text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
Baada ya kuzinduliwa mkoani Mtwara hapo juzi, tamasha la Wasafi Festival litaendelea kuwasha moto kwenye mikoa mingine. |
Kwa sasa linaelekea mikoa ya Iringa ambapo litafanyika November 30, 2018 na Morogoro itakuwa ni Desemba 02, 2018. |
Adobe Reader – programu maarufu ya kufanya kazi na files PDF. sifa kuu ya programu ni pamoja na editing, na kuongeza ya maoni, kukabiliana, tafuta kwa maandishi, kufunga ya bookmarks na kufanya kazi na nyaraka ambayo ni ulinzi na password. Adobe Reader itawezesha kujipanga vipande asilia na moja kwa moja mabadiliko font ukubwa na upanuzi wa screen. programu pia interacts na huduma wingu la Acrobat ambayo itawezesha kupakua faili PDF na vifaa vingine au kompyuta na kuendelea kuangalia nyaraka kutoka sehemu ya kukatiwa. |
Great job, DarkSarcasm!!! ilitumwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita |
Limp Bizkit wachangiaji wa juu wa sasa |
Ni jambo zuri kwa Chelsea sasa |
Frank Lampard Anafunga goli la pili kuongeza bao lake la 203 kwa mtindo wa aina yake . waligongeana pasi nasi na Eden Hazard na kumpa nafasi ya kufunga Lampard ambaye anaoneka shujaa wa mchezo . |
klabu yake zamani ya Celtic ilifanya kama hivyo katika mechi yao dhidi ya St Johnstone leo |
Kerching Simu ya Mkono Simu Casino Promo Kanuni _… |
Luis Suarez jana aliweza kuifungia Uruguay mabao 2 katika dakika za (8,80) na kutosha kuweza kuingia robo fainali baada ya kuifunga south korea mabao 2-1,bao la korea lilifungwa na lee katika dakika 68. |
Makamu wa Pili wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ramadhan Nassib ametoa sh. milioni moja kwa waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam. |
Waamuzi wote hao wana beji za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), na watoka Dar es Salaam ukiondoa Chacha ambaye maskani yake ni Bukoba mkoani Kagera. |
OPEN HEART, OPEN MIND: Ukistaajabu ya Musa utaona ya 'SIRIKALI'! |
Baadhi ya mabango yaliyowekwa na wafanyabiashara wa Manzese jijini Dar es Salaam. |
Wafanyabiashara wa Manzese jijini Dar es Salaam leo wameandamana na kuweka mgomo wakuzuia kuvunjwa kwa maduka ili kupisha ujenzi wa barabara kuendelea. Akiongea na waandishi wetu, mmoja wa wafanyabiashara hao alisema: "hatuwezi kupisha serikali ijenge barabara pembeni ya maduka yetu na zaidi watu wanakuja kututoa hapa kimabavu, huyo Mwakyembe yuko wapi tunasema tutapigania hapa mpaka kieleweke." |
SOMA MATOKEO YA FORM SIX 2012 HAPA!! |
Baadhi ya wachimbaji wadogo wa maeneo ya STAMICO wakishangilia baada ya kutembelewa na Mbunge wa Jimbo la Busanda. |
Mbunge wa Busanda akipatiwa maelekezo na mmoja kati ya viongozi wa maeneo ya STAMICO. |
Makamu Wa Rais |
SIKU KAMA YA LEO |
3 TCU: HII HAPA ORODHA YA VYUO NA MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WAMEKOSA SIFA YA KUENDELEA NA MASOMO 2016/2017 |
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema inaendelea na jitihada za kulipatia Ufumbuzi tatizo la ukosefu wa Usafiri wa Uhakiki wa kutoka pemba kwenda Tanga ili wananchi waweze kunufaika na huduma ya usafiri. |
Naibu waziri wa Wizara ya ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Muhammed Ahmada amesema serikali inatambua tatizo la ukosefu wa Usafiri na tayari inazungumza na kampuni ya Azam Marine kuharikisha matengenezo ya Meli ya Sea link2 ili iweze kutumika kwa usafiri wa Pemba kwenda Tanga. |
Wizara ya Afya Zanzibar imesema jumla ya Wafanya kazi 78 wa kada mbalimbali wanatarajia kuajiriwa Pemba ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika wizara hiyo. |
Akijibu swali katika kikao cha Baraza la wawakilishi Chukwani,Naibu Waziri wa Wizara hiyo Harusi Saidi Suleiman amesema uajiri huo wa wafanya kazi utasaidia kupunguza tatizo la Uhaba wa wafanyakazi hususan madaktari katika Baadhi ya hospitali na Vituo vya Afya. |
Amesema Serikali inatambua Suala la Uhaba wa Wafanya kazi katika baadhi... |
Picha: Ugawaji wa kamusi kwa vyombo vya habari Pemba |
MKUU wa Idara... |
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa kwa Kamanda wapolisi Mkoa wa Kusini Pemba kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi mohamed shekhan mohamed aliefika katika tukio hilo... |
Eneo la fukwe Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba... |
MKOA KASKAZINI PEMBA WENYEJI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI (MEI MOSI). |
Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akifungua Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa wake. Katibu Mkuu Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Khamis Mwinyi Mohammed (aliesimama) akitoa maelezo juu ya mchakato na... |
Kaskazini Pemba kuwa wenyeji wa maadhimisho siku ya wafanyakazi duniani |
Katibu Tawala Mkoa Kaskazini Pemba Ahmed Khalid Abdalla akiwakaribisha wageni katika Mkutano wa kujadili maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa huo. |
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akifungua Mkutano wa kujadili madhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani yanayotarajiwa kufanyika katika Mkoa wake. |
Katibu Mkuu Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Zanzibar (ZATUC) Khamis Mwinyi Mohammed (aliesimama) akitoa maelezo juu ya mchakato na... |
ELIMU YA AFYA YA UZAZI YASISITIZWA KUOKOA VIJANA KISIWANI PEMBA |
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) limetakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kisiwani Pemba ili kuokoa kizazi kutokana na kukua kwa wimbi la kuingiliana kinyume cha maumbile. Kauli hiyo imetolewa na washiriki wa mafunzo ya Elimu ya afya ya Uzazi na Elimu kwa mtoto wa kike yanayoendelea Micheweni, Kisiwani Pemba . Wakichangia mada ya afya ya Uzazi, iliyotolewa na Mkuu wa Elimu ya Afya Wilayani Micheweni, Sulemani Faki Haji, mshiriki... |
ni wa mwezi mmoja na nusu au miwili. |
Mwanamke huyo mwenye miaka 27 ambae hakuwahi kuolewa, muda mfupi kabla ya kufariki dunia aliwaeleza madaktari wa hospitali ya wete kuwa alitolewa mimba hiyo katika nyumba moja eneo la selemu wete , mwanaume mmoja na mwanamke mmoja ndio waliyomtoa, pia... |
Breaking News : DIWANI WA CHADEMA KATA YA NAMAWALA... |
Habari za Mikoani |
Pabata maji wa porini - Hadithi za Kiswahili - Katuni za Kiswahili - Hadithi za Watoto - Hadithi za Kiswahili za Watoto - Hadithi - 4K UHD - Swahili Fairy Tales Kuangalia video zaidi... |
Penzi la Nguva na Mvuvi-sehemu ya 1(Simulizi ya kusisimua) |
Jipatie Vitabu vya Akili and Me! _ Katuni za Elimu kwa Kiswahili |
Kampuni ya UBONGO Learning ambao ni watengenezaji wa katuni za “Ubongo Kids” na “Akili and Me”, wamezindua vitabu vya lugha ya Kiswahili na Kiingereza ili kuwasaidia watoto wa Kitanzania... |
HADITHI FUPI: SIMULIZI YA KUSISIMUA "TAMAA YA MAPENZI" |
Pia unaweza like comment ku-SHARE video zetu kwenye magroup ya whatsapp,facebook na kwengineko Tafadhali SUBSCRIBE channel yetu ili uwe wa mwanzo kupata habari za matukio siasa michezo burudani... |
SIMULIZI YA MAPENZI.. |
Video Bora za Uncle T _ Ubongo Kids _ Katuni za Elimu kwa Kiswahili |
Hadithi za Watoto _ "Mwili Wangu ni kwa..." _ Akili and Me - katuni za Kiswahili |
Hadithi ya watoto ya Kiswahili! Tusome kitabu pamoja! Jifunze kuhusu mwili kupitia kitabu hiki! Angalia Akili and Me kupitia TBC1 Tanzania na mtoto wako! Atajifunza herufi, namba, kuchora,... |
Je, Mungu ana jina? Yehova ni tafsiri ya jina la Mungu katika Kiswahili ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi. |
Je, una bajeti pesa zako? _ Maswali ya Ubongo Kids _ Katuni za Elimu kwa Kiswahili |
Video Bora za Mama Ndege _ Ubongo Kids _ Katuni za Elimu kwa Kiswahili |
Kila mtu anampenda Mama Ndege! Angalia video bora za Mama Ndege kutoka msimu wa kwanza hadi wa tatu wa Ubongo Kids! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua... |
Misingi ya Hisabati _ Hesabu na Ubongo Kids _ Katuni za Elimu kwa Kiswahili |
MAKALA MAALUM: KUTANA NA MTUNZI MKONGWE WA VITABU VYA HADITHI NA MASHAIRI TANZANIA " HAJI GORA" |
juu ya mataifa yote |
POLISI mkoani hapa inamsaka Mbunge wa Jimbo la Nyamagana kupitia CHADEMA, Ezekia Wenje kwa tuhuma za uchochezi. |
Aidha, limemuonya mbunge huyo pamoja na wafuasi wa chama hicho kwamba wasithubutu kuvunja au kuchoma mali za halmashauri ya Jiji la Mwanza na mali za wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akitoa onyo hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Simon Sirro aliwataka wafuasi wa chama hicho pia kutothubutu kuvamia kituo kikuu cha polisi kwa lengo la kukomboa pikipiki zilizokamatwa kwa mujibu wa sheria, vinginevyo watakiona cha moto. Wenje katika mkutano wake alioufanya katika viwanja vya Sahara mjini hapa Desemba 6, mwaka huu, alihamasisha wanachama wa chama hicho kuharibu mali za jiji na za wanaCCM. |
Kamanda Sirro alifafanua kwamba alipata taarifa kuwa Wenje katika mkutano huo alikuwa akihamasisha wananchi, wakiwemo wafuasi wake kwamba Desemba 17, mwaka huu waende katika ofisi za halmashauri hiyo kusubiri matokeo ya Meya wa Jiji la Mwanza na iwapo hatatoka katika chama chake, wachome viwanda na hoteli za matajiri zinazomilikuwa na wana CCM. |
Katika uchaguzi mkuu uliopita Oktoba 31, mwaka huu, jijini Mwanza, CCM ilipata viti tisa vya madiwani, CHADEMA 11 na CUF kimoja ilichoambulia Novemba 28, mwaka huu, wakati wa kukamilisha uchaguzi wa madiwani kwenye kata za Mirongo na Mkuyuni. |
Sirro alisema juzi saa 12.40 jioni wafuasi wa CHADEMA walifunga barabara za Makongoro na Nyerere wakati wakiandamana kutoka eneo la Magomeni Kirumba kwenye mkutano wa wabunge Wenje na Hines Kiwia wa jimbo la Ilemela hadi maeneo ya kati kati mji na kusababisha usumbufu. |
Kwahiyo, Dar na Mwanza polisi wao ni tofauti? Bahati yako umeanza na Gazeti la CCM Uhuru.... |
...yupo kwenye kikao cha wabunge wa CDM, jijini Dar! |
Haifai kutumia gazeti la Uhuru kama chanzo cha habari. Hakuna mtu yeyote sasa hivi, hata wana CCM wanaolitumia gazeti hilo kama chanzo cha habari. Leo nilikuwa naongea na Kiongozi mmoja wa CCM kuhusiana na wahisani kutoa tamko kuhusu msaada wao kwa Tanzania. Akaniambia kuwa, 'nimesoma kwenye gazeti la uhuru wameandika maneno fulani kuhusiana na wahisani lakini siwezi kusema chochote maana huwezi kuamini habari yoyote kwenye gazeti hili mpaka uone hiyo habari imeandikwa na magazeti mengine kama Mwananchi'. Kwa ushauri tusipoteze kuongelea habari zinazoandikwa na magazeti kama Uhuru ambayo waandishi wao hawaelewi hata maana ya 'HABARI'. |
Dawa ya mke/mume anaetokatoka nje mpe ruksa aende mojakwa moja. Hakuna haja yakutafuta ugomvi usio na maendeleo. |
Unadhani inawezekana kweli hapa duniani kumwambia mwenzi wako, baada ya wewe kutoka nje na yeye kujua, kwamba - unajua kuna mapungufu fulani unayo, nadhani tuyaongelee ili mimi nisitoke tena nje ya ndoa.......nk nk nk? Never! |
Kama mnaelezana mapungufu yaliyopo bila woga,kutakuwa hakuna sababu ya kutoka nje. |
Maharamia huwezi kuwafanya chochote, we hangaika na ndoa yako. |
Zaidi ya watu 65 wamefariki maeneo tofauti kutokana na athari ya Mvua |
Baadhi ya wakulima walalamikia bei ya chini ya Nyanya Laikipia |
Serikali imeahidi kushirikiana na familia ya marehemu… |
Zaidi ya watu 65 wamefariki maeneo tofauti… |
Raila akutana na wazee wa jamii ya… |
Hana umuhimu, ni hasara tupu, ni mzigo tu, ni janga tu, mzee wa hekaya za mchakato, kujipanga, na madudu gani sijui, khaaa!! |
amewapa changamoto wabunge wa ccm kuwa wao ccm ni wengi na kwa wingi wao wakiamua kuiwajibisha serikali wanaweza. |
Hata Wananchi kama tungelikuwa na uwezo wa kupga kura ya kutokuwa na IMANI na Serikali. Bila shaka wengi wangeliiunga mkono hoja hiyo. |
Hakuna kitu kama hicho Tanzania. Nafurahi kutoa maoni katiba mpya, kusiwepo na nafasi ya waziri mkuu kwani hana maamuzi hadi mkubwa wake arudi kutoka Brazil. |
ipigwe kura ya kutokuwa na imani na serikali yote..............tumewachoka kama nepi iliyonyewa na mtoto . |
jamani huyu si ndo yule mtoto wa mkulima..........hatuna viongozi |
Unaweza kuua na kufukia kaburini, lakini kidole cha shahada kitashuhudia. Kuwahukumu wapinzani kwa hila hakutabatilisha haki na mapenzi ya wapiga kura wao. Mmefilisi serikali na huku mnataka chaguzi ndogo kwa lazima; sawa lakini muyapokee matokeo na gharama zake kwa moyo mkunjufu. |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.