text
stringlengths 3
16.2k
|
---|
Next article |
Wachuuzi wa eneo hatari Londiani walalamikia kuhadaiwa na... |
T L |
Tags |
You can share this post! |
Previous article |
Msichana wa miaka 17 aeleza jinsi mradi wake wa kupanda... |
Next article |
Wachuuzi wa eneo hatari Londiani walalamikia kuhadaiwa na... |
T L |
You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA wanane waliokula njama ya kumlaghai mfanyabiashara Dola za Amerika, USD 36,000 (sawa na Sh5.4 milioni thamanai ya Kenya) wakidai watamsafirishia hadi Dubai kutoka Kenya Dola 4 bilioni (Sh608.8 bilioni), watasalia rumande hadi Jumanne, Novemba 21, 2023 wiki ijayo mahakama itakapoamua hatma yao. Wanane hao, wenye umri kati ya miaka 19 hadi 35 walishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Bi Wandia Nyamu. Wanane hao ni Peter Kisanya Modava, Noah Odhiambo Ouma, Peter Makisi Aura, Kavombo Hean Karenga, Brian Waweru Njoroge, Moses Otieno Oduor, Mercy Cheptoo na Charity Njeri Gachuhi. Washtakiwa hao walidaiwa kati kwamba kati ya Oktoba 24 na Novemba 15, 2023 katika mabohari ya Viraj eneo la Embakasi walikula njama kumlaghai Bw Omid Kharkhaneh Sh5,485,680 wakijifanya wangelimsafirishia USD ($) 4,000,000,000 (Sh608.8 bilioni) kutoka Kenya hadi Dubai. Washtakiwa hao walikabiliwa na mashtaka mengine ya kupatikana na sare za maafisa wa idara ya polisi. Pia walishtakiwa kwa kupatikana na Dola feki, USD 13, 800 (Sh2 milioni). Waliomba mahakama kuachiliwa kwa dhamana. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA STANLEY KIMUGE TAASISI ya Ukaguzi wa ardhi nchini (ISK) imepinga mapendekezo ya serikali kuongeza ada ya ardhi na kuhamisha majukumu ya Tume ya Kitaifa ya Ardhi hadi kwa Wizara hiyo ikiitaja kuwa adhabu kwa raia wa kawaida na ukiukaji wa Katiba. Benki ya Dunia iliunga mkono pendekezo hilo ili kuboresha ukusanyaji wa mapato katika Wizara ya Ardhi. Rais wa ISK Eric Nyadimu ameonya kuwepo kwa athari mbaya kwa uchumi wa nchi. “Si haki kwa umma kwani Wakenya tayari wanalipa ushuru unaotumiwa kutoa huduma hizo,” alisema Nyadimu. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE Rais William Ruto amesalimu amri na kuahirisha uchaguzi wa mashinani wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) hadi 2024, kufuatia mkutano wa Kamati ya Kitaifa ya Uongozi (NSC) ya chama hicho. Kwenye taarifa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (awali Twitter), Katibu Mkuu wa chama hicho Cleophas Malala alisema kuwa chaguzi hizo zimeahirishwa kutoka Desemba 9, 2023. “Sasa chaguzi hizo zitafanyika katika awamu tatu kuanzia Aprili 12, Aprili 19 na Aprili 26, 2024 mtawalia,” akasema. Bw Malala alisema kuwa ratiba kamili kuhusu jinsi chaguzi hizo zitafanyika katika kaunti zote 47 katika tarehe hizo itatolewa baadaye. “Tunawahimiza wagombeaji viti mbalimbali kuendelea kujisajili. Usajili utaendelea hadi saa kumi na mbili jioni Machi 22, 2024,” Bw Malala akatangaza. Kundi na akina mama wafuasi wa UDA juzi walimtaka Rais Ruto kuahirisha chaguzi hizo wakisema Desemba 2023 ni mwezi wa sherehe. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA RICHARD MUNGUTI HUKU mvua ya El Nino ikiendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali nchini, Ukanda wa Pwani umerekodi mvua kubwa zaidi. Athari za mafuriko zimeendelea kupepeta wakazi wa Kaunti za Kwale na Tana River. Usiku wa kuamkia Jumamosi, Novemba 18, 2023 maafisa wawili wa Mamlaka ya Utozaji Ushuru Nchini (KRA) walisombwa pamoja na gari lao muundo wa Land Cruiser. Maafisa hao walikuwa wanatoka katika kituo cha mpakani cha KRA, ambapo walikumbana maafa. Kwa mujibu wa mashahidi, maafisa hao walishauriwa wasithubutu kuvuka mto Ramisi lakini wakakaidi na kuendelea na safari yao katika barabara ya Lunga Lunga –Ramisi. Mashahidi waliambia Taifa Leo Dijitali kwamba safari ya maafisa hao wa polisi ilikatizwa baada ya mwendo usio mrefu. Wao pamoja na gari lao la Serikali (GK), muundo wa Land Cruiser walisombwa na mafuriko. Jitihada za kuwasaka maafisa hao wa KRA ziliendelea usiku wote na Jumamosi asubuhi, miili yao ilipatikana. Aidha, gari hilo lilitolewa Mto Ramisi. Maiti za maafisa hao wa KRA hazijapatikana kufikia sasa, huku oparesheni kuzitafuta ikianza. Kama vile wataalam wamekuwa wakishauri wananchi, ni heri kukaa hadi maji yapungue lakini mmoja anapokaidi ndipo itatimia methali, “sikio la kufa halisikii dawa.” You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA NDUBI MOTURI MGAWANYIKO umezuka miongoni mwa wanachama wa Kamati ya Kitaifa ya Mazungumzo (NADCO) kuhusiana na suala la kupanda kwa gharama ya maisha. Taifa LeO Dijitali imebaini kuwa hali inatishia kusambaratisha mazungumzo hayo ya kuleta mwafaka kati ya wandani wa Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, baada ya kuzimwa kwa maandamano ya kupinga uongozi wa serikali ya Kenya Kwanza. Duru zinasema kuwa kamati hiyo imekubaliana kuhusu kubuniwa kwa Afisi ya Kiongozi Rasmi wa Upinzani na ile ya Mkuu wa Mawaziri (PCS) kushughulikia mwenendo wa “mshindi kuchukua kila kitu”. Baadhi ya wawakilishi wa Azimio katika kamati hiyo sasa wanausukuma muungano wa Kenya Kwanza na jamii ya kimataifa kwa kutumia mazungumzo hayo kuzuia maandamano na kutoa taswira ya kuhalalishwa kwa serikali hii. Kwenye mahojiano na Taifa Leo Dijitali, Katibu Mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni anasema serikali ya Kenya Kwanza haijajitolea kupunguza gharama ya maisha. Anasema kila mara suala hilo linapoibuliwa katika vikao vya Kamati hiyo ya (NADCO) huwa linawekwa kando. “Tumekuwa tukishinikiza kuwa suala la gharama ya maisha lipewe kipaumbele, lakini wamekuwa wakisema kuwa suala hilo linafaa kushughulikiwa na wataalamu. Ni wazi kuwa tuko na serikali ambayo imeshindwa na kazi,” akasema Bw Kioni. Akauliza hivi: “Mbona tuhusishe wataalamu katika masuala ambayo ni ya kisiasa? Ikiwa kweli kamati ina baraza za rais kazi yetu kukubaliana kwa kile kitu na ni kazi ya wataalamu kutekeleza kile tumekubaliana.” Bw Kioni pia alisema kuwa Kenya Kwanza imekataa mjadala kuhusu uingiliaji wa vyama vya kisiasa vya Azimio, huku wanachama wa muungano huo tawala wakikwepa kuhudhuria mikutano na maafisa wa mataifa ya kigeni wanaozuru Kenya. “Kama muungano wa Azimio tulilazimishwa kushiriki mazungumzo hayo na Wakenya pamoja na jamii ya kimataifa. Wakenya walipiga kelele nyingi kuhusu kuvurugwa kwa biashara zao na maafa kutokana na maandamano,” akasema. “Kama Azimio hatutaki kuwachezea shere Wakenya. Tulijipata katika hali ambapo hatungefeli kusitisha maandamana, lakini tulifahamu fika kwamba tulikuwa tukihadaiwa. Tulishiriki mikutano lakini baada ya maafisa kutoka mataifa ya kigeni kuwasili Kenya, wanachama wa Kenya Kwanza walianza kutohudhuria mikutano hiyo,” akasema Bw Kioni ambaye ni mbunge wa zamani Ndaragua. Aidha, alifichua kuwa Kamati hiyo ya Kitaifa ya Mazungumzo inayoongozwa na Kiongozi wa Wengi Kimani Ichung’wah na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka, pia inajadili pendekezo kuhusu kuongezwa kwa muhula wa maseneta kutoka miaka mitano hadi saba. Kauli na Bw Kioni inajiri baada ya kiongozi wa Narc Kenya Martha Karua kutishia kuitisha maandamano ikiwa suala la kupanda kwa gharama ya maisha halitatuliwa. Chama cha ODM pia kimeusuta muungano wa Kenya Kwanza kwa kutoonyesha kujitolea kwake kushughulikia suala la kupanda kwa gharama ya maisha. Kwenye taarifa baada ya mkutano wa kundi la wabunge wa ODM, uliohudhuriwa na Bw Raila Odinga, Katibu Mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna alisema kuwa Kenya Kwanza “inatuzungusha kuhusu suala la kupanda kwa gharama ya maisha.” “Wamekataaa kutueleza ikiwa watachukua hatua tulizopendekeza za kupunguza gharama ya maisha kama vile kuondolewa kwa ushuru wa VAT kwa mafuta na kuondolewa kwa ushuru wa nyumba za kima cha asilimia 1.5 ya mishahara ya wafanyakazi,” akasema Bw Sifuna ambaye ni Seneta wa Nairobi. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA FRANCIS MUREITHI KAMPUNI za kamari zitaadhibiwa vikali iwapo zitakosa kuwatuza washindi wao kwenye mswada mpya unaopendekeza kudhibiti mchezo wa bahati nasibu. Mswada huo wa Kamari 2023 unalenga kuchukua nafasi ya ile ya Bodi ya Kudhibiti na Kutoa Leseni za Kamari (BLCB) ambayo ndiyo imekuwa ikiongoza sekta hiyo. Mswada huo unapendekeza faini ya juu iwapo kampuni hizo zitakosa kuwatuza washindi. Japo kampuni nyingi za kamari zimekuwa zikitamba kibiashara na kuvutia waraibu wa kamari, sekta hiyo imekuwa ikiandamwa na changamoto tele. Kwa kuwa haijakuwa ikidhibitiwa vyema, sekta hiyo imekuwa na mchango hasi kwenye maisha ya wengi, baadhi uwezo wao wa kiuchumi ukisambaratika kabisa. Bw Peter Kairo, 34 ambaye ni mfanyabiashara jijini Nakuru, alikuwa mraibu wa kucheza kamari kiasi kwamba, maisha yake yalisambaratika, akazama kwenye madeni na akawa na matatizo ya kiakili. “Kamari iliharibu maisha yangu kabisa na hakuna kitu ambacho ninaweza kufanya kujizuia,” akasema Bw Kairo. “Mwanzoni, sikuwa na uraibu wa kucheza kamari lakini wakati janga la corona liliathiri nchi, maisha yalibadilika na nikawa na wakati mwingi wa kukaa tu. Hapo ndipo nilizamia kamari kiasi kuwa nimetumbukia katika madeni ambayo naendelea kulipa hadi leo,” akaongeza. Na si Bw Kairo pekee, Wakenya wengi wamekuwa na simulizi za kuatua moyo kuhusu mchezo wa kamari. Iwapo mswada huo mpya utapitishwa, utaweka mikakati ya kulinda wanaoshiriki kamari. Kuna sheria kwenye mswada huo ambao inayopendekeza faini ya Sh20 milioni na kifungo cha miaka 20 kwa kampuni ambazo zinakosa kulipa wacheza kamari wanaoibuka washindi kwenye ubashiri wao. Pia mswada huo unapendekeza ushuru wa asilimia 15 kwenye kampuni ya Kamari, ambao utakuwa ukilipwa tarehe 20 ya kila mwezi. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MHARIRI |
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI |
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI |
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI |
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI |
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI |
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI |
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI |
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI |
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI |
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. |
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI |
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI |
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na BENSON MATHEKA |
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU |
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA |
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA |
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA |
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU |
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA |
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO |
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI |
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA |
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON |
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA |
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na MASHIRIKA |
LONDON, Uingereza |
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB |
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA |
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO |
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU |
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO |
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI |
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde |
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI |
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA |
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU |
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI |
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na KINYUA BIN KINGORI |
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU |
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI |
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA |
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU |
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili. |
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI |
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU |
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA |
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA |
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI |
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO |
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA |
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na... |
Malkia wetu leo ni Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu... |
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na RICHARD MUNGUTI |
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA |
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA |
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI |
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete |
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango |
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA |
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA |
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI |
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU |
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU |
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo |
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA MAUREEN ONGALA |
SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na... NA PETER MBURU |
WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha... Na LEONARD ONYANGO |
HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa... Na BENSON MATHEKA |
Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Na SAMMY WAWERU |
NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,... NA JUMA NAMLOLA |
Subsets and Splits
No saved queries yet
Save your SQL queries to embed, download, and access them later. Queries will appear here once saved.