text
stringlengths
3
16.2k
NA MWANGI MUIRURI MASHABIKI wa klabu ya Arsenal mjini Murang’a sasa wameonywa na wenzao wa Manchester United na Chelsea wajiandae kumpokea ndovu wao akianguka pasipo hiari kutoka juu ya mti kumaanisha kushuka katika jedwali la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). “Huku kulimwa ambako mmeanza kulimwa ni mwanzo tu wa namna ambavyo mambo yatakuwa magumu kwenu katika mzunguko wa pili,” akafoka Bw David Njuguna ambaye ni mshirikishi wa the Red Devils mjini humo. Cheo chake hakitambuliki rasmi na klabu ya Manchester United. Bw Njuguna alisema kwamba Arsenal kuwa juu ya jedwali hata kwa mwanya wa pointi 10 sio tishio kwa kuwa katika mkondo wa lala salama, wao huwa butu, wasio na maono na mwelekeo na lazima wajihujumu wao wenyewe kama ilivyokuwa msimu jana. Katika mechi ya usiku wa kuamkia Desemba 29, 2023, Arsenal walirambishwa magoli 2-0 na West Ham. “Hata hamna heshima na wawekezajj na mnatuchomea beti. Kwa kuwa sikuamini kabisa mngeshinda hicho kipute, nilikuwa nimebashiri timu zote mbili angalau zingejipa goli. Sasa ona hamkufunga hata la kukataliwa,” akafoka Stacy Keach, mfuasi wa Chelsea. Janga hilo kwa wanabunduki Arsenal limewaacha katika nafasi ya pili kwenye jedwali wakiwa na pointi 40 huku Liverpool ikibakia kidedea kwa pointi 42. Hii ina maana kwamba Man City ambayo iko na pointi 37 kwa sasa lakini ikiwa imecheza mechi 18 Arsenal ikiwa imecheza mara 19 itaifurusha kutoka nafasi hiyo ya pili iwapo itachapa Sheffield United hapo Jumamosi kwa ubora wa magoli. “Kuna uwezekano mkubwa kwamba Arsenal itaingia mwaka Mpya ikiwa nambari tano nyuma ya Liverpool, Man City, Aston Villa na Tottenham na kabla ya tufike mechi ya 27, hata West Ham, Man United… watakuwa mbele ya Arsenal,” akasema Junita Kasyoki ambaye anashabikia Man United. Ni usiku ambao wafuasi wa Arsenal hawakujibu mipigo, waliondoka polepole na kimyakimya kutoka kwa mkahawa wa Green Park ambapo wengi walikuwa wakifuatilia mtanange huo ulioanza saa tano na robo usiku. “Lakini hata hivyo kushindwa kwetu kulisaidia West Ham kuruka Man United katika jedwali. Tungeshinda mchuano huo Man U wangebakia nafasi ya sita lakini kung’atwa kwetu kulisaidia Mashetani Wekundu kuteremka hadi nafasi ya saba,” akajituliza Bw Simon Ngonjo. Kwa sasa, maombi ya Arsenal ni kuzuke mikosi ya kushindwa kwa timu zote zilizo katika kumi bora katika mechi ya 20 lakini wao washinde ndipo warejee juu ya jedwali na presha ya kutwaa ligi ipungue. [email protected] You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
NA MWANGI MUIRURI MWANAMUME mmoja wa umri wa miaka 33 aliuawa usiku wa kuamkia Desemba 29, 2023, kwa kupigwa na majirani wa wakwe zake baada ya kile kinadaiwa alijaribu kutekeleza mauaji katika boma hilo alimokuwa amelala na bibi yake. David Kimani alikuwa amesafiri kutoka kijiji cha Kiunyu kilichoko eneobunge la Gatanga kwa msingi kwamba alikuwa na nia ya kumuona mkewe waliyetengana, binti yake wa umri wa miaka sita na pia mama mkwe. Mwanamume huyo alikuwa ametengana na Bi Esther Nyawira, 28, kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu na katika shamrashamra za msimu huu wa sherehe, akafika kwa boma la wakwe Desemba 28, 2023, katika kijiji cha Mung’etho kilichoko eneobunge la Maragua, akisema alienda kuwajulia hali. Lakini hata baada ya giza kuingia, hakuonyesha nia ya kuondoka arejee kwao na ndipo akakubaliwa alale kwa nyumba ya mama mkwe akiwa na bibi huyo wake. Mwendo wa saa sita usiku, Kimani anasemwa kwamba aliamka na akatwaa kisu na akaanza kumshambulia bibi yake aliyekuwa amelala huku kwa sauti akiapa kumuua na kisha aue mama mkwe na pia mtoto. Kwa mujibu wa Kaimu Naibu Kamishna wa Murang’a Kusini Bw Joshua Okello, mwanamume huyo baada ya kujaribu mara kadha warejeane na bibi yake pasipo mafanikio, akaamua kufika katika boma hilo akijipamba kama malaika wa mauti. Aliongeza kwamba mshukiwa alimdunga mwanamke huyo visu vitano “mara moja umbavuni upande wa kulia na mara nne kwa mkono wa kulia, majeraha yote yakiwa matano”. Bw Okello aliongeza kwamba sauti za juu za mwanamume huyo zilimwamusha mama mkwe na alipiga nduru ambayo iliwavutia majirani waliofurika katika boma hilo huku mvamizi baada ya kuingiwa na taharuki akitimua mbio hadi nje ya nyumba na akaingia katika kichaka. “Huku mwaathiriwa akikimbizwa hadi hospitali ya Murang’a kutibiwa, majirani nao walizindua msako ulioishia kumnasa Bw Kimani akiwa amejikunyata ndani ya kichaka hicho na wakamuua kwa kumpiga kwa vifaa butu,” akasema Bw Okello. Afisa huyo aliongeza kwamba ndani ya mkoba ambao marehemu alikuwa nao kulikuwa na sumu ya kuua wadudu kwa mimea na pia waraka wa mauti unaoaminika ulikuwa umeandikwa na mwanamume huyo. “Alikuwa amefichua katika waraka huo kwamba alinuia kuua mama mkwe, bibi yake na mtoto wake wa kike aliyekuwa akiishi kwa wakwe hao na kisha yeye mwenyewe ajitoe uhai,” akasema. Mwanamume huyo alikuwa aidha ameteta kwamba mama mkwe ndiye alikuwa kizingiti cha ndoa yake kupata uthabiti na kwa kuwa hakuwa na nia ya kumpenda mwingine, akaafikia uamuzi wa kuwaua watatu hao na kisha naye ajitume kuzimu akome mahangaiko ya mapenzi. Bw Okello alisema kwamba “huu ni mkasa ambao ungeepukika iwapo mwanamume huyo ambaye alikuwa mfanyabiashara Jijini Nairobi angepata ushauri nasaha ili kuwajibika changamoto zake za kimapenzi ndani ya mashauriano”. Alisema kwamba “ndipo ifike kiwango hicho cha kupanga mauaji ni kumaanisha alikuwa akisaka mbinu ya kusuluhisha changamoto hiyo lakini akaamua kufuata ushawishi wa pepo mbaya kujipa afueni”. Huku akiwakemea waliomuua mwanamume huyo na kuahidi uchunguzi wa kunasa washukiwa, Bw Okello alisema “hata jamii inafaa kuwa macho kuwatambua wanaoonekana kusombwa na mawazo na usaidizi wa ushauri usakwe kabla ya vishawishi vya janga kuzuka”. Bw Okello alionya watu wa kijiji hicho cha Mung’etho kwamba “kwa sasa mnaweza kuwa mnasherehekea mkisema eti ni umati wa raia uliotekeleza mauaji hayo lakini wakati kutajitokeza shahidi aseme alikuona wewe ukishiriki mauaji hayo ndipo utajua ni watu binafsi wala si kundi ambalo huvunja sheria”. “Mchango wa raia katika kuimarisha usalama ni kupitia kutupasha habari kuhusu washukiwa na visa na wakimnasa mshukiwa, kazi yao inafaa tu kutuita tumtie mbaroni au wamwasilishe katika kituo cha polisi kilicho karibu,” akasema Bw Okello. Mwili wa marehemu ulipelekwa hadi mochari ya Murang’a. [email protected] You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Fans Follow Us Subscriber © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

It looks like nothing was found at this location. Maybe try one of the links below or a search? Try looking in the monthly archives. 🙂 © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

Na MASHIRIKA MMOJA wa wawaniaji wa urais nchini Tunisia, Nabil Karoui, ambaye alipigiwa upatu kushinda kiti hicho ameanza kususia chakula akitaka aruhusiwe kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Septemba 15. Karoui, 56, anayemiliki kituo cha runinga cha Nessma TV alifungwa jela wiki tatu zilizopita kwa madai ya kutolipa kodi na ulanguzi na ‘utakatishaji’ wa pesa. “Karoui alianza kususia chakula tangu Jumatano akitaka haki yake ya kupiga kura Jumapili,” wakili wake Ridha Belhadj alinukuliwa akisema. Maafisa wa serikali hawakupatikana kutoa kauli yao kuhusu ripoti hiyo. Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusikiliza ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana akisubiri uamuzi wa mwisho. Mfanyabiashara huyo anayepigiwa upatu kushinda urais alikamatwa baada ya kulaumiwa na baadhi ya wanasiasa na mashirika ya serikali kwa kutumia kituo chake kuvumisha azma yake ya kisiasa. Kura za maoni nchini Tunisia zilionyesha Karoui akiongoza na kwamba kufungwa kwake kuliongeza umaarufu wake. Wapinzani wake ni waziri mkuu Youssef Chahed, waziri wa ulinzi Abdelkarim Zbidi, aliyekuwa rais Moncef Marzouki, na Abdelfattah Mourou, naibu rais wa chama cha Kiislamu cha Ennahdha party. Karoui alikamatwa siku ambayo serikali ilitangaza kuwa ilipiga marufuku vituo vitatu vya habari vilivyohusisha chake maarufu cha Nessma TV, kupeperusha habari za kampeni za urais kwa madai kwmba hazvikuwa na leseni. Masaibu yake yalianza Mei baada ya kutangaza angegombea urais alipowekewa vikwazo na serikali. Mnamo Juni 18, bunge lilibadilisha sheria ya uchaguzi ambayo ilimzuia Karoui kugombea kwa kumiliki kituo maarufu za televisheni ikisema alikitumia kujipigia debe. Wadadisi wanasema mabadiliko hayo yalinuiwa kumzuia Karoui kugombea lakini Essebsi alikataa kutia sahihi sheria hiyo kabla ya kifo chake. Karoui alikuwa msitari wa mbele kuunga Essebi kwenye uchaguzi wa 2014 na amekuwa hasimu mkuu wa waziri mkuu Chahed. Bwanyenye huyo alikuwa ameeleza hofu yake akisema alikuwa akihujumiwa kwa sababu ya kuongezeka kwa umaarufu wake kabla ya uchaguzi ambao ulifuaia kifo cha Essebsi. Tume ya uchaguzi ya Tunisia imeidhinisha wagombeaji 26 wakiwemo wanawake wawili na Marzouki. Nchini Tunisia, rais husimamia masuala ya nchi za kigeni na ulinzi na hugawana mamlaka na waziri mkuu anayechaguliwa na bunge ambalo lina mamlaka ya masuala ya ndani. Wapiga kura milioni saba wanatarajiwa kushiriki uchaguzi huo baada ya kampeni zilizohusu changamoto za kijamii na kiuchumi katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini. Wafuasi wa Karoui wanamlaumu Chahed kwa kuchochea kukamatwa kwake, madai ambayo waziri huyo mkuu anakanusha. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

JOSEPH WANGUI na NDUNG’U GACHANE NAIBU RAIS William Ruto amekosoa kauli ya Gavana wa Kirinyaga, Anne Waiguru kuhusiana na jamii inayofaa kuwania urais, akisema Rais Uhuru Kenyatta hakuchaguliwa kwa misingi ya kikabila. Gavana huyo ameendelea kulaumiwa kwa kauli yake kwamba Wakenya hawako tayari kumchagua rais mwingine kutoka kwa jamii ya Agikuyu. Bi Waiguru alisema kuwa kuna hatari ya jamii nyingine nchini kuhisi kutengwa, ikiwa rais atatoka katika jamii hiyo. Akitetea mfumo wa serikali unaobuni nafasi za waziri mkuu na manaibu wake wawili, Bi Waiguru alisema kuwa ni jamii za Wakalenjin na Wakikuyu pekee ambazo zimekuwa zikishikilia urais. “Ikiwa tutakuwa na nyadhifa nyingi serikalini, Wakenya watahisi wamewakilishwa vizuri na hakutakuwa na ghasia baada ya uchaguzi. Sitaki mfumo wa serikali ambapo anayeshinda urais anapata mamlaka yote,” akasema. Hata hivyo, Naibu Rais alimwambia kuwa Rais Kenyatta hakuchaguliwa kutokana na jamii yake, lakini kwa uwezo wake wa kuongoza. “Tulimuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta kumrithi Rais Mstaafu (Kibaki) kutokana na uwezo wake, lakini si kwa msingi wa kabila lake,” akasema Dkt Ruto, kwenye mtandao wa Twitter. Akaendelea: “Rais Kenyatta si kiongozi wa kabila lolote, lakini wa Chama cha Jubilee (JP) ambacho ndicho chenye idadi kubwa zaidi ya madiwani, wabunge na magavana katika kaunti 41 kati ya 47 kote nchini. Tafadhali acheni kasumba ya ukabila.” Kumekuwa na dhana kwamba Jopo la Maridhiano (BBI) lililobuniwa na Rais Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga litatoa mapendekezo ya mageuzi ya katiba yanayowiana na kauli ya Bi Waiguru. Malumbano hayo yakishika kasi, naye mbunge wa Gatundu Kusini Moses Kuria ameionya mirengo ya kisiasa ya ‘Tanga Tanga’ na ‘Kieleweke’ kukoma kulumbana, akisema kuwa huenda Dkt Ruto na Bw Odinga wakaungana kisiasa. Mirengo hiyo imekuwa ikimuunga mkono na kumpinga Naibu Rais William Ruto mtawalia katika ukanda wa Mlima Kenya. Bw Kuria alisema ikiwa viongozi hao watachukua hatua hiyo, basi huenda jamii ya Agikuyu ikakosa kujumuishwa serikalini, hali ambayo itaiathiri sana kisiasa. “Eneo la Mlima Kenya ndilo tishio kuu kwa ari za Bw Odinga na Dkt Ruto kushinda urais. Ikiwa wataungana, basi watashinda urais, hali ambayo italinyima nafasi ya kuwa serikalini kutokana na malumbano ya kisiasa yanayoendelea,” akasema. “Nimekuwa katika mstari wa mbele kuwashinikiza viongozi wetu kuungana,” akasema Bw Kuria, kwenye mahojiano na ‘Taifa Leo.’ Mnamo Jumapili, mbunge wa Makueni Daniel Maanzo aliwaonya baadhi ya wanasiasa kuwa mistakabali yao imo hatarini, ikiwa viongozi hao wawili wataungana. “Wanasiasa wapya wanapaswa kutahadhari sana, kwani si vigumu kuwaona Bw Odinga na Dkt Ruto wakiungana na kufanya kazi pamoja, hasa baada ya kamati ya BBI kuwasilisha ripoti yake,” akasema Bw Maanzo. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

MOHAMED AHMED na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto jana alianza rasmi ziara ya siku tano eneo la Pwani baada ya kukaa kwa miezi miwili bila kuzuru eneo hilo. Ziara yake hiyo ilijiri siku tatu pekee baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuzuru eneo hilo na kukagua miradi ya maendeleo. Tofauti na awali alipokuwa akiandamana na Rais katika shughuli za kiserikali na kijamii, Dkt Ruto amekuwa akiepuka hafla hizo na kuandaa zake binafsi na wanasiasa wanaomuunga mkono. Wandani wake eneo hilo kama vile mbunge wa Malindi Aisha Jumwa na mwenzake wa Msambweni Suleiman Dori wamekuwa kimya kwa muda ambao hajatembelea Pwani. Dkt Ruto alitembelea eneo la Bura kaunti ya Tana River ambapo alikagua sehemu ya kwanza ya mradi wa kunyunyuzia maji mashamba wa Bura utakaogharimu Sh1.7 bilioni na kusisitiza msimamo wa serikali kuhusiana na ajenda zake nne ambazo zinahusisha kuhakikisha uwepo wa chakula cha kutosha nchini. Bw Ruto alisema kuwa serikali ina azma ya kupambana na baa la njaa na kuona wananchi wanapata chakula cha kutosha. Vile vile, alipeana mbegu za korosho na nazi kwa wakazi wa eneo hilo. Leo, kulingana na ratiba kutoka kwa wasimamizi wake, atakuwa katika kaunti ya Kilifi ambapo anatarajiwa kukagua daraja la Shakahola na baadaye kufungua mradi wa maji wa Baricho. Siku ya Jumamosi, Dkt Ruto anatarajiwa kaunti ya Mombasa kwa ajili ya ufunguzi wa mitaro ya maji eneo la Changamwe kabla ya kuelekea kaunti ya Kwale ambapo anatarajiwa kufungua mradi wa bwawa la Pemba lililojengwa kwa gharama ya Sh500 milioni. Mnamo Jumatatu, Dkt Ruto atahitimisha ziara yake ya siku tano kwa kuelekea kaunti ya Taita Taveta ambapo atakagua mradi wa kunyunyiza maji mashamba wa Njoro Kubwa. Wakati wa ziara yake wiki jana, Rais Kenyatta pia alizuru maeneo ya kaunti za Lamu, Mombasa na Kwale ambapo alikagua baadhi ya miradi. Katika ziara hiyo, Rais Kenyatta hakuwa ameandamana na Bw Ruto ambaye mara mwisho kuwa Pwani ilikuwa ni mwezi Juni ambapo alihudhuria harambee ya kuchangia kutafsiriwa kwa Bibilia kwa lugha ya Giriama eneo la Kilifi. Wakati huo, ilikuwa ni ziara yake ya tisa eneo la Pwani tangu muafaka wa Rais Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga mnamo Machi 9. Hapo awali, Dkt Ruto alikuwa akizuru Pwani mara kwa mara na kumpelekea kupigwa jeki katika azima yake ya kugombea urais baada ya wabunge kadha wa eneo hilo kutangaza kuwa watamuunga kwenye uchaguzi wa 2022. Aidha, wapinzani wa Bw Ruto pia walianza kutoa cheche za kisiasa na kumshtumu kwa kuanza kampeni za mapema kwa sababu ya ziara zake za eneo la Pwani na maeneo mengine ya nchi. Dkt Ruto alilazimika kuzungumzia suala hilo na kusema kuwa ziara zake hizo zilikuwa zinalenga maendeleo tu japo wandani wake wamekuwa wakizungumzia siasa. Baada ya hapo alipunguza ziara hizo na kupelekea eneo la Pwani kutulia kisiasa hadi sasa. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

Na BENSON MATHEKA NAIBU Rais William Ruto jana alizidisha kimya chake huku hatima ya mwaniaji wa Chama cha Jubilee kwenye uchaguzi mdogo wa eneobunge la Kibra, McDonald Mariga, ikizidi kutiliwa shaka. Tofauti na awali ambapo Dkt Ruto alijitokeza wazi na hata kuelekea Kibra kuahidi angerejea kuongoza kampeni za Bw Mariga, amekuwa kimya tangu wikendi kabla mwaniaji huyo kupigwa breki na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Jumanne. Bw Mariga alipokezwa cheti chake cha chama na Katibu Mkuu wa Jubilee, Bw Raphael Tuju tofauti na wagombeaji wa vyama vingine waliopokezwa vyeti na vinara wa vyama vyao. Wakati alienda kuwasilisha stakabadhi zake kwa IEBC, aliandamana na wandani wa Dkt Ruto, akiwemo mbunge wa Langata, Nixon Korir, na aliyekuwa Seneta wa Kakamega, Dkt Boni Khalwale. IEBC ilisema Bw Mariga hakuwa amesajiliwa kama mpiga kura nchini na hivyo basi, kisheria hawezi kuruhusiwa kuwania ubunge. Vilevile, kuna tetesi zilizoibuka kuhusu umri halisi wa nyota huyo wa soka ikidaiwa huenda suala kuhusu uhalali wa kitambulisho chake pia likawa kikwazo kwa azimio lake la kujitosa kwenye ulingo wa siasa. Jana, Bw Mariga alimshtaki Msimamizi wa Uchaguzi wa eneo hilo Bi Beatrice Muli mbele ya kamati ya kutatua mizozo ya IEBC akimlaumu kwa kukataa kumuidhinisha kugombea uchaguzi huo licha ya kuteuliwa na chama cha Jubilee. Bi Muli alikuwa amesema hangempitisha Bw Mariga kuwania ubunge kwa kuwa jina lake halikupatikana katika sajili ya wapigakura iliyochapishwa 2017. Hata hivyo, Bw Mariga anasisitiza kuwa amesajiliwa kisheria kama mpigakura na hatua ya Bi Muli ilikiuka haki zake za kikatiba.“Nilisajiliwa kama mpigakura katika kituo cha kupigia kura cha ukumbi wa kijamii wa Kariokor mnamo Agosti 26, 2019 na nikapatiwa kadi ya kuthibitisha nambari yangu ya mpigakura,” alisema Bw Mariga kwenye hati ya kiapo aliyoambatishwa na ombi lake. Mwanasoka huyo mstaafu anasema kwamba, kabla ya kuteuliwa, Chama cha Jubilee kilithibitisha kwamba alikuwa ametimiza mahitaji yote ikiwa ni pamoja na kusajiliwa rasmi. “Nimefahamishwa na wakili wangu na ninaamini ni kweli kwamba usajili wa wapigakura ni shughuli inayoendelea na kwamba majina huwekwa katika sajili kila wakati kwa mujibu wa sheria husika,” anasema.Bw Mariga anataka kamati kuamua kuwa hatua ya Bi Muli haikuwa na msingi wa kisheria na kwa hivyo ni batili. Dkt Ruto alionekana hadharani mara ya mwisho Jumapili alipozuru Kaunti ya Kirinyaga. Kwenye mitandao yake ya kijamii, hajasema lolote kuhusu masaibu ya Bw Mariga isipokuwa mapema Jumanne alipokashifu vyombo vya habari kwa kudai kuna mpasuko chamani mwake kuhusu uwaniaji kiti Kibra. Jana, wengi walitarajia angeandamana na Rais Uhuru Kenyatta aliyekuwa katika ngome yake ya kisiasa ya Eldoret kusimamia mahafali ya wanajeshi, lakini hakuwepo. Bw Mariga anataka kamati ya IEBC kutambua na kuamua kwamba aliteuliwa kihalali na chama cha Jubilee na anastahili aruhusiwe kugombea kiti cha eneobunge cha Kibra kwenye uchaguzi mdogo wa Novemba 7. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA MHARIRI
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini.
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na BENSON MATHEKA
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na MASHIRIKA
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na KINYUA BIN KINGORI
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili.
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na...
Malkia wetu leo ni  Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu...
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na RICHARD MUNGUTI
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
NA MAUREEN ONGALA