text
stringlengths 0
4.5k
|
---|
...........WanaJF wenzangu kwanza awali ya yote napenda kuwapa pole kwa matatizo haya ya umeme yanayoendelea kwa kasi...mgao huu wa umeme unaweza ukawa unaenda kufanana na ule mgao wa umeme wa 2006..Ni hali ya kuhuzunisha sana ktk hali hii hakuna kiongozi mkubwa wa kitaifa halieye kubali kutoa tamko la wazi kuhusu hii hali tata..Na cha kushangaza wanawarushia mzigo TANESCO waseme..Juzi siku ya ijumaa Clouds Fm kupitia kipindi chao cha JAHAZI walifanikiwa kumpata injinia mmoja wa TANESCO kuzungumzia hilo baada ya kupata taarifa kuwa BADRA MASOUD msemaji wa TANESCO yuko nje ya nchi kikazi..kwakweli waliofanikiwa kumsikia halisema wazi kama ifuatavyo... |
Tuache siasa tatizo la umeme ni kubwa sana na akasema hitaji la Taifa ni megawatt zaidi ya 800 na kwasasa mashine zetu zinazalisha megawatt 500 tu..kwahiyo tunaupungufu wa megawatt 300 na zaidi.. |
Na akasema kwa uwazi kabisa...mgao wa umeme utadumu kwa nusu mwaka wote kwa wastani wa masaa 10 mpaka 24..hii inamaana kuwa kuna siku tunaweza kosa umeme kwa siku nzima..... |
My concern is;kwanini hali hii itokee wakati matatizo tunayafahamu? Na kinachoniumiza ni kuwa viongozi wetu wakubwa kama Waziri mwenye dhamana ya umeme na Rais hawatoi tamko lolote kutokana na hali hii...Watanzania tutaendelea kuwa wapole kwa hawa watu mpaka lini? |
Inakera na inaumiza...mimi jana nimekosa umeme tangu saa 1 usiku mpaka saa 7 usiku....itakuwaje? |
"Tutahakikisha kuwa nchi haiwi gizani na kwamba umeme wa ziada unaotakiwa utapatikana na shughuli za uzalishaji mali na utoaji huduma zinaendelea kama kawaida." |
Wewe saa moja mpaka saa saba sie huku kwetu siku tatu mfululizo,hali ni mbaya na ni aibu kwa taifa |
Watz wenzangu,sjui hawa viongozi wanawachukuliaje na kuwafikiria wananchi,hivi wo wanafikiri kuwa watu wote wanaishi kama wanavyo ishi wao na watoto wao,hakika isingekuwa kuogopa mods kwa ajili ya 'ban' ningewapa live.Miaka 50 baada ya uhuru,hatuna umeme wa kueleweka,nchi masikini,watu wankufa kw ajili ya huduma mbaya ya afya,elimu duni,walimu hamna,wakati wachache wananufaika na kushibisha mitumbo yao,tunaelekea wapi jamani,watu hawataki kubana matumizi sanasana ndo wameongeza matumizi ya kodi ya wavuja jasho!Ee Mungu sikiliza basi kilio cha watanzania |
Ukiwa kama mwana JF ambaye unataka mabadiliko ya kweli kwa watanzania, leo hii JK anakuteua kushika wadhifa fulani serikalini au katika shirika la umma; je utakubali? Kama ndio au hapana, tupe sababu za msingi! Ulimwengu alikwisha wahi mkatalia Mkapa!! |
No, kwa vile nitakuwa napoteza raslimali muda bure. Hakuna sababu ya mimi kuajiriwa mahali ambapo nina uhakika 100% nitakuwa fired baada ya miezi 2-3... |
3.Watu wote ambao hawana uwezo wa kuleta mabadiliko nitawang'oa,itakuwa siyo serikali ya kulipana fadhila.. |
Mtu yeyote akiteuliwa na rais kushika madaraka bila shaka atayakubali isipokuwa rais mwenyewe hawezi kumteua mtu yeyote asiyekuwa mwanachama wa CCM kushika madaraka ya uongozi ngazi ya juu ya uongozi wa serikali kutokana na mfumo wa Kijamaa tulokuwa nao.. |
Toka enzi ya Mwalimu kiongozi yeyote alilazimika kujiunga na chama kwanza ili kupewa wadhifa wa juu serikalini au mashika ya Umma..Hivyo ni swala la kuuliza - Je, rais anaweza kumteua mtu kushika wadhifa serikalini au shirika la Umma hali mtu huyo ni Mpinzani wa siasa za chama CCM? |
Waziri wa maji Mh. Mark Mwandosya aliwahi kuacha kazi akarudi kufundisha baada ya kuletewa mizengwe katika maamuzi yake ambayo aliyaona yalikuwa sahihi. By then alikuwa katibu mkuu wa wizara na JK alikuwa waziri. |
Mkuu, naomba radhi in advance.... mbona sijaona hiyo nafasi ya uwaziri kutoka kwa mtoa mada? yeye amesema wadhifa tu, kwani wadhifa ni uwaziri tu jamani?? |
Mkuu sijakuelewa hapa maanake najua ktk serikali ya Marekani wapo viongozi walioshika mamlaka wakati wa Bush na wanaendelea kushika mamlaka hayo wakati huu wa Obama..Hapa kwetu wapo viongozi wengi wa mashirika ya Umma na vyombo vya utendaji ambao elimu na ujuzi wao wa kazi (uongozi) hauhusiani kabisa na Uanachama au itikadi ya chama. |
Mtumishi wa Umma sii lazima awe mwanachama wa chama tawala ili kufuata sera za chama chake isipokuwa ni elimu yake ndiyo inayompa nafasi ya kushika wadhifa huo...Hapa ndipo tunapotenganisha Siasa na Uongozi, ingawaje ktk madaraka yote ya juu serikalini ni lazima chama kinachotawala kusimamia mamlaka yote yanayoongoza vyombo vya serikali..Sina hakika zaidi na mfumo wa kiutawala lakini hivi ndivyo navyuoona wenzetu wakishiriki ktk Utawala wa nchi zao. |
Ukikubali uteuzi wa Kikwete maana yake umekubali mfumo wa utendaji wa serikali yake; kuwatumikia mafisadi na si wananchi!! |
Hapana siwezi kukubali nafasi hiyo. Sababu yangu ya msingi ni kama ifuatavyo:- |
Asilimia kubwa ya viongozi walio madarakani ni wachafu, wananuka rushwa, wizi, uzembe, uvivu nk. Na hao ndiyo watu nitakaopaswa kushirikiana nao kila siku katika utendaji wangu wa kazi. Itaniwia vigumu sana kufanya kazi na watu kama hao kwani sina huruka na tabia kama hizo. Nitawachukia watu hao, nitaichukia kazi yangu na kujichukia mimi mwenyewe. |
Na kumbuka ukifuatana na genge la wezi na wewe utaishia kuwa mwizi. |
MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk Mohamed Bilal amewataka wananchi wa Mkoa wa Tanga kuwapuuza wapinzani kwa wanasema kwamba wakiingia madarakani wataoa huduma ya elimu na afya bure kwa kuwa mpango huo ni sawa na ndoto za mchana. |
Dk Bilal aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni wa chama chake uliofanyika katika uwanja wa Tangamano pamoja na mambo mengine alisema wananchi wa Tanga wakiwapeleka madarakani wataiboresha huduma ya usafiri wa Reli. |
Dk Bilal alisema watajenga viwanda ili kuumarisha uchumi wa Taifa na kuwapa ajira vijana na bidhaa hizi zitasafirishwa kwenda nje ya nchi kupitia bandari ya Tanga na serikali itaongeza mapato yake na kutekeleza ahadi zake. |
Alisema CCM imetekeleza ilani yake ya uchaguzi tangu uchaguzi wa kwanza wa mwaka 1995 na kuweza kufikia asilimia 98 na bado asilimia 2 tu ili iweze kufikia malengo yake na kuwataka wananchi wa mkoa huo kuwapa kura nyingi siku ya uchaguzi. |
Alisema chama cha CCM kina uzoefu wa kuiongoza nchi na kudai kuwa ndio maana wanaomba tena wachaguliwe. |
Dr. Bilal yeye ndiye amefilisika kisiasa kwa sababu kama misamaha ya kodi kwa wachimbaji madini wakubwa ikiondolewa tu tutaokoa shilingi bilioni 700 kila mwaka. Angetafakari hilo tu asingeweza kuthubutu kusema haya:- |
Ajue tunahitaji bilioni 38 tu kuwaongezea wanafunzi wa vyuo vikuu ili wakasome kwa furaha na bilioni 400 tu kufanikisha mpango wa elimu ya msingi hadi kidato cha sita kuwa bwerere............katika bilioni 700 bado tuna mabaki mengi ya kuwalipa waalimu, kuwajengea nyumba, kulipia huduma za afya na kuwa bure na kukarabati vyuo vyetu ambavyo vimechoka sana. |
makaa ya mawe, |
Lakini ingekuwa vyema kama tungeambiwa hiyo elimu na huduma za afya za bure zingegharimiwa vipi. tusipende mno majibu mepesi kwa maswali magumu. |
.... huyu mbovu naye. dawa ni kuweka pembeni hawa wazee. pesa za kumwaga kwenye kampeni zipo ila za watoto wa kidanganyika ndoto. Mabango ya kampeni TAnzania nzima wametoa wapi!!. Ruzuku ya CCM inakura kodi kiasi gani.HUu ni uwendawazimu!! Kula kichwa cha CCM mpe Dr.Slaa ushindi. HAKIKISHA HAWA WAZEE WENYE FIKRA MGANDO HAWARUDI TENA MPAKA BAADA YA MIAKA 300 IJAYO. TUNATAKA IBAKI HISTORIA. WEKA CCM MAKUMBUSHO - KOFIA ZAO NA TSHIRT. |
Hicho chama sio tena kwa manufaa ya walalahoi tena...! |
1.chuo kikuu cha dodoma |
Hawa wazee wa CCM akili zao zimeoza kweli. |
hawa nao tushawachoka. Wanaona watz wote ni mazuzu kama wao. Ahadi zao ni nyingi mno na mikakati ya kuzitekeleza hakuna. Yaani ahadi kwao zimekuwa kama daraja la kuvuka uchaguzi na ushindi. Kikwete kaahidi meli, viwanja vya ndege, bajaj 400 ..nk.. |
"Semina, warsha sasa kwa kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu |
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingia kwenye orodha ya viongozi waliojaribu kupiga vita semina na warsha kwa taasisi za serikali baada ya kuzipiga marufuku kwa kile alichoeleza kuwa ni matumizi mabaya ya fedha za serikali. |
Tamko kama hilo limeshawahi kutolewa na viongozi kadhaa wa juu wa serikali zilizopita bila ya kuwa na mafanikio, lakini Pinda amekwenda mbali zaidi kwa kuzitaka wizara zitakazotaka kuandaa semina, warsha au kongamano kuomba kibali kutoka ofisi yake. |
Pinda alitoa tamko hilo juzi kwenye viwanja vya Mteteja wilayani Mpwapwa alipokuwa katika ziara ya siku ya tano mkoani Dodoma na akaweka msisitizo zaidi kwa kusema atalisimamia agizo hilo kwa nguvu zake zote. |
Alisema kuwa kuanzia sasa hakuna wizara itakayofanya semina au warsha na makongamano bila ya kibali cha ofisi yake. Alisema ofisi yake itatoa kibali baada ya kupata maelezo sahihi kuwa semina au warsha inalenga nini na kwa faida ya nani. |
Pinda alisema kuwa fedha zinazoteketezwa kwenye makongamano, semina na warsha hizo ni nyingi sana kiasi cha kuweza kusaidia katika miradi mingine yenye tija kwa wananchi wa Tanzania. |
Unajua serikali yetu ni masikini sana lakini watu wanapanga kujinufaisha kwa kutumia makongamano na semina wao wenyewe. Sijui wakulima wa huku vijijini wanaufaikaje kama si kumuongezea mwenye nacho," alisema Waziri Mkuu na kuongeza: |
"Walipoleta tu mimi niliangalia nikagundua kuwa wanataka kumaliza fedha bure hawa... nikasema NO, haiwezekani kabisa fedha nyingi kiasi hiki kutumika kwa ajli ya vitu vya namna hii wakati walipa kodi hawafaidi na kitu chochote." |
Pinda alisema anafanya mpango wa kuwasiliana na rais ili kumweleza juu ya nia hiyo ya kuzuia mambo hayo na kwamba fedha zilizotengwa kwa ajili ya mambo hayo, zitumike kununulia pembejeo za wakulima ili kuwapunguzia makali ya maisha. |
Wakati huohuo, Waziri Pinda amemuagiza mkuu wa mkoa wa Dodoma kuwa mkali ili aweze kuwazuia madiwani wa mkoa huo wasiende kufanya ziara wanazosema kuwa ni za mafunzo na badala yake alisema wanatakiwa kujifunza wakiwa ndani ya halmashauri zao. |
Alimweleza kuwa ni lazima ufike wakati mkuu huyo wa mkoa akaacha huruma kabisa na kutenda kazi aliyomtuma ili fedha zilizokuwa zikitumika katika ziara za mafunzo hayo, zitumike katika miradi ya maendeleo ya wananchi katika halmashauri zao. |
Mambo mengine yanashangaza sana lakini pia yanatuonesha kuwa jinsi "tulivyo". HIvi kabla ya agizo hili hii mikutano, warsha, na semina zilikuwa zinafanywa kwa taratibu gani hadi kusababisha watu kutumia mambo hayo kujitengenezea fedha? Angalau ni hatua muhimu. |
Hata hivyo swali ni jinsi gani serikali itapima mafanikio ya maagizo haya? Vipi kama kila warsha na semina wanayoomba ina lengo zuri, jina zuri na inayohitajika kwa watumishi? |
Ni vizuri kuweka vigezo wazi kabisa vya makongamano, semina na warsha; lakini wakati huo huo kutorudisha maamuzi muhimu kwenye idara na ofisi za sserikali mikononi mwa Waziri Mkuu kwani ni kurudisha ukiritimba usio wa lazima. |
Kwa maana ya kwamba miaka mitano iliyopita kwa wastani Marekani ilitoa bilioni za kibongo 163. Je unafikiri wanaweza kunotice kutoweka kwa bilioni 133 toka EPA? |
Kumbuka hiki ni kiasi tofauti ya kile kilichotolewa na Rais Bush cha milioni 698USD mapema mwaka huu kupitia Millenium Account Challenge. |
Pinda alitoa tamko hilo juzi kwenye viwanja vya Mteteja wilayani Mpwapwa alipokuwa katika ziara ya siku ya tano mkoani Dodoma na akaweka msisitizo zaidi kwa kusema atalisimamia agizo hilo kwa guvu zake zote. |
Serikali ingeangalia ni kwa vipi taasisi nyingine esp. mashirika ya kimataifa wameweza kufanya watumishi wake wahudhurie mikutano, seminar etc bila kulipwa posho yoyote kwa maana ni sehemu ya kazi na ukipokea malipo utachukuliwa hatua za nidhamu ikiwa ni pamoja na kukatwa mshahara.Huu ni utamaduni ambao umeshajengeka serikalini na hata kwenye local NGOs wa kutegemea kulipwa hata kama mafunzo ni kwa manufaa ya mhudhuriaji.Inabidi kubomoa utamaduni huu na hii itawezekana kwa kulipa watu living wages. |
Uvujaji wa mapesa ya serikali una njia nyingi. Hii ya semina, kongamano, elekezi, ... ni ndogo ukilinganisha na safari za NJE na NDANI, maadhimisho ya sherehe za kitaifa, misafara mikubwa ya viongozi wa kitaifa mikoani, manunuzi hewa ya stationery, furniture,..., orodha ni ndefu. |
Mkuu asante kwa mchango wako, |
Yap hili ni neno nadhani Pinda anaonekana kukerwa kama ambavyo mwananchi wa kawaida anavyokereka na mambo haya, keep it up boy. Wakati tukiwa chuoni tulikuwa tunasikia kwamba ni heri upate kazi ya mshahara wa laki tatu Serikalini kuliko laki tano katika kampuni binafsi kwa mfano wakuu. Kwa sababu..... |
3. Warsha na mikutano( mambo ya perdiem) - Hapa ndio mshahara wa serikali +perdiem UNAKUWA MKUBWA KULIKO mshahara wa kampuni binafsi |
1. Kubana idadi ya watu |
Mwanakijiji! Jamani Mwanakijiji, naomba uache kufikiri na badala yake ufahamu kuwa aid thing is killing us silently. Ni kama saratani. Hii ni njia inayo corrupt viongozi na waserikali kuliko njia nyingine yoyote. Tunauza nchi kwa kupitia misaada! Hebu nipe mfano wa nchi moja...au hata jirani yako aliyewahi kuendelea na kubadilisha maisha yake kwa sababu alikuwa anajua kuomba sana misaada? Hakuna! |
lakini the bottom line ni kwamba serikalini mshahara wanaotoa wanajua ni mdogo kumwezesha mfanyakazi kutunza familia yake na yeye mwenyewe, kulipa ada, usafiri, kodi ya nyumba etc |
na ni kweli watu wa serkalini mshahara mdogo lakini maisha yao yapo juu sana kiubora kutokana na hizi nafasi nyingine.... |
Nauza Holux GPS receiver (bluetooth). Vile vile unaweza kuunganisha katika kifaa chako k.m. laptop kwa kutumia cable. Bei ni maelewano tu. Anayehitaji ani PM. |
Hiyo inaongeza speed ya gari hasa kama uko ktk safari ndefu. Tupe bei jombaa! |
Haiwezekana uwe na uhusiano na mtu aliyekufa (mzimu), au inawezekana kuna roho mbaya ya shetani, |
Dah, kataa hiyo hali, ikemee kabisa kwa jina la Yesu, ikutoke kaka angu. |
Ila nakubaliana na walioandika kabla yangu: Sali sana Mungu atakupa nguvu ya kuacha kufikiria hizo ndoto na atakurudishia furaha ya maisha tena. |
Unahitaji msaada wa kiroho zaidi. Hakuna uhusiano wowote kati ya walio hai na waliokufa, hiyo ni roho chafu inakufuatilia. Nenda kamuone mchungaji yoyote wa kanisa la kiroho vinginevyo utafunga ndoa na hilo jini alafu ndo itakuwa balaaaaa!!!!!!!!! |
Ndugu hilo ni jini mahaba na kazi yake ni uharibifu wa maisha ya watu. kinachofuata ni kushindwa kuwa na ndoa njema hapo baadae ukij kuoa, maisha yake ya afya, kifedha kikazi yoter yataharibika. Nakushauri uende kanisa lolote la kiroho lilioko karibu nawe ili ukapate msaada. ni pm kwa msaada zaidi. usiende kwa mganga wa kienyeji ndo utaongeza shida zaidi. |
Marudio yapo tatizo mgao! Kwetu tunapata umeme saa 5 usiku hadi saa 2 asubuh tu muda mwingne ni nyeusi |
hivi hizi cd zinapatikana wapi? |
Sijui kama ni jukwaa sahihi au lah!Kwa wale wapenzi wa tamthilia ya Daniela ya chanel ten shost anaomba kujua jana imeendeleaje kwa summary, huu mgao wa umeme hauwak cku ya pili leo. |
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) imesema kuwa wamejipanga katika utoaji wa elimu ufundi katika uchumi wa viwanda. |
Amesema kuwa kumekuwa na mafanikio katika utoaji wa mafunzo ya ufundi stadi ikiwa nipamoja vijana kuingia katika soko la ajira za moja kwa moja na wengine wakijiajiri . |
Maduki amesema katika uchumi wa viwanda VETA ina nafasi kubwa hivyo ni wajibu wao kuzalisha vijana wengi wa kutumika katika uchumi huo na taifa kusonga mbele . |
Aidha ametoa wito wa vijana kujiunga na vyuo vya VETA katika kupata ujuzi na kuwa watu kuzalisha pamoja na kujipatia kipato cha kuendesha maisha yao. |
“Hatutarudi nyuma kwa kuliacha jambo la viwanda wakati ni sehemu ya wadau muhimu wa katika utoaji wa ujuzi wa viwanda” |
.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano Watanzania, Kassim Majaliwa akikabidhi kikombe cha ushindi kwa Mwenyekiti wa Bodi wa VETA, Peter Maduki katika ufunguzi wa maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Bodi wa VETA, Peter Maduki akitoa maelezo katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Bodi wa VETA, Peter Maduki akipata maelezo katika banda la Chuo Kikuu Mzumbe wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Bodi wa VETA, Peter Maduki akipata maelezo katika banda DIT wakati alipotembelea banda katika maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mteja wa akipata maelezo ya kusoma Kipawa VETA kwa njia ya mtandao wakati alipotembelea banda katika maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Mwanafunzi wa VETA kipawa akitoa maelezo ya ubunifu wa uzio wa ulinzi kwa mwananchi aliyepotembelea banda katika maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
Wafanyakazi wa VETA wakiwa katika furaha ya ushindi wa kikombe katika maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa katika Viwanja vya Mwalim Nyerere jijini Dar es Salaam. |
PICHA ZA MECHI YA SIMBA NA YANGA INAYOCHEZWA MUDA HUU UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR |
Waziri wa Viwanda ,Biashara na wawekezaji Charles Mwijage akitoa heshima ya mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa Mwandishi wa Wiza... |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika kikao cha kupokea Taarifa ya Maendeleo ya Ujenzi wa... |
Benki ya CRDB na Jeshi la Magereza kuendelea kuboresha uhusiano wa kibiashara |
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) akizungumza na baadhi ya maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza nchini, j... |
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii WAMILIKI wa visambusi(ving'amuzi)nchini wameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa kusimamia na kufuata... |
MTAA KWA MTAA TV |
KAMERA YA MTAA KWA MTAA |
Home / SIASA NA UCHUMI / TANZANIA / Hatma ya Z'bar gizani |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.