU na mzalendo,Daily news na mengineyo yangeweza kuprint hizi templates za karatasi za kupigia kura bila kusahau magazeti yetu ya uhakika Tunayajua
Ba-ndugu tembelea ofisi za serikali za mitaa wamezibandika kuonyesha jinsi zilivyo(Urais,Ubunge na Udiwani)
Ila tatizo moja niliyoona ni kuwa karatasi hizi za mfano zinatunatumika vibaya kwa makusudi /kwa kutokuju na baadhi ya watu.
Watu hawa huweka alama mbili tofauti Ndiyo na Hapana kwenye makaratasi haya ya mfano mbele ya picha za wagombea na hii inaonekana kwa baadhi ya maeneo inafanywa kwa makusudi ya kuwa changanya wapiga kura wasiojua kusoma/wenye uelewa mdogo.
Na kuwa na alama mbili tofauti kwenye karatasi moja ya Urais/ubunge/udiwani tayari hii ni kura iliyoharibika.
Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa? _ JamiiForums _ The Home of Great Thinkers
Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
watu wanafisadi hadi kwenye mahusiano yao, Bongo kweli hali mbaya sana kwa nchi mpaka wananchi wake.
Na wewe unakuwa kama mgeni hapa? Haya wasiliana na vijana wa kazi kwa kutuma email hapa [email protected]
Mimi Nimeoa. Ndoa yangu ina miaka kumi.
Ndani ya ndoa nimeshacheat na wasichana kadhaa,
Na kabla ya kiapo?
kabla ya kiapo sijawahi kutoka na mume wa mtu, nilitoka na single tu.
Mimi nipo kwenye ndoa kwa miaka 5!
Nachoshukuru ni kupata msamaha wa kweli kutoka kwa mwenzangu pasipo masharti wala kinyongo (Ilitokea tukiwa na 3yrs). Ndio maana niko mstari wa mbele kuwaomba na kuwaasa wenzangu wasijitumbukize huko ni balaa tupu kama sio laana kabisa!
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars.
Wallace Karia amemtangaza Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inayodhaminiwa na bia ya Serengeti kwa mkataba wa miaka 2.
Emmanuel Amunike anaichukua timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars ” ambayo ilikuwa chini ya Salum Mayanga mzalendo ambaye mkataba wake uliisha.
Tafuta kwenye Vipengele vyote Vifaa vya Umeme Bidhaa za Nyumbani Usafiri Ajira Nyumba na Viwanja Vinavyouzwa & Kupangishwa Mitindo na Urembo Vifaa vya Ujenzi Kalenda ya Matukio Kilimo & Ufugaji Jenereta na Suluhisho za Umeme Watoto Vifaa vya Ofisini Michezo Ofa za Kusafiri Tanzania Huduma na Mafundi
Kalenda ya Matukio
Vifaa vya Ofisini
Kamera za CCTV na Mifumo ya Usalama
Vyombo vya Muziki
Boti na Usafiri wa Maji
Mitindo ya Harusi
Vifaa vingine vya Ujenzi
Vifaa vya Paa
Vifaa vya Sakafu
Muziki wa Bendi
Vifaa vya Shambani
Viatu vya Watoto
Vitabu vya Watoto
Vifaa vingine vya ofisi
Vifaa vya Mazoezi
Vifaa Vingine vya Michezo
Vifaa vya Kambi
Ofa za Wikiend kwa Wakazi wa Tanzania
Swala la Uhaba wa wataalam nalo halikubaki nyuma. Mjadala mkubwa uliangazia jitihada mbali mbali za mataifa zinazofanywa ili kuweza kuwa na wataalam wakutosha wenye uwezo sahihi wa kujua namna ya kudhibiti, kukabiliana na kuzuia uhalifu mtandao.
Ushirikiano katika maswala ya usalama mitandao kuanzia ngazi ya kitaifa kibara na kimataifa ilionekana bado ni changamoto kubwa sana ambayo bado ku safari ndefu kuhakiki tunafikia malengo. Njia rafiki ya kuhakiki tunakua na utamaduni wa kushirikiana kuanzia ngazi ya taifa moja moja kabla ya kuvuka mipaka ilisisitizwa kufanyiwa kazi ili kurahisisha vita dhidi ya uhalifu mtandao.
Wataalam mbali mbali walipata fursa ya kuonyesha kwa vitendo gunduzi mpya za kisasa zenye kurahisisha uwezo wa kubaini, kuzuia na kukabiliiana na uhalifu mtandao ambapo kila gunduzi ilipata kujadiliwa kwa kina ili kuweza kuleta tija dhidi ya mapambano na uhalifu mtandao.
Mataifa na vikundi mbali mbali pia vilipata fursa ya kuonyesha takwimu mbali mbali za maswala ya uhalifu mtandao na njia mbazo mataifa hayo yameendelea kukabiliana na wimbi kubwa la wahalifu mtandao. Mjadala mkubwa katika kuzikosoa na kurekebisha jitihada hizo ulipata kuonekana wenye malengo madhubuti ya kuwa na bara salama kimtandao.
Pali angaziwa pia vifaa mbali mbali vya kiusalama mitandao ambapo vimeendelea kutumika ipasavyo kuhakiki uhalifu mtandao unakabiliwa ipasavyo. Huku pakitolewa baadhi ya vifaa hivyo kwa washiriki ili kuweza kuongeza tija kwenye mapambano dhidi ya uhalifu mtandao katika mataifa mbalimbali barani Afrika.
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI NA SPIKA - MZUKA BLOG
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI NA SPIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Spika wa Bunge Mstaafu na mwenyekiti mpya wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 16, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mstaafu na mwenyekiti mpya wa
Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni
aa5: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Balozi wa Qatar hapa nchini
Mhe Abdallah Jassim Al Maadadi baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni
Na TUNU NASSOR -DAR ES SALAAM BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) limesema limeshangazwa na kauli ya aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho, Edward Lowassa, kumsifia Rais Dk. John Magufuli. Katibu Mkuu wa Bavicha, Mwita Julius amesema suala hilo halijawahi kujadiliwa katika vikao vya chama hicho. Kauli hiyo imetolewa siku mbili baada ya Lowassa kwenda Ikulu na kuzungumza na Rais Dk. Magufuli ambako kiongozi huyo alipongeza kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na Rais Dk. John Magufuli. Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana,...
Jaji mmoja wa Marekani amesimamisha kwa muda utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kuwazuia raia kutoka mataifa saba, yaliyo na raia wengi wa imani ya Kiislamu kuingia nchini Marekani.
Jaji wa Seattle alipuuzilia mbali sababu zilizotolewa na mawakili wa Serikali na kusema kuwa amri hiyo inaweza kusimamishwa mara moja huku kesi hiyo ikiendelea kusikilizwa mahakamani.
Serikali inatarajiwa kukata rufaa ya dharura dhidi ya uamuzi huo wa mahakama, ambao ni changa moto kubwa kwa utawala wa Trump.
Serikali ya Marekani inasema kuwa makumi ya maelfu ya visa zimefutiliwa mbali tangu rais Trump kutia sahihi amri ya kupunguza idadi ya watu wanaopaswa kuingia nchini Marekani juma lililopita.
Kutokana na hatua hiyo, Idara ya Forodha ya Marekani imeyaambia mashirika ya ndege kwamba waruhusu abiria kupanda ndege kuelekea Marekani abiria ambao walinyimwa ruhusa baada ya Rais Trump kutoa amri kwamba watu kutoka nchi saba zenye Waislamu wengi, wakataliwe kuingia Marekani.
Wakati huohuo waziri Mkuu wa zamani wa Norway, Kjell Magne Bondovik, alisema kuwa alizuiwa katika uwanja mmoja wa ndege mapema juma hili, katika tukio alilosema ni la uchokozi, kwa sababu eti alikuwa na visa ya Iran katika paspoti yake.
VIDEO: KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA. ~ g sengo
VIDEO: KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA.
Fuatilia yaliyojiri kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lililofanyika kitaifa Jijini Mwanza.
HIYO NDIYO BREAKING NEWS NA HABARI YA MUJINI HASA MJI MKUU WA UINEREZA LONDON ''
Hongera da Frola kwa kazi nzuri ya mikono yako, mungu akubariki sana...
Mwakalebela ambaye aliwai kuwa kiongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini, mwaka 2010 aligombea ubunge wa kwa tiketi ya CCM katika kura za maoni ambapo Kada mwenzie wa chama hicho Monica Mbeya alimshinda katika kura za maoni na Mbega akawa amechaguliwa kupeperusha bendera ya CCM jimboni hapo lakini hata hivyo Mbega alishindwa na jimbo hilo likachukuliwa na mbunge Peter Msigwa wa chama cha Chadema.
Ilipofika mwaka 2011, Takukuru ilimfungulia kesi hiyo ya jinai yeye na mkewe ya madai ya kutoa na kushawishi rushwa kwa wapiga kura katika kampeni za kusaka ubunge wa jimbo hilo.
“Faida kubwa ambayo wakazi wa jiji la Dar es Salaam watarajie ni kupata umeme wa uhakika (reliable power supply ulio kwenye viwango stahiki, (Acceptable quality power supply) hususan kwa wale wa maeneo ya katikati ya jiji,” Aliongeza Meneja wa TANESCO Mkoa wa Ilala, Mhandisi Athanasius Nangali.
Akieleza zaidi, Mhandisi Nangai alisema, “Mradi huu unaviwezesha viituo tajwa kuwa na njia mbili za kuvvipatia umeme na hivyo kuwezesha kuwa na njia mbadala ya kupata umeme endapo njia moja kati ya hizo itakuwa na hitilafu.” Alifafanua.
Hizi ndio njia za kusafirisha umeme ardhini zilizojengwa kwenye shule ya sekondari ya wasichana Jangwani jijini Dar es Salaam
SHIMUTA BONANZA MKOA WA DAR ES SALAAM KUFANYIKA VIWANJA VYA CHUO KIKUU ARDHI. _ Ardhi University
Mkurugenzi wa maendeleo ya michezo Bw.Yusuph Singo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiongea na washiriki wa Bonanza wakati wa ufunguzi katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi. Baadhi ya washiriki wa Shimuta Bonanza wakiwa na wenyeji wao wafanyakazi wa Chuo Kikuu Ardhi katika mazoezi ya viungo.
Timu ya mpira wa pete ya Chuo Kikuu Ardhi wakisubiri mechi dhidi ya UDSM
Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa mpira wa pete kabla ya kuanza bonanza. Wachezaji wa mpira wa miguu katika mechi zilizokuwa zinaendele a siku ya Bonaza katika viwanja vya Chuo.
RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE TOKA KWA RAIS WA SUDANI YA KUSINI MHE SALVAR KIIR IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBER 14,2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amepokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Salvar Kiir Mayardit wa Sudani Kusini Ikulu jiji Dar es salaam ulioletwa na mjumbe malumu Jenerali James Kok Ruea Jumamosi September 14, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam. Mjumbe huyo aliongozana pia na Mkuu wa Kituo cha Martti Ahtisari (Martti Ahtisari Centre) kwa nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara, Bw. Itonde Kakoma
Airtel Money YAGAWA BILIONI 3 KWA WATEJA NA MAWAKALA.
Kulia Meneja wa Airtel Money Bw, Asupya Nalingigwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) jinsi Mr Money wa Airtel Money atakavyogawa faida ya shilingi billion 3 kwa wateja wa Airtel Money na mawakala wake nchi nzima ikiwa ni faida yao kutokana na kutumia Airtel Money kuanzia Januari hadi juni mwaka huu kushoto ni Meneja wa uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando jana.
Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango wa kugawa gawio la faida ya shilingi billion 3 kwa wateja wa Airtel Money na mawakala wake nchi nzima ikiwa ni faida yao kutokana na kutumia Airtel Money kuanzia Januari hadi juni mwaka huu. Kulia ni Meneja wa Airtel Money Bw, Asupya Nalingigwa jana.
Dar es Salaam, Jumanne 23 Agosti 2016, Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imetoa gawio la faida la kila kiasi cha shilingi billion 3 kwa wateja wake wa Airtel Money na mawakala wakubwa na wadogo nchi nzima
Airtel imetoa gawio la faida kwa kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi juni mwaka huu ambapo kila mteja atalipwa sehemu ya faida kulingana na kiasi cha salio lake katika akaunti yake ya Airtel Money kila siku
Akiongea na waandishi wa habari , Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando alisema “Tunayofuraha kutoa gawio la faida la shilingi bilioni 3 kwa wateja wetu na wakala nchi nzima. Tunaamini gawio hili la faida litawawezesha wateja wetu kutatua mahitaji yao ya kifedha na hivyo kuthibitisha dhamira yetu ya kuendelea kutoa huduma za kifedha”
“Tumejipanga kuwawezesha wateja wetu kwa kupitia huduma na bidhaa tunazozitoa. huduma ya Airtel Money imelenga kuleta unafuu na kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha katika maeneo mbalimbali nchini hususani ya maeneo ya pembezo mwa nchi. Aliongeza Mmbando
Mpaka sasa Airtel imeshatoa kiasi cha shilingi billion 10 kwa wateja na mawakala wa Airtel money tangu 2014