text
stringlengths
3
16.2k
MADEREVA wa matrela ya masafa marefu wanalazimika kulala mvunguni mwa lori ili kuyalinda mafuta dhidi ya wezi ‘wanaoyafyonza’ nyakati za usiku.
Vifaa vingine vya thamani ambavyo wezi hulenga ni pamoja na betri na mahema ya kufunikia mizigo, hasa muda huu wakati ambapo mvua ya El-Nino imeanza kushuhudiwa katika sehemu nyingi za nchi.
Kutokana na hali hii, baadhi ya madereva huendelea kuyaendesha malori wakiwa na usingizi au kwenye mvua kali kwa hofu ya kuibiwa.
Maeneo ambayo yamemulikwa kwa kuwahangaisha madereva ni Makindu, Kituo Cha Kibiashara cha Mlolongo, Maai Mahiu, Chimoi, Kaburengu, Kikopey na Salgaa.
Wanasema wamekuwa wakiibiwa mafuta pale wanapokuwa wamepakia malori kando ya barabara kupumzika baada ya kulemewa na uchovu wa safari ndefu.
Taifa Leo Dijitali ilizungumza na dereva Viggy Kimani, ambaye anasema hatasahau siku moja alipokuwa akisafiri kutoka Mombasa akielekea Kampala.
Alipofika eneo la Makindu alitafuta sehemu salama karibu na Mulika Mwizi, kisha akalala ndani ya gari lakini jua lilipochomoza, asubuhi alikuta tangi la mafuta likiwa wazi.
Anasema alikuwa ameibiwa zaidi ya lita 300 ambayo ilimgharimu Sh60, 000 na kuazia siku hiyo aliapa hawezi kusimama tena Makindu hata iwe ni mchana.
“Wezi walikuwa wamenyonya mafuta yote na ilibidi nimpigie mdosi simu. Hata ingawa alinitumia pesa za mafuta shingo upande, alinikata kwenye mshahara,” akasimulia dereva huyo.
Kimani anawaomba wamiliki wa magari kuwaongezea mafuta hususan wakati huu ambapo bei ya mafuta imepanda, kiasi kwamba mara nyingi hukatika njiani wakiendelea na safari.
Mwathiriwa mwingine ni Bw Kelvin Mkamburi, anayeorodhesha visa kadhaa lori analoendesha kufyonwa mafuta.
“Makindu, Mlolongo na Salgaa, nimeathirika kupata tangi halina chochote,” Mkamburi akaambia Taifa Leo Dijitali.
Aidha baadhi ya wezi hunyemelea hema za matrela hususan katika maeneo ya Salgaa au Sachangwan.
Mfano, Mkamburi anasema unapofika eneo la Maai Mahiu wezi hupigiana simu na wengine wao hupatiwa jukumu la kumfuata dereva kila aendapo huku kundi jingine likiendelea kuiba.
Tags
You can share this post!
Previous article
Penzi la mauti: Mume katili alivyoangamiza mke kwa kumdunga...
Next article
Mbinu ya kijamii inayotumika Pokot Magharibi kuzima...
T L
NA RICHARD MAOSI MADEREVA wa matrela ya masafa marefu wanalazimika kulala mvunguni mwa lori ili kuyalinda mafuta dhidi ya wezi ‘wanaoyafyonza’ nyakati za usiku. Vifaa vingine vya thamani ambavyo wezi hulenga ni pamoja na betri na mahema ya kufunikia mizigo, hasa muda huu wakati ambapo mvua ya El-Nino imeanza kushuhudiwa katika sehemu nyingi za nchi. Kutokana na hali hii, baadhi ya madereva huendelea kuyaendesha malori wakiwa na usingizi au kwenye mvua kali kwa hofu ya kuibiwa. Maeneo ambayo yamemulikwa kwa kuwahangaisha madereva ni Makindu, Kituo Cha Kibiashara cha Mlolongo, Maai Mahiu, Chimoi, Kaburengu, Kikopey na Salgaa. Wanasema wamekuwa wakiibiwa mafuta pale wanapokuwa wamepakia malori kando ya barabara kupumzika baada ya kulemewa na uchovu wa safari ndefu. Taifa Leo Dijitali ilizungumza na dereva Viggy Kimani, ambaye anasema hatasahau siku moja alipokuwa akisafiri kutoka Mombasa akielekea Kampala. Alipofika eneo la Makindu alitafuta sehemu salama karibu na Mulika Mwizi, kisha akalala ndani ya gari lakini jua lilipochomoza, asubuhi alikuta tangi la mafuta likiwa wazi. Anasema alikuwa ameibiwa zaidi ya lita 300 ambayo ilimgharimu Sh60, 000 na kuazia siku hiyo aliapa hawezi kusimama tena Makindu hata iwe ni mchana. “Wezi walikuwa wamenyonya mafuta yote na ilibidi nimpigie mdosi simu. Hata ingawa alinitumia pesa za mafuta shingo upande, alinikata kwenye mshahara,” akasimulia dereva huyo. Kimani anawaomba wamiliki wa magari kuwaongezea mafuta hususan wakati huu ambapo bei ya mafuta imepanda, kiasi kwamba mara nyingi hukatika njiani wakiendelea na safari. Mwathiriwa mwingine ni Bw Kelvin Mkamburi, anayeorodhesha visa kadhaa lori analoendesha kufyonwa mafuta. “Makindu, Mlolongo na Salgaa, nimeathirika kupata tangi halina chochote,” Mkamburi akaambia Taifa Leo Dijitali. Aidha baadhi ya wezi hunyemelea hema za matrela hususan katika maeneo ya Salgaa au Sachangwan. Mfano, Mkamburi anasema unapofika eneo la Maai Mahiu wezi hupigiana simu na wengine wao hupatiwa jukumu la kumfuata dereva kila aendapo huku kundi jingine likiendelea kuiba.

You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved
NA RICHARD MAOSI

NA MARY WANGARI JUMLA ya wabunge sita wanawake wameorodheshwa miongoni mwa wabunge 10 wachapakazi kitaifa katika kaunti mbalimbali. Mbunge wa Samburu Magharibi, Kaunti ya Samburu, Josephine Naisula Lesuuda, anaongoza orodha hiyo ya viongozi wa kike wachapakazi huku akiwa pekee aliyeorodheshwa miongoni mwa wabunge 10 wachapakazi kitaifa. Katika utafiti uliofanywa na kampuni ya Infotrak, Bi Lesuuda aliibuka nambari tano kitaifa baada ya kujizolea asilimia 63. Mbunge wa Mwea, Mary Maingi aliibuka wa pili katika kaunti hiyo kwa asilimia 52. Katika Kaunti ya Nakuru, mbunge wa Bahati Irene Njoki aliibuka wa kwanza akifuatwa unyounyo na mwenzake wa Gilgil Martha Wangari katika nafasi ya tatu. Wanawake katika Kaunti ya Uasin Gishu walitamba katika uchapaji kazi, mbunge wa Turbo, Janet Sitienei na mwenzake wa Moiben, Phyllis Jepkemoi, wakijizolea nafasi ya kwanza na ya pili mtawalia. Mbunge wa Laikipia Kaskazini Sarah Paulata pia aling’aa.   You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA SAMMY WAWERU ASKOFU wa Kanisa la Hope International ambaye pia ni mwanasiasa, Maina Njenga amemmiminia sifa Rais William Ruto kwa kile amekitaja kama kucheza kadi safi za karata kuunganisha jamii yake.  Bw Njenga, amesema kiongozi wa nchi amefanikiwa kuleta pamoja jamii za Bonde la Ufa. Kiongozi huyo wa zamani wa kundi haramu la Mungiki, amesema hatua ya Dkt Ruto kuunganisha jamii zake itawawezesha kuzungumza kwa sauti moja. Hatua hiyo, Bw Njenga amesema ndiyo imekosa kabisa eneo la Mlima Kenya ambalo katika uchaguzi mkuu 2022 lilipigia Rais Ruto kura kwa wingi. “Huyu kiongozi wetu, ambaye amekuwa Rais juzi, anaitwa William Ruto ameunganisha Rift Valley yote ikawa kitu kimoja. Rift Valley sasa inaongea kwa sauti moja. Ninampongeza kwa hiyo kazi amefanya,” Njenga akasema. Jamii ya Mlima Kenya, Agikuyu katika uchaguzi mkuu wa Agosti 2022 iliunga mkono Dkt Ruto kumrithi mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kwa idadi ya juu ya kura katika daraja la jamii, ikifuatwa na Kalenjin Bonde la Ufa. “Hata kama baadhi yetu (Azimio) hatukumchagua, alichaguliwa na marafiki wetu kwa zaidi ya kura milioni mbili. Kwa nini tusiungane kama jamii tuwe na sauti moja?” Bw Njenga akahoji. Njenga ni kati ya wafuasi na wanachama wa muungano wa Azimio la Umoja, ambao kiongozi wa ODM, Raila Odinga 2022 akisaidiwa na mgombea mwenza, Bi Martha Karua (Narc-Kenya) alitumia kumenyana na Rais Ruto. Ruto alihudumu kama Naibu wa Rais wa Rais Kenyatta mihula miwili, ambaye kwa sasa ni mstaafu. Akionekana kuelekeza mitutu ya mashambulizi kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na baadhi ya wanasiasa kutoka Mlima Kenya, Bw Njenga alisema wameonyesha kwamba nia yao ni kutetea maslahi yao binafsi na kulinda biashara zao. Mwanasiasa huyo anayeonekana kuwa na lengo la kujitosa kuwania kiti cha kisiasa 2027 Laikipia, vile vile amepongeza Bw Odinga na kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka kwa kile anasema ni kuweza kuleta pamoja jamii zao. “Wameongoza sehemu zao vizuri na huo umoja umefanya maeneo yao kuwa na maendeleo. Tunawauliza watu wa Mlima, wacheni vita, wacheni uchochezi, wacheni madharau, wacheni kiburi…Viongozi kujeni pamoja,” akahimiza. Bw Njenga aliongeza kusema: “Achaneni na tofauti zenu za chama. Kama ulichaguliwa kwa tikiti ya UDA au Azimio, achaneni na tofauti za vyama, tutafutane kinyumbani, tunaongea lugha inayoskizana. Tutafutane tuongee. Na wale watu wako nje watatufikiria vizuri.” Bw Njenga aidha anasema yuko mbioni kuunganisha jamii ya Mlima Kenya, akiwa na imani kuwa ataishia kuwa msemaji – Kingpin. Anaonya jamii ya Agikuyu endapo itaendalea kutawanyika, huenda ikakosa kunufaika kupitia mapendekezo ya Ripoti ya Kamati ya Maridhiano. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

SAMWEL OWINO na IBRAHIM KARANJA MIUNGANO ya kieneo yanayoendelea kuchipuka na kuzua joto kali la kisiasa nchini sasa yanaonekana kumtishia Rais William Ruto kuelekea uchaguzi wa 2027. Rais Ruto wiki hii akiwa mwenyeji wa Mfalme Charles 111 alionekana kushambulia mazungumzo yanayoendelea ya vigogo wa kieneo akisema kuwa hayafai. Hatua yake ya kugusia suala hilo la ubabe wa kieneo wakati mfalme alikuwa nchini yalionekana inatokana na joto la kisiasa kupanda kutokana na wanasiasa kuwa na usemi maeneo yao. “Nilimwambia Mfalme kuwa Kenya ni nchi ambayo kuna jambo linaitwa Ufalme na kuna ushindani kuhusu ufalme Kenya. Maeneo mbalimbali yana wafalme na wadhifa huo hushindani sana,” akasema Rais Ruto wakati wa dhifa iliyoandaliwa kwa Mfalme kwenye ikulu ya Nairobi mnamo Jumanne. “Wiki hii, ushindani wowote kuhusu ufalme umesitishwa kwa sababu mfalme mwenye yupo,” akaongeza. Kauli hiyo ilifasiriwa kuwa Rais hafurahii ubabe wa kisiasa nchini ambapo sasa viongozi wa maeneo mbalimbali wanapigania kuwa na ushawishi. Wachanganuzi wanahoji kuwa hatua yake inatokana na hofu kuwa kuibuka kwa mibabe wa maeneo kutaathiri kampeni zake 2027 hasa wakiegemea mrengo tofauti na wake kisiasa. Kati, Pwani, Magharibi na Bonde la Ufa ni kati ya maeneo ambayo siasa zimeanza kunoga viongozi wakichipuka na kuonyesha wana ushawishi maeneo yao. Katika eneo la Kati, Naibu Rais Rigathi Gachagua amekuwa akipigania umoja wa viongozi wa ukanda huo, akidai kuwa anataka waungane pamoja kwa ajili ya maendeleo ya eneo la ndani ya utawala huu. Wikendi iliyopita, Bw Gachagua aliandaa mkutano na viongozi wa kijamii, wasomi na wanasiasa mjini Nyeri. Wakati wa mkutano huo alisema kuwa atahakikisha kuwa wapiga kura milioni moja walioegemea upinzani wanaunga mkono Rais mnamo 2027. Kauli yake kuwa yupo tayari kuridhiana na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, lilionekana kama mbinu ya kujipigia debe kuwa kigogo wa siasa za Mlima Kenya. Hata hivyo, Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro hakuhudhuria mkutano wa Nyeri huku akionekana kama mwanasiasa ambaye nitishio kwa Bw Gachagua kuwa mfalme wa Mlima Kenya. Vilevile Waziri wa Utumishi wa Umma Moses Kuria anaonekana kama mwanasiasa ambaye hutofautiana na Naibu Rais na kupinga juhudi zake za kuwa nyapara wa siasa za Mlima Kenya. Magharibi mwa nchi, uongozi wa vyama vya Ford Kenya na ANC umekataa kuvunja vyama hivyo ili viungane na UDA na kumrahishia Rais kazi 2027. Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula na Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ndio manyapara wa Ford Kenya na ANC mtawalia. Licha ya Katibu wa UDA Cleophas Malala, mwandani wa Rais kutoka wito vyama hivyo vivunjwe kwa kukosa sura ya kitaifa, juhudi hizo hazikufua dafu. Wiki mbili zilizopita viongozi kutoka Pwani nao walikutana Hoteli ya Serena Nairobi ambapo walikubaliana kushauriana na Rais William Ruto kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Mawaziri Aisha Jumwa (Jinsia), Salim Mvurya (Madini), Spika wa Seneti Amason Kingi, Gavana wa Mombasa Abdulswamad Nassir na mtangulizi wake Hassan Joho walihudhuria. Umoja wa wanasiasa wa Pwani huenda ukasaidia upande ambao watakuwa wakiegemea kisiasa 2027. Bw Odinga bado ana ushawishi mkubwa eneo hilo ambalo Rais analenga kupenya kisiasa. Hata hivyo, Gavana Nassir alisema mkutano huo haukuwa na ajenda ya kisiasa bali kuhusiana na suala tata la kubinafsishwa kwa bandari ya Mombasa. “Wakenya wanastahili kutambua kuwa miungano inayoshinda uchaguzi huundwa miezi michache kabla ya uchaguzi na si miaka minne kabla ya kura,” akasema Bw Nassir. Katika eneo la Bonde la Ufa, kumekuwa na ubabe wa kisiasa kwenye kaunti za Nandi na Bomet huku Gavana Hillary Barchok na Seneta Hillary Sigei wakipigania nafasi ya usemaji wa jamii ya Kipsigis.   You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA NDUBI MOTURI KIONGOZI wa chama cha Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, ameilaumu serikali kutokana na kuongezeka kwa ufisadi kwenye bajeti na kuanza utekelezaji wa vitambulisho vya kidijitali, licha ya hali ngumu ya kiuchumi ambayo nchi inapitia. Bw Musyoka alisema utekelezaji wa mpango huo si muhimu kwa sasa, licha ya kupewa kipao mbele na serikali ya Rais William Ruto. Kiongozi huyo aliema kuwa ufichuzi wa Msimamizi Mkuu wa Bajeti (COB) Margaret Nyakang’o, kwamba amekuwa akilipwa mshahara wake mara tatu zaidi ya kiwango kinachotakikana wakati nchi inapitia hali ngumu, ni ishara kwamba utawala wa Kenya Kwanza umepoteza mwelekeo. “Msimamizi wa bajeti alifika mbele ya Kamati ya Mazungumzo ya Maridhiano na alizungumza kama mtaalamu. Tulimsikiliza kwa makini. Aliwasilisha takwimu, ambapo mambo aliyosema yalituacha katika mshangao. Alisema hakupata ufafanuzi kuhusu sababu ambapo mshahara wake ulizidishwa mara tatu huku, ukilipwa watu wengine, wala si yeye. Tunangoja maelezo kutoka kwa serikali,” akasema Bw Musyoka. Alisema pia Wizara ya Fedha inafaa kujitokeza wazi na kutoa ufafanuzi kuhusu ufichuzi uliotolewa na Bi Nyakang’o kuhusu wizi wa fedha za umma. Akirejelea mazungumzo ya maridhiano yanayoendelea na ambayo ripoti yake inatarajiwa kutolewa wiki chache zijazo, Bw Musyoka alisema kwa mrengo wa Azimio la Umoja bado unashikilia kuwa lazima kuwe na ukaguzi kuhusu uchaguzi wa urais 2022 na kushughulikiwa kwa gharama ya juu ya maisha. Bw Musyoka alionya kwamba muungano huo utachukua hatua ikiwa masuala hayo mawili hayatashughulikiwa. “Nawarai wabunge wasiisaliti nchi. Tunawahitaji watu waadilifu kama msimamizi wa bajeti. Kama Wakenya, msitamauke. Bado hatujapata suluhisho kuhusu yale yaliyofanyika kwenye uchaguzi wa urais mwaka uliopita. Wakenya wanapitia hali ngumu ya kimaisha, lakini serikali ishaanza kampeni za 2027. Tunaendelea na mazungumzo. Ikiwa hawatafanya tunavyowaagiza, mtaona,” akasema. Vile vile, alimlaumu Rais William Ruto kuhusu mipango ya kuanzisha vitambulisho vya kidijitali, akiitaja kuwa kinyume na azma ya Wakenya wengi. “Serikali imesema inataka kuanzisha vitambulisho vya kidijitali. Hiyo ni ishara kwamba nyakati za mwisho zimefika. Wahubiri na viongozi wa kidini wanafaa kujitokeza na kutueleza. Rais Ruto mwenyewe alisema watakuwa wakitumia macho yenu kuwatambua. Eti mtoto wako akizaliwa, atawekwa kidude. Tumekataa hayo,” akaongeza. Bw Musyoka, aliyehudumu kama Makamu wa Rais kati ya 2008 na 2013, alikuwa akihutubu katika Kanisa la Kiadventista la Umoja II, Nairobi, ambapo alikuwa ameandamana na Maseneta na wabunge kutoka Azimio. Wakati wa hafla hiyo, viongozi walisema kuwa gharama ya juu ya maisha ndilo suala linalofaa kupewa kipao mbele kwenye ripoti ya kamati ya mazungumzo ya maridhiano. Walisema kuwa ikiwa hilo halitatimizwa, basi Wakenya wataanza kuandamana tena. Viongozi kadhaa pia walimsifu Bw Musyoka kwa ushujaa wake, wakisema kuwa atakuwa debeni kwenye uchaguzi mkuu wa urais 2027.   You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved

NA MHARIRI
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI