text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Baba Mtakatifu Francisko hata baada ya kukutana na kuzungumza na Kamati ya Ushauri Kitaifa nchini Italia dhidi ya michezo ya kamari na upatu hapo tarehe 3 Februari 2018 amemwandikia barua Rais wa Kamati hii kumtaka kutoa kipaumbele cha kwanza kwa waathirika wa michezo ya kamari na upatu! |
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 27 - BONGO UNIVERSETZ |
Home / Magazeti / Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 27 |
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya Septemba 27 |
Messi alifunga la 301 dakika ya 31, wakati lile la Luis Suarez lilikuwa dakika ya 67, huku la wenyeji likifungwa na Castro Garcia dakika ya 27. Barca sasa wako point sita kileleni. Download App Yetu >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa ! |
Kim Jong-un na majenerali wake, katika mazoezi ya kijeshi, picha ya zamani iliyowekwa wazi Februari 21 mwaka 2015. REUTERS/KCNA |
Korea Kaskazini inasema imetishia kukishambulia kisiwa cha Marekani cha Guam siku za hivi karibuni, licha ya onyo la rais wa Marekani Donald Trump. Vita vya maneno kati ya Washington na Pyongyang vimeendelea. |
Mapema wiki hii Marekani iliionya Korea Kaskazini ikisema kuwa mpango wake huo wa kufyatua makombora kwenda kisiwa cha Marekani cha Guam unamaanisha kuwa huo utakuwa mwisho wa utawala wa Kim Jon-un. |
Wakati huo huo Korea Kaskazini ilipuuzna onyo la rais wa Marekani Donald Trump kuwa itaishambuliwa vikali. |
Kwa mujibu wa maafisa wa usalama wa Korea Kaskazini, makombora ya Hwasong-12 yatapita anga ya Japan na kuanguka baharini karibu kilomita 30 kutoka kisiwa cha Marekani cha Guam. |
Mpango huo utatekelezwa baada ya kuidhinishwa na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, vyanzo vya usalama vimebaini. |
Korea Kaskazini: Tuko tayari kurusha … |
Msanii wa muziki Bongo, Snura Mushi amepata ajali ya gari akiwa na mtu wake wakaribu anayedaiwa kuwa mpenzi wake pamoja na madensa wake wawili waliyokuwa pamoja kwenye usafiri huo wakielekea mkoani Lindi kwaajili ya kufanya shoo. |
Kwamujibu wa mtu wake wakaribu anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Minu Calypto ameandika ujumbe kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kuwa wamepata ajali hapo jana Agosti 9, 2018 majira ya saa nne za usiku. |
Kuna video ambayo sio nzuri (bad taste) ipo mtandaoni ikimuonyesha Snura Mushi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. |
Timu ya taifa ya Nigeria baada ya kufuzu katika hatua ya nusu fainali michuano ya CHAN 2018 http://www.cafonline.com/ |
Uganda kwa mara nyingine, imefanya vibaya katika mashindano ya CHAN inayoendelea nchini Morocco. Aliyewahi kuwa Naibu kocha wa timu ya taifa ya Uganda Cranes Jackson Mayanja amesema, Shirikisho la soka nchini lilifanya kosa kwa kumpa kocha mpya kikosi hicho wiki moja kuelekea michuano hii. |
Uganda na Ivory Coast zaondolewa katika michuano ya CHAN |
Morocco kutafuta ushindi wa pili michuano ya CHAN |
Msanii wa muziki kutoka kundi la Makomando (Fredy) amebainisha uwepo wa wasanii wa Bongo Flava wanaotumi ushirikina ‘ndele’ katika muziki wao, huku akimtaja Alikiba na Diamond Platnumz kufanya mchezo huo. |
Diamond Platnumz anaendelea kufanya vizuri kimataifa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo mbili za African NAFCA. |
Audio: Rais Magufuli Apiga Simu Kwenye Kipindi Cha Clods 360, Sikiliza Hapa |
OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA: Mkuu wa Mkoa amuonya afisa elimu msingi Manispaa ya Sumbawanga. |
Bismillahir Rahmanir Rahim. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mtukufu kwa kutuwafikisha kukutana tena katika darsa yetu hii. Sura ya 10 ya Yunus ndiyo tunayoizungumzia kwa sasa, na tunaianza kwa aya ya 5 … |
Ukurasa Wa Kwanza /001-Wadhakkir: Msitukane Maswahaba Wangu Kwani Ninaapa Kwa Yule Ambaye Nafsi Yangu... |
RAIS DKT SHEIN ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA WAZIRI MKUU WA INDIA - HABARI NA MATUKIO |
Home HABARI HABARI NA MATUKIO HABARI ZA KIJAMII KITAIFA RAIS DKT SHEIN ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA WAZIRI MKUU WA INDIA |
RAIS DKT SHEIN ATUMA SALAMU ZA PONGEZI KWA WAZIRI MKUU WA INDIA |
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya India Narendra Damodardas Modi, kwa kuadhimisha miaka 72 tokea Taifa hilo kupata huru wake. |
Salamu hizo zilieleza kuwa wananchi wa Zanzibar wanaungana na ndugu zao wa Jamhuri ya India katika kusherehekea sikukuu hiyo adhimu ya uhuru wa Taifa hilo ambayo ambayo ni ya kihistoria. |
Katika salamu hizo, Dkt. Shein alimuhakikishia Waziri Mkuu huyo kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendeleza uhusiano na ushirikiano wa kihistorin uliopo kati yake na India sambamba na kuvumbua maeneo mapya ya mashirikiano kwa maslahi ya pande zote mbili. |
Dkt. Shein alimtakia kiongozi huyo na familia yake pamoja na wananchi wote wa India afya njema na sherehe njema katika kuadhimisha siku hiyo ya adhimu kwa Taifa hilo na kumtakia mafanikio zaidi ya kiuchumi kwa madhumuni ya kulinufaisha Taifa hilo na wananchi wake kwa amani na utulivu mkubwa. |
Jamhuri ya India inasherehekea siku ya uhuru wa Taifa hilo kila ifikapo Agosti 15 ya kila mwaka ambapo nchi hiyo ilipata uhuru wake kutoka kwa Wakoloni wa Kiengereza mnamo mwaka 1947 chini ya uongozi wa muasisi na Baba wa Taifa hilo Hayati Mahtma Gandhi. |
Swahili Time: Mwalimu Ajiua Dar Baada ya Hii Picha Kutoka!!! |
Oya wacha fiksi....HII VIDEO NI YA MIAKA MINGI NA NI YA WANAFUNZI WA SHULE HUKO NCHINI NIGERIA.. VIDEO KAMILI IMERIKODIWA NA CAMERA FON NA KUNA WANAFUNZI WANAINGIA NA KUTOKA WAKATI HAO WAKIENDELEA KUTOMBANA.. NI WANAFUNZI WA SEKONDARI.. VIDEO INAPATIKANA NAIJASEX.COM PIA XNXX.COM |
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Mohamed Maje kwa kushindwa kutimiza majukumu yake. |
“Hata makusanyo ya mwaka huu hatujui anapeleka wapi hadi leo amekusanya asilimia 24 tu katika halmashari ya kongwa na Mpwapwa licha ya kuwa na vyazo vingi vya mapato. |
Iyombe amesema Mkurugenzi huyo kwa sasa yupo chini ya uchunguzi. |
Utashi wa Kompyuta (AI) Unaweza Kutumika Kuamua Kesi za Haki za Binadamu - TeknoKona Teknolojia Tanzania |
Utashi wa kutegemea kompyuta (uwezo wa kufikiri wa kompyuta) ama kwa lugha ngeni, Artificial Intelligence unaweza kuonekana kwenye matumizi ya kawaida kama Google Maps na magari yanayojiendesha lakini pengine hukujua kwamba watafiti mbalimbali wanangalia maeneo mengi ambapo unaweza kutumika kama kwenye kutabiri uamuzi wa mahakama. |
Kwa mujibu wa tafiti mpya iliyochapwa na PeerJ Computer Science, ambayo inaundwa na Chuo Kikuu kinachoitwa University College London, Chuo Kikuu cha Sheffield na Chuo Kikuu cha Pennsylvania, utashi wa kutumia kompyuta umeonesha uwezo wa hali ya juu wa kutambua matokeo ya kesi za haki za binadamu kwenye Mahakama ya Kesi za Haki za Binadamu Ulaya – kwa asilimia 79! |
Mbinu (Algorithm) iliyotumika huchunguza maneno (text) kwa machine learning – ambayo ni teknolojia zinazotumika kwa kompyuta kujifunza kutokana na data inayopewa. Waandishi wa mbinu hiyo hawatazamii ya kwamba utashi huu utatumika kama mbadala wa majaji na mawakili, bali unaweza kutumika kutambua tabia ya kesi flani flani na kesi gani zinapingana na makubaliano yahaki za Binadamu za Ulaya. |
Utafiti huu wa PeerJ Computer Science umegundua ya kwamba maamuzi ya matokeo ya kesi za hapo mahakamani yanaridhiana sana na uhalisia na si moja-kwa-moja na sheria, hii ikiashiria ya kwamba majaji wanaangalia sana uhalisia wa jambo juu ya urasimu. |
Hatahivyo, wachambuzi kadhaa wa sheria wameutazama utafiti huu na uwezekano wa kutumia utashi wa kompyuta mahakamani kwa mawazo tofauti, wakionesha wasiwasi wao juu ya “ethics” za kazi za mahakama – Si jambo jepesi kwa mashine kuamua kesi za binadamu. |
Teknolojia hii inaangaliwa kwenye sehemu kadhaa zilizoendelea duniani, ikiwemo Korea ya Kusini, jimboni Florida Marekani kwa kuwa kuna ukweli kwamba teknolojia hii inaonesha uwezo mkubwa na kuna fursa ya kupunguza gharama za uendeshaji wa kesi. |
Swali tunalokuachia nalo ni je, wewe unadhani ni sawa kutumia kompyuta kuamua kesi za binadamu hata kama zinaonesha uwezo mkubwa wa kuwa na uamuzi wa sawa na haki? |
Rais Magufuli Leo May 2, 2018 ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa hospital ya Kilolo ambapo amewataka watu wa mikoa ya Njombe na Iringa kuchukua tahadhari juu ya gonjwa la UKIMWI sababu mikoa hiyo ndio inayoongoza nchini. |
“Mkoa wa Iringa na Njombe ina maambukizi mengi ya UKIMWI, Iringa una 11.2% na Njombe ni 11.6%. Inawezekana sababu ya msingi ni baridi lakini sina uhakika. Ni lazima tuwajibike katika kujikinga na UKIMWI,” amesema Rais Magufuli. |
“Kwahiyo Iringa ni ya pili Njombe ni ya kwanza kwa maambukizi ya Ukimwi nilipofika hapa Kilolo inaonekana shida kubwa hapa ni baridi na kwasababu inaletwa na Mwenyezi Mungu inabidi tujikinge na kuchukua tahadhari zote kwa gonjwa hili.”Amesema Rais Magufuli |
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na waandishi wa Habari ambao hawapo pichani kuhusiana na suala hilo |
Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pandey akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutotoa kibali cha ubora unaohitajika na hivyo kusitisha uzalishaji |
Kilimanjaro ,Vivek Pandey kushoto akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutokutoa kibali cha ubora unaohitajika wa kiwanda hicho na hivyo kusitisha uzalishaji kulia ni Msimamizi wa Kiwanda hicho,Paskal Dimelo |
Tanga cha Kilimanjaro, Paskal Dimelo akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na shirika la viwango Tanzania (TBS) kutokutoa kibali cha ubora unaohitajika na hivyo kusitiza uzalishaji wake kushoto ni Mkurugenzi Uzalishaji wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro, Vivek Pandey, |
MBUNGE wa Jimbo la Tanga kupitia Chama cha Wananchi CUF Alhaj Mussa Mbaruku amemuomba Waziri wa Viwanda na biashara Charles Mwijage kuingilia kati ucheleweshawajiwa wa cheti cha ubora wa viwango unaotolewa na shirika hilo la TBS na kusababisha zaidi ya watumishi 300 kupoteza ajira baada ya kiwanda hicho kufungwa. |
Ameyazungumza hayo jana baada ya siku kadhaa kutolewa taarifa kwenye vyombo vya habari kuwa shirika hilo limechangia kwa kiasi kikubwa kupoteza ajira kwa zaidi ya watumishi 300 kutokana na agizo lao la kusitiza uzalishaji katika kiwanda hicho kwa madai ya kukosa ubora unaotakiwa. |
Aidha alisema ni jambo la kushangaza kwa viongozi wa mamlaka hiyo husika(TBS)ambapo kwa namna moja au nyingine wanaonekana wanaikwamisha Serikali katika mpango wake wa kukua katika uchumi wa viwanda ambavyo vinaweza kuwa mkombozi wa ajira hapa nchini. |
Hatua ya kusitiza huduma ya uzalishaji wa kiwanda hicho licha ya kuathiri ajira za wafanyakazi hao lakini pia itasababisha serikali kukosa mapato yanayoweza kusaidia kukuza uchumi wa Taifa na Mkoa wa Tanga . |
Kwa upande wake,Mkurugenzi wa Kiwanda hicho,Vivek Pandey alisema kinachowaasumbua wao ni cheti bora kutoka kwa shirika la viwango cha kutambuliwa hivyo wanaomba suala hilo liingiliwe kati na mamlaka husika ikiwemo serikali ili waweze kuendelea na uzalishaji ambao utaweza kuongeza wigo wa ajira kwa vijana. |
Alisema baada ya taarifa zao kutoka kwenye vyombo vya habari alifika mmoja kati ya wataalamu kutoka katika shirika hilo Jijini Dar es saalm na kuondoka na sampo ya bidhaa hiyo ambapo mpaka sasa bado hawajapata majibu sahihi ya hatma yao. |
“Baada ya taarifa zetu kuruka kwenye vyombo vya habari siku ya pili tu alitumwa mtu kutoka makao makuu ya TBS Jijini Dar es salaam na niliondoka nae sambamba na sampo ya bidhaa hiyo nahii leo ja (jana)kwenda tena ili kuona hatua gani zimechukuliwa dhidi |
Aidha alisema hatua hiyo ya kusitisha uzalishaji mbali na kupoteza ajira kwa vijana lakini wamekisababisha hasara kiwanda kwa zaidi ya shilingi Milioni 200 ambazo zinatokana na tani elfu 11 zilizozalishwa kisha kuonekana zipo chini ya kiwango. |
Hofu imetanda kwa wakazi wa Manispaa ya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wakihofia kuumwa na mbu anayeeneza ugonjwa wa dengue baada ya watu watano kugundulika kuumwa na wengine 11 wakionesha dalili za ugonjwa huo. |
Kaimu mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi Dr Christopher Mtamakaya ameyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa dengue na kutoa tahadhari kwa wananchi kufanya usafi katika mazingira yao ili kuepuka mazalia ya mbu. |
Dr mtamakaya ambaye pia ni mganga mkuu wa manispaa hiyo amesema watu watatu wamelazwa katika hospitali ya rufaa ya mawenzi na wengine watatu wakiwa wamelazwa katika zahanati. |
Amesema sampuli za ugonjwa huo zinachukuliwa ili kujua kama ni ugonjwa hatari wa dengue licha ya kuonesha dalili zote za ugonjwa huo. |
Hii inazidi weka wazi uhusiano wao mpya na kuonesha utafika mpaka mwaka 2017. |
imewasilishwa kwa YALitLover zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
imewasilishwa kwa eagle393 zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
imewasilishwa kwa Ilovegore zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
imewasilishwa kwa tzaddisamadhi zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
imewasilishwa kwa bookworm4nero zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
Serikali imesema inajiandaa kuupokea mradi wa ‘Global Learning XPRIZE’ unaowawezesha watoto walio nje ya mfumo rasmi kujifunza stadi za msingi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kupitia Michezo iliyowekwa kwenye tableti, kutoka kwa wadau wanaoufadhili baada ya kumalizika muda wa majaribio. |
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi kutoka TAMISEMI anayeshughulikia elimu nje ya mfumo rasmi na Elimu ya Watu Wazima, Odilia Mushi wakati akizungumza katika mkutano uliokutanisha wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), na taasisi mbalimbali za serikali. |
Mkurugenzi Msaidizi kutoka TAMISEMI anayeshughulikia elimu nje ya mfumo rasmi na Elimu ya Watu Wazima, Odilia Mushi akizungumza kuhusu maandalizi ya serikali kuupokea mradi wa Global Learning XPRIZE. |
“Tunaagiza wale wahusika, wadau wa elimu katika ngazi zote za kijiji hadi mkoa wa Tanga waone kama hiki kilicholetwa kwetu ni zawadi,na ni lazima kuuendeleza ili kupunguza watoto walioko nje ya mfumo rasmi; kwa maana hiyo inatakiwa tuwe na ushirikiano kuona changamoto baada ya huu mradi kumalizika ili kuzifanyia kazi.” |
Kaimu Mkuu wa Ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Faith Shayo akizungumza kuhusu mradi wa Global Learning XPRIZE. |
Akielezea utekelezaji wa mradi huo tangu ulipoanza na ulipofikia, Afisa Msaidizi wa Mradi kutoka UNESCO, amesema hadi sasa watoto zaidi ya 2000 kutoka vitongoji 141 katika wilaya 6 za mkoa wa Tanga wamenufaika na mradi huo. |
“Baada ya miezi 15 ya mradi kukamilika, mradi utakabidhiwa kwa serikali ili kuendelea kuusimamia. , ambapo tumekutana leo Tarehe 13/3/2018 na wawakilishi kutoka Baraza la Mitihani la Tanzania (BMT) , Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na TAMISEMI ili kuweza kuangalia ni jinsi gani watoto walio katika mradi wataingia katika mfumo rasmi katika ngazi husika,” amesema. |
Wadau mbalimbali wakichangia katika mkutano uliokutanisha wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), na taasisi mbalimbali za serikali kuhusu mradi wa Global Learning XPRIZE. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.