text
stringlengths
3
16.2k
Bw Odinga pia aliishutumu serikali kutokana na mipango yake ya kuuza mashirika 11 ya umma, yenye thamani Sh200 bilioni.
Tags
You can share this post!
Previous article
Kinara wa Benki ya Equity na familia ya Moi wakabana koo...
Next article
Raia wa Uholanzi motoni kwa kudhulumu watoto kingono
T L
STANLEY NGOTHO na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, sasa anaitaka serikali ya Kenya Kwanza kupunguza bei ya mafuta ya magari kwa kima cha Sh50. Akiongea Jumamosi, Desemba 9, 2023 katika Kaunti ya Kajiado, Bw Odinga alitaja kushuka kwa bei mafuta katika masoko ya ulimwengu kama sababu ya kuitaka serikali kushusha bei ili kuwapa raia afueni. Kwa mara nyingi, alimsuta Rais William Ruto kwa kuendesha serikali isiyojali maslahi ya wananchi kwa kuwatoza ushuru wa juu na kudinda kupunguza gharama ya maisha. “Tunafahamu fika kwamba bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu imepungua kwa kiwango kikubwa. Kwa hivyo, tunataka bei ya bidhaa hiyo nchini kushuka mara moja. Bei isipunguzwe kwa Sh5 tu kuwahadaa Wakenya, bali kwa kiwango cha kuanzia Sh48 hadi Sh50,” Bw Odinga akasema. Alikuwa akizungumza katika kijiji cha Merrueshi, eneo bunge la Kajiado Mashariki, ambako alihudhuria hafla ya kutoa shukrani kwa heshima ya Mbunge wa eneo hilo Kakuta Maimai. Mbunge huyo, anayehudumu bungeni kwa muhula wa kwanza, alichaguliwa kwa tikiti ya ODM. Mamlaka ya Kusimamia Sekta ya Kawi na Petroli (EPRA) hutumia viwango vya bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu kukadiria bei mpya ya rejareja ya bidhaa hiyo tarehe 14 kila mwezi. Mnamo Alhamisi, Desemba 7, 2023 bei ya bidhaa hiyo ilishuka hadi dola 69.6 (sawa na Sh10,676.28) kwa pipa – bareli katika masoko ya kimataifa. Bei hiyo ya mafuta yasiyosafishwa kutoka kampuni ya Murban, ni ya chini zaidi kushuhudiwa tangu Julai mwaka huu, 2023, japo ilikuwa juu kidogo kuliko bei ya Jumatano, Desemba 6. Juni 2023 bei hiyo ilishuka hadi dola 69.15 ya Amerika, sawa na Sh10,607.73 kwa pipa. Novemba 14, EPRA iliweka bei ya mafuta aina ya petroli katika kiwango cha Sh217.36 kwa lita, huku dizeli ikiwa Sh203.47 jijini Nairobi. Bw Odinga pia aliishutumu serikali kutokana na mipango yake ya kuuza mashirika 11 ya umma, yenye thamani Sh200 bilioni.
Tags
You can share this post!
Previous article
Kinara wa Benki ya Equity na familia ya Moi wakabana koo...
Next article
Raia wa Uholanzi motoni kwa kudhulumu watoto kingono
T L
You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
STANLEY NGOTHO na CHARLES WASONGA
KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, sasa anaitaka serikali ya Kenya Kwanza kupunguza bei ya mafuta ya magari kwa kima cha Sh50.
Akiongea Jumamosi, Desemba 9, 2023 katika Kaunti ya Kajiado, Bw Odinga alitaja kushuka kwa bei mafuta katika masoko ya ulimwengu kama sababu ya kuitaka serikali kushusha bei ili kuwapa raia afueni.
Kwa mara nyingi, alimsuta Rais William Ruto kwa kuendesha serikali isiyojali maslahi ya wananchi kwa kuwatoza ushuru wa juu na kudinda kupunguza gharama ya maisha.
“Tunafahamu fika kwamba bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu imepungua kwa kiwango kikubwa. Kwa hivyo, tunataka bei ya bidhaa hiyo nchini kushuka mara moja. Bei isipunguzwe kwa Sh5 tu kuwahadaa Wakenya, bali kwa kiwango cha kuanzia Sh48 hadi Sh50,” Bw Odinga akasema.
Alikuwa akizungumza katika kijiji cha Merrueshi, eneo bunge la Kajiado Mashariki, ambako alihudhuria hafla ya kutoa shukrani kwa heshima ya Mbunge wa eneo hilo Kakuta Maimai.
Mbunge huyo, anayehudumu bungeni kwa muhula wa kwanza, alichaguliwa kwa tikiti ya ODM.
Mamlaka ya Kusimamia Sekta ya Kawi na Petroli (EPRA) hutumia viwango vya bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu kukadiria bei mpya ya rejareja ya bidhaa hiyo tarehe 14 kila mwezi.
Mnamo Alhamisi, Desemba 7, 2023 bei ya bidhaa hiyo ilishuka hadi dola 69.6 (sawa na Sh10,676.28) kwa pipa – bareli katika masoko ya kimataifa.
Bei hiyo ya mafuta yasiyosafishwa kutoka kampuni ya Murban, ni ya chini zaidi kushuhudiwa tangu Julai mwaka huu, 2023, japo ilikuwa juu kidogo kuliko bei ya Jumatano, Desemba 6.
Juni 2023 bei hiyo ilishuka hadi dola 69.15 ya Amerika, sawa na Sh10,607.73 kwa pipa.
Novemba 14, EPRA iliweka bei ya mafuta aina ya petroli katika kiwango cha Sh217.36 kwa lita, huku dizeli ikiwa Sh203.47 jijini Nairobi.
Bw Odinga pia aliishutumu serikali kutokana na mipango yake ya kuuza mashirika 11 ya umma, yenye thamani Sh200 bilioni.
Tags
You can share this post!
Previous article
Kinara wa Benki ya Equity na familia ya Moi wakabana koo...
Next article
Raia wa Uholanzi motoni kwa kudhulumu watoto kingono
T L
STANLEY NGOTHO na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, sasa anaitaka serikali ya Kenya Kwanza kupunguza bei ya mafuta ya magari kwa kima cha Sh50. Akiongea Jumamosi, Desemba 9, 2023 katika Kaunti ya Kajiado, Bw Odinga alitaja kushuka kwa bei mafuta katika masoko ya ulimwengu kama sababu ya kuitaka serikali kushusha bei ili kuwapa raia afueni. Kwa mara nyingi, alimsuta Rais William Ruto kwa kuendesha serikali isiyojali maslahi ya wananchi kwa kuwatoza ushuru wa juu na kudinda kupunguza gharama ya maisha. “Tunafahamu fika kwamba bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu imepungua kwa kiwango kikubwa. Kwa hivyo, tunataka bei ya bidhaa hiyo nchini kushuka mara moja. Bei isipunguzwe kwa Sh5 tu kuwahadaa Wakenya, bali kwa kiwango cha kuanzia Sh48 hadi Sh50,” Bw Odinga akasema. Alikuwa akizungumza katika kijiji cha Merrueshi, eneo bunge la Kajiado Mashariki, ambako alihudhuria hafla ya kutoa shukrani kwa heshima ya Mbunge wa eneo hilo Kakuta Maimai. Mbunge huyo, anayehudumu bungeni kwa muhula wa kwanza, alichaguliwa kwa tikiti ya ODM. Mamlaka ya Kusimamia Sekta ya Kawi na Petroli (EPRA) hutumia viwango vya bei ya mafuta katika masoko ya ulimwengu kukadiria bei mpya ya rejareja ya bidhaa hiyo tarehe 14 kila mwezi. Mnamo Alhamisi, Desemba 7, 2023 bei ya bidhaa hiyo ilishuka hadi dola 69.6 (sawa na Sh10,676.28) kwa pipa – bareli katika masoko ya kimataifa. Bei hiyo ya mafuta yasiyosafishwa kutoka kampuni ya Murban, ni ya chini zaidi kushuhudiwa tangu Julai mwaka huu, 2023, japo ilikuwa juu kidogo kuliko bei ya Jumatano, Desemba 6. Juni 2023 bei hiyo ilishuka hadi dola 69.15 ya Amerika, sawa na Sh10,607.73 kwa pipa. Novemba 14, EPRA iliweka bei ya mafuta aina ya petroli katika kiwango cha Sh217.36 kwa lita, huku dizeli ikiwa Sh203.47 jijini Nairobi. Bw Odinga pia aliishutumu serikali kutokana na mipango yake ya kuuza mashirika 11 ya umma, yenye thamani Sh200 bilioni.
Tags
You can share this post!
Previous article
Kinara wa Benki ya Equity na familia ya Moi wakabana koo...
Next article
Raia wa Uholanzi motoni kwa kudhulumu watoto kingono
T L
You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
NA MHARIRI
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini.
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na BENSON MATHEKA
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na MASHIRIKA
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na KINYUA BIN KINGORI
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili.
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA