text
stringlengths
3
16.2k
Na AFP WASHINGTON D.C., Amerika JUMUIYA ya mashoga na wasagaji Amerika imepata pigo kuu baada ya Mahakama ya Kilele kuamua kwamba wasanii wawili wa Arizona waliokataa kutengeneza kadi za mialiko kwa harusi za jinsia moja kutokana na imani yao ya Kikristo walikuwa na haki kufanya hivyo. Mahakama hiyo ilifutilia mbali hukumu za awali dhidi ya wanawake wawili hao za kukiuka “sheria kuhusu mahusiano ya binadamu” zilizoanzishwa na mji wa Kusini Magharibi wa Phoenix kulinda haki za mashoga na wasagaji. Wasanii hao wangekabiliwa na kifungo cha hadi miezi sita gerezani na faini ya Sh259,223 kila wakati ambapo wangekataa kutengeneza mialiko kwa harusi za mashoga. Joanna Duka na Breanna Koski, wamiliki wa kampuni ndogo ya sanaa ya uchoraji inayojihusisha na mialiko iliyoandikwa, walishtaki mji huo 2016 kuhusu sheria hiyo. Hawakuwa wamepatiwa kazi na ‘wanandoa’ wowote wa LGBTQ. Wawili hao walijitetea kwa kusema kwamba imani yao ya Kikristo inawazuia kupigia chapuo ndoa kati ya watu wa jinsia moja, ikiwemo kutengeneza kadi za mwaliko. Isitoshe, walisema kuwa, sheria ya Phoenix ingewashurutisha kukiuka haki yao ya kujieleza na dini. “Imani ya Duka na Koski kuhusu ndoa jinsia moja inaweza kuonekana kama iliyopitwa na wakati au ya kuchukiza kwa baadhi ya watu,” korti ilisema katika uamuzi wake. “Lakini haki za uhuru wa kujieleza na haki za dini si kwa wale tu wanaoonekana kuwa na ufahamu, kuendelea au walio juu. Ni za kila mtu,” Japo majaji hao hawakupanua uamuzi huo kushughulikia shughuli zote za kibiashara, watetezi wa haki za mashoga walionya kwamba uamuzi huo umeandaa jukwaa kwa makabiliano zaidi kisheria. “Uamuzi huu umefungua mlango kwa wamiliki wengine wenye mtazamo finyu kubagua wazi watu wa LGBTQ kuhusu jinsi tulivyo na tunayempenda,” alisema Brianna Westbrook, naibu mwenyekiti wa chama cha Arizona Democratic Party, ambaye ni mwenye utata kijinsia. “Mmiliki wa biashara sasa ataweza kuchapisha kwenye tovuti yake au kuweka ishara kwenye lango lake akisema ‘watu wasio mashoga au wasagaji pekee,” alionya Westbrook. Walalamishi hao waliwakilishwa na Alliance Defending Freedom (ADF), shirika la wanajadi ambalo limejitolea kukabiliana na sheria sawa na hizo kote Amerika.   Habari hii imetafsiriwa na MARY WANGARI You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
It looks like nothing was found at this location. Maybe try one of the links below or a search? Try looking in the monthly archives. 🙂 © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA RUSHDIE OUDIA WANDANI wa kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga kutoka  Nyanza wamemrai Rais Uhuru Kenyatta aingilie kati ili kuzima ziara ya Naibu Rais Dkt William Ruto maeneo mbalimbali ya nchi, wakisema anaendeleza kampeni za mapema za uchaguzi mkuu wa 2022. Wabunge hao zaidi ya 12 walisema ni wazi Dkt Ruto anashiriki kampeni za mapema licha kudai kila mara japo kwamba ziara zake hazihusu siasa bali utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Wakiongozwa na mbunge wa Seme James Nyikal, wanasiasa hao waliokuwa wakizungumza wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Reru, eneobunge la Seme, Kaunti ya Kisumu pia walipigia debe ripoti inayosubiriwa ya Jopokazi la Maridhiano maarufu kama BBI, wakisema ndiyo njia pekee ya kuhakikisha jamii ya Waluo inashinda kiti cha Urais wakati murwa ukifika. Wabunge wengine waliohudhuria ibada hiyo ya Jumapili ni Opondo Kaluma (Homa Bay mjini), Dkt Eve Obara (Kabondo Kasipul), Tom Kajwang (Ruaraka), Jared Okello (Nyando), Tom Odege (Nyatike), Elisha Odhiambo (Gem), Martin Owino (Ndhiwa), Jackline Oduol (mteule) Peter Masara (Suna West) na Mbunge Mwakilishi wa Kike Rozaah Buyu. Mbunge wa Gem Elisha Odhiambo ndiye alikuwa wa kwanza kumtaka Rais Kenyatta amkomeshe Dkt Ruto. “Una mamlaka makubwa Mheshimiwa Rais kumzuia Naibu wako dhidi ya kutangatanga. Naomba ufanye hivyo kwa sababu Dkt Ruto amekuwa akizunguka nchi hii kila wikendi,” akasema Bw Odhiambo. “Kuna madai kwenye historia kwamba wakati Daniel Arap Moi alikuwa Rais na Mwai Kibaki ambaye alikuwa Naibu wake, alitaka kuelekea Kisumu, Rais Moi alimpigia simu na kumtaka akome kusafiri mara kwa mara na badala yake aketi afisini ili afanye kazi. Rais Kenyatta anafaa kuwajibika na kumdhibiti Naibu wake,” akaongeza Bw Odhiambo huku akisisitiza ziara ya Dkt Ruto maeneo ya Pwani na Magharibi huwa ni za kisiasa. Bw Masara naye alisifu ushirikiano kati ya Rais na Bw Odinga akisema umeleta amani nchini huku akidai kwamba amani hiyo ipo katika hatari ya kupotea iwapo Dkt Ruto ataruhusiwa kupiga siasa za 2022. “Hatuwezi kuwapa nafasi za uongozi watu ambao hawaaminiki na hawana lolote jipya la kuwapa raia. Kwa muda wa miaka miwili Dkt Ruto amekuwa akiendesha kampeni kali akimshutumu Bw Odinga kwa kugawanya chama tawala cha Jubilee. Raila siyo tatizo la taifa hili bali ndiye mwokozi wa nchi hii,” akasema Bw Masara. Bw Kaluma na Bw Kajwang nao walisema taifa hili linaelekea kwenye mkondo wa kuridhisha hasa baada ya maandamano yaliyosababisha mauti katika ngome za upinzani wakat wa uchaguzi tata wa 2017. Wanasiasa hao pia walisema kwamba Dkt Ruto yupo njiani kuwa kinara wa upinzani nchini 2022 asipobadilisha mbinu zake za kisiasa ambazo hulenga sana Bw Odinga. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA SAMUEL OWINO KORTI inayoshughulikia mizozo ya uchaguzi Jumatatu ilimruhusu aliyekuwa kiungo matata wa timu ya taifa ya kandanda McDonald Mariga kuwa debeni katika uchaguzi mdogo wa eneobunge la Kibra. Awali, uteuzi wake na chama cha Jubilee ulikuwa umetupiliwa mbali na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa kuwa taarifa muhimu kumhusu zilikosekana katika orodha ya wapigakura walioshiriki uchaguzi mkuu wa 2017. Hata hivyo, mwenyekiti wa IEBC Bw Wafula Chebukati, ametangaza Jumatatu kuwa Mariga sasa anaweza kuwania kiti hicho kilichosalia wazi baada ya kifo cha Bw Ken Okoth hapo Julai. Bw Chebukati amesema mkuu wa uchaguzi eneebunge hilo aliyemzuia Mariga kuwa debeni alisahau kuangalia orodha mpya ya mwaka huu katika eneobunge la Starehe. Kundi la mawakili waliomwakilisha Bw Mariga, likiongozwa na Elisha Ongoya, liliirai IEBC kusahihisha kosa hilo nakumruhusu mwanaspoti huyo kujaribu bahati yake uchaguzini. “Simlaumu afisa wa uchaguzi kwa kufanya kosa hilo. Lakini lazime lingesahihishwa na kamati ya uchaguzi ili kuwapa wapigakura wa Kibra nafasi murua ya kuchagua wamtakaye,” akasema. Aliongeza kuwa Mariga ametimiza masharti yote ya kikatiba kuhusu uchaguzi, akieleza kuwa mwaniaji anapaswa kuwa amesajiliwa kuwa mpiga kura, na mchckato huo huendelea hata wakati hakuna uchaguzi. Kwa sasa, Bw Mariga ana nafasi ya kujiunga na wanasoka wengine duniani ambao waling’aa kwa siasa baada ya kustaafu kucheza gozi. Miongoni mwao ni aliyekuwa straika wa Inter Milan na Chelsea Andriy Shevchenko, mshindi wa Kombe la Dunia la 1994 Romario na aliyekuwa straika matata wa PSG,  AC Milan na Monaco George Weah, ambaye sasa ni rais wa Liberia. Mariga amesema sasa yuko tayari kuogelea katika bahari ya siasa akiusifu uamuzi wa Bw Chebukati. “Namshukuru Maulana kwa mchakato wa leo. IEBC imenitendea haki. Kwa sasa najitosa kwa kampeni ili niwashawishi wapigakura wa Kibra,” akasema.   You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA MHARIRI
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini.
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na BENSON MATHEKA
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na MASHIRIKA
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na KINYUA BIN KINGORI
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili.
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na...
Malkia wetu leo ni  Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu...
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
Na RICHARD MUNGUTI
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
NA MAUREEN ONGALA
SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na... NA PETER MBURU
WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha... Na LEONARD ONYANGO
HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa... Na BENSON MATHEKA
Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Na SAMMY WAWERU
NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,... NA JUMA NAMLOLA
WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia... NA WANDERI KAMAU
JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa... NA BENSON MATHEKA
Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.... NA KIPKOECH CHEPKWONY
NAIBU Rais Dkt William Ruto Jumatatu amewataka wapinzani wake, akiwemo kinara wa ODM Raila Odinga, kukataa kuungana... NA PAUL WAFULA