id
int64
1
26.7k
translation
translation
23,690
{ "dav": "Agha maka ndeghiw'ew'wada modo.", "swa": "Haya makaa hayashiki moto." }
24,302
{ "dav": "Olelwa kavui sa momu na mbua.", "swa": "Amelelewa karibu kama pia na mdomo" }
13,792
{ "dav": "W'andu w'aw'iaja ichochose w'apata sena ndew'ighudaa.", "swa": "Watu wanakula chochote wanachopata lakini hawashibi." }
18,471
{ "dav": "Nganda yadabonya lughuma", "swa": "Ukuta hufanya ufa" }
2,238
{ "dav": "Zighana kiimbiri, kuseghaluke", "swa": "Angalia mbele, usigeuke" }
17,060
{ "dav": "Demeria kutemeria mdi", "swa": "Tulimaliza kukata miti" }
4,985
{ "dav": "Nyerinyeri ridawaka mawinguni.", "swa": "Nyota zinaangaza angani." }
26,355
{ "dav": "Kiw'uzere w'ikacha w'adabia.", "swa": "Uwaambie wakija wanakuwa wakali" }
24,831
{ "dav": "W'eko w'andu w'ijha w'andu.", "swa": "Wako watu wanao kula watu" }
1,078
{ "dav": "Sarigha ikafunywa lwembe idakulindia.", "swa": "Swara akiota pembe hujilinda." }
1,840
{ "dav": "Enda kuwike chumbenyi", "swa": "Nenda uweke chumbani" }
369
{ "dav": "Sharia ya Bwana.", "swa": "Sheria ya Mujgu." }
24,978
{ "dav": "Waiwilwa mbuw'a.", "swa": "Ameibiwa shamba" }
15,530
{ "dav": "ovaa mwana", "swa": "Alilaza mtoto" }
1,777
{ "dav": "Kora taa diwone", "swa": "Washa taa tuone" }
1,329
{ "dav": "Ihii skulu eko na vilamba vya itana sana.", "swa": "Shule hii ina vifaa vya kisasa sana." }
18,866
{ "dav": "Oghosha maghu ghako", "swa": "Osha miguu yako" }
2,077
{ "dav": "Diaisiria agho malagho ghose isanga jighoka", "swa": "Tukitilia maanani hayo mambo nchi itapendeza" }
8,208
{ "dav": "Kasanu kunisonge", "swa": "Ijumaa unisuke" }
20,113
{ "dav": "Ko kala ndederenee voro va nyumbenyi.", "swa": "Kitambo hatukuwa na vyoo vya nyumbani" }
9,394
{ "dav": "Vuo vimanyikie ni Biblia, vuo va malombi na chumbo", "swa": "Vitabu vijulikanavyo ni Biblia, vitabu vya maombi na nyimbo" }
12,856
{ "dav": "Darimisha modo.", "swa": "Tutazima moto." }
1,856
{ "dav": "Kusakebonya kazi ingi ituku ja sabato.", "swa": "Usifanye kazi yeyote siku ya sabato." }
5,937
{ "dav": "Kwaru odesimwa ni nguru mbionyi", "swa": "Sungura alishindwa na kobe mbioni" }
5,515
{ "dav": "Charo chedu chawewoka linu", "swa": "Safari yetu inaanza leo" }
25,296
{ "dav": "Koka na kikunya na ndighi.", "swa": "Una kijicho sana" }
25,709
{ "dav": "Nguku yaw'ew'angiria.", "swa": "Kuku inalalia" }
10,672
{ "dav": "W'ana w'esindasekana.", "swa": "nan" }
18,982
{ "dav": "Nikelegha skulu", "swa": "Nilikataa shule" }
3,801
{ "dav": "Kuwadana ni suti kwa kufanikilwa.", "swa": "Ushirikiano ni muhimu katika kufanikiwa." }
21,267
{ "dav": "Hata kusekemghoria.", "swa": "Ata usimwambie." }
17,157
{ "dav": "Hata iji wachuria kumkotia", "swa": "Hata kama amezidi kumuuliza" }
20,679
{ "dav": "Mosi ghwadanifukia meso", "swa": "Moshi hunisumbuwa macho" }
7,571
{ "dav": "Kwaki kusaw'esikira", "swa": "Mbona hausikii" }
23,656
{ "dav": "Nguku rapo reka irikonyi.", "swa": "Kuku zangu ziko jikoni" }
22,664
{ "dav": "Waw'erughudia sa kii.", "swa": "Anatoa jasho kama nini." }
3,769
{ "dav": "Kushoma ni chia iboiye yejifundisha.", "swa": "Kusoma ni njia bora ya kujifunza." }
2,696
{ "dav": "Woguilwa igare.", "swa": "Alinunuliwa gari" }
557
{ "dav": "Mavuda ndeghipoie.", "swa": "Mafuta ni mabaya." }
10,827
{ "dav": "W'andu w'a mwano na isanga jija jimu w'adeda lugha ifwanane na ya jija isanga jimu.", "swa": "Kikundi kilicho mpakani kinazungumza lugha moja na majirani zao." }
18,991
{ "dav": "Mrongo ina na ikenda", "swa": "Arubaini na tisa" }
10,493
{ "dav": "Dadedanye na w'alimu aighu ya malipo ghaw'o.", "swa": "Tulizungumza na walimu kuhusu mshahara wao." }
25,133
{ "dav": "Waoghia modenyi.", "swa": "Ameogea mtoni" }
23,110
{ "dav": "Neka na Jesu", "swa": "Nikona Yesu" }
13,876
{ "dav": "W'amerie kuara vongo vaw'o na sombe raw'o.", "swa": "Wamemaliza kunyoa vichwa vyao na ndevu zao." }
21,396
{ "dav": "Sikunde kudukwa sa mundu useshomie.", "swa": "Sitaki kubebwa kama mtu hajasoma" }
8,315
{ "dav": "Dawetambwa dijaa kii nyuma", "swa": "Tunashindwa tutakula nini usiku" }
25,848
{ "dav": "W'endameria malagho ghaw'o w'ikazoya chofi.", "swa": "Walipomaliza mambo yao wakarudi kwa pombe" }
18,226
{ "dav": "Kindo chadafunywa kwanza ", "swa": "Kitu hutolewa kwanza" }
15,948
{ "dav": "Mndu uhu nderebonyeghe kaung'a", "swa": "Huyu mtu hakufanya dhambi" }
26,161
{ "dav": "Wendazerwa olemwa nikumeria shughuli odelila.", "swa": "Alipoambiwa alishindwa na kumaliza shughuli alilia" }
9,377
{ "dav": "Sijhie ivo vindo na siviw'onie jhingi!", "swa": "Sijawahi kuvila hivyo vyakula na wala sivijui" }
2,033
{ "dav": "Mao odekuzera kwende kughuo wusiku na wusiku", "swa": "Mama alikuambia uende unununue hiki na hiki" }
19,755
{ "dav": "Mayo oka na lukundo na w'andu.", "swa": "Mama yako anapenda watu" }
12,788
{ "dav": "Otumia matasa kukora modo.", "swa": "Alitumia masakasaka kuwasha moto." }
9,280
{ "dav": "Kwalow'olwa?", "swa": "Umeshaolewa?" }
20,540
{ "dav": "Kusebonye kazi isena mana", "swa": "Usifanye kazi haina faida" }
13,331
{ "dav": "Na manu ikumi na aw'i.", "swa": "Na vidole vya miguu kumi na viwili." }
21,500
{ "dav": "Iruw'a bado ndejineng'enere.", "swa": "Jua bado halijatua" }
13,305
{ "dav": "Okumoni Abo kwavika miaka ilinga?", "swa": "Wewe Baba umefikisha miaka mingapi?" }
9,847
{ "dav": "Kusekefuma nakio", "swa": "Usitoke usiku" }
12,111
{ "dav": "Mwaka ghusirie ghorekoghe ghukurie kwa w'undu ghwa w'ukongo ghwa Korona.", "swa": "Mwaka jana ulikuwa mgumu kwa sababu ya virusi vya corona." }
9,632
{ "dav": "nasikira nyamandu ikidoka", "swa": "Nimesikia mnyama akibweka" }
12,295
{ "dav": "W'ubwaghi ghodiw'a nyamandu ghughirilo.", "swa": "Mauaji haramu ya wanyama yakomeshwe." }
25,381
{ "dav": "Orikwa umoo na ukarulwa.", "swa": "Alizikwa akiwa hai alafu akafukuliwa" }
5,648
{ "dav": "W'ana w'aw'i", "swa": "Watoto wawili" }
13,415
{ "dav": "Kula nyamandu ya isakenyi eko na irina jape.", "swa": "Kila mnyama wa mwituni ana jina lake." }
20,491
{ "dav": "Itanaha oichi w'utoi shuu", "swa": "Anajuwa wizi siku hizi sana" }
15,397
{ "dav": "Makongo ghamu ndeghine maghanga", "swa": "Magonjwa mengine hayana dawa" }
25,253
{ "dav": "Neka mkongo.", "swa": "Niko mgonjwa" }
17,262
{ "dav": "Navika kavui", "swa": "Nimefika karibu" }
21,776
{ "dav": "Kila kilambo agha matuku ni magome", "swa": "Kila kitu siku hizi kimekua hela" }
952
{ "dav": "Chai chapo wele chaenda hao chikoghe anyaa.", "swa": "Chai yangu jamani imeenda wapi na ilikuwa hapa." }
15,998
{ "dav": "Kwa chia yake uo", "swa": "kwa njia yake yule" }
26,440
{ "dav": "Odeghora dikwane kwa w'undu ghwa minga yake.", "swa": "Alisema nikutane kwao kwa sababu ya mahari yake" }
25,328
{ "dav": "Machi ghahia.", "swa": "Maji yamekuwa moto" }
6,315
{ "dav": "Nguwo ra chokwa", "swa": "Nguo nyeupe" }
22,675
{ "dav": "Kamba rapo ra vadu relaghaya", "swa": "Kamba zangu za viatu zilipotea" }
23,654
{ "dav": "Ndokuw'ikie kilambo chingi?", "swa": "Haujaweka kitu chochote" }
1,262
{ "dav": "Wandu wekundikie wijenge kichuku bora.", "swa": "Watu wanapaswa kujenga jamii bora." }
26,336
{ "dav": "Agha matuku w'ana w'amenya w'avi w'aw'o.", "swa": "Sikuizi watoto wanadharau watu wakubwa" }
1,429
{ "dav": "Uhuu muisanga okunda mazingira ghielie.", "swa": "Mzalendo huyu anapenda mazingira safi." }
25,607
{ "dav": "Waghuilwa nguw'o imu.", "swa": "Amenunulia nguo nyingine" }
15,069
{ "dav": "Ikakaia seji simsighagha sena", "swa": "Ilikuwa kama sitamuacha tena" }
7,876
{ "dav": "luingie ngolonyi", "swa": "uingie moyoni" }
9,086
{ "dav": "Ighembe jadawuya igufu", "swa": "Jembe limeisha makali" }
16,391
{ "dav": "Poilwa ngelo rose ra maisha", "swa": "Furahia kila wakati wa maisha." }
4,128
{ "dav": "Waghenyi wa loli ni awaje wikubonyagha kujielelo sa okumoni.", "swa": "Marafiki wa kweli ni wale wanaokufanya ujihisi kama wewe." }
17,159
{ "dav": "Wendasikira malagho agho", "swa": "Waliposikia mameno hayo" }
4,492
{ "dav": " uhu mwai ofwanana ma mae.", "swa": " Msichana huyu anfanana na mama yake." }
10,396
{ "dav": "Daw'ida ni andu kwa mighondi mibaa.", "swa": "Taita ni mahali pa milima mikubwa." }
8,071
{ "dav": "Ng'eche rafwa", "swa": "Komba mwiko wamekufa" }
16,295
{ "dav": "Aba waenda mbuwenyi", "swa": "Baba ameenda shambani" }
5,502
{ "dav": "Pwaru wadaja nyasi", "swa": "Sungura hula nyasi" }
8,826
{ "dav": "Mnyongolo", "swa": "jogoo" }
22,073
{ "dav": "Idime ni ituku japo jefua nguw'o.", "swa": "Lepo ni siku yangu ya kufua nguo" }
2,103
{ "dav": "Iriko jaweaka nicha", "swa": "Jiko linawaka vizuri" }
13,268
{ "dav": "Modo ghwarima danu nandalala.", "swa": "Moto umezimika kwa hivyo naenda kulala." }
13,170
{ "dav": "Ni andu w'ana w'iendasarigha.", "swa": "Ni mahali watoto huenda kucheza." }
14,922
{ "dav": "Kwa mipango yako ya mwaka m'mbishi", "swa": "katika mipango yako ya mwaka mpya." }