text
stringlengths 3
16.2k
|
---|
NA WANDERI KAMAU MAGAVANA George Natembeya wa Kaunti ya Trans-Nzoia na Bi Gladys Wanga wa Kaunti ya Homa Bay, wameorodheshwa kama magavana bora zaidi nchini, kulingana na ripoti iliyotolewa Jumanne na shirika la utafiti la Infotrak. Magana hao, wanaohudumu kwa muhula wa kwanza kila mmoja, walitajwa kuwa bora kwa kuzoa asilimia 70 kila mmoja. Bw Natembeya alichaguliwa kama gavana wa Trans Nzoia kwenye uchaguzi wa mwaka 2022, kuchukua nafasi ya Bw Patrick Khaemba, aliyekuwa amehudumu kwa mihula miwili tangu 2013. Vivyo hivyo, Bi Wanga alimrithi mtangulizi wake, Bw Cyprian Awiti, ambaye pia alikuwa amehudumu kwa mihula miwili mfululizo. Kulingana na ripoti hiyo ya 10-bora, wengine waliotia fora ni: Simon Kachapin (Pokot Magharibi-asilimia 67), Simba Arati (Kisii-asilimia 64), Dkt Irungu Kang’ata (Murang’a-asilimia 64), Jeremiah Lomurkai (Turkana-asilimia 64), Mutula Kilonzo (Makueni-asilimia 64), Wesley Rotich (Elgeyo Marakwet-asilimia 64), Bi Kawira Mwangaza (Meru-asilimia 63), Julius Malombe (Kitui-asilimia 63) kati ya wengine. Utafiti huo pia ulijikita kwenye utendakazi wa magavana katika maeneo wanakotoka. Katika eneo la Bonde la Ufa, Bw Natembeya ndiye aliyeibuka bora. Alifuatwa kwa ukaribu na magavana Simon Kachapin (Pokot Magharibi), Jeremiah Lomurkai (Turkana), Wesley Rotich (Elgeyo Marakwet) na Patrick Ole Ntutu (Narok). Katika eneo la Nyanza, Bi Wanga ndiye aliyeibuka bora, akifuatwa kwa ukaribu na Simba Arati (Kisii) na Profesa Anyang’ Nyong’o (Kisumu). Magharibi, Gavana Ken Lusaka (Bungoma) ndiye aliyeibuka bora, akifuatwa na Wilber Ottichilo (Vihiga) na Fernandes Barasa (Kakamega). Katika eneo la Pwani, Gavana Abdulswamad Nassir (Mombasa) ndiye aliyeibuka bora, akifuatwa na magavana Gideon Mung’aro (Kilifi) na Bi Fatuma Achani (Kwale). Eneo la Kaskazini Mashariki, Gavana Mohamed Khalif (Mandera) ndiye aliongoza, akifuatwa na Nathif Jama (Garissa) na Mohamed Abdullahi (Wajir). Katika eneo la Mashariki, Gavana Mutula Kilonzo Junior (Makueni) ndiye aliongoza, akifuatwa na Kawira Mwangaza (Meru) na Julius Malombe (Kitui). Eneo la Kati, Gavana Irungu Kang’ata (Murang’a) ndiye aliyeorodheshwa bora, akifuatwa na magavana Anne Waiguru (Kirinyaga) na Mutahi Kahiga (Nyeri). Ripoti hiyo, ambayo ilitolewa na Afisa Mkuu Mtendaji wa shirika hilo, Bi Angela Ambitho pia iliwaorodhesha magavana kulingana na vile walivyoboresha utendakazi wao. Magavana hao ni Bi Gladys Wanga (Homa Bay), George Natembeya (Trans Nzoia), Kawira Mwangaza (Meru), Jonathan Lelelit (Samburu) na Julius Malombe (Kitui). Kutokana na matokeo hayo, Bi Ambitho aliwasifia magava wanawake kwa kuwa miongoni mwa wale walioboresha utendakazi wao. Baadhi ya magavana wanawake walioibukia bora ni Bi Wanga, Bi Mwangaza, Bi Waiguru na Bi Achani. “Bila shaka, kilicho wazi ni kuwa magavana wanawake wamedhihirisha wana uwezo wa uongozi na uchapakazi, licha ya changamoto nyingi zinazowakabili,” akasema Bi Ambitho, akirejelea juhudi zinazoendelea Meru, kumwondoa mamlakani Bi Mwangaza. Bi Mwangaza anangoja uamuzi wa Seneti kuhusu hatima yake, baada ya madiwani 59 kati ya 69 katika Bunge la Kaunti ya Meru kupitisha hoja ya kumwondoa wiki iliyopita. Utafiti huo ulifanywa kati ya Julai na Septemba 2023, ambapo jumla ya watu 58,748 katika kaunti zote 47 walihojiwa. Kulingana na Bi Ambitho, watu waliohojiwa katika kila kaunti ni kati ya 619 na 3,400 kulingana na ukubwa wa kaunti husika. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Waziri wa Fedha Henry Rotich atajua hatima ya kesi inayomkabili ya kashfa ya Sh63 bilioni katika ujenzi wa mabwawa ya Arror na Kimwarer mnamo Novemba 14, 2023, mahakama itakapoamua ikiwa yuko na kesi ya kujibu au la. Hakimu mkuu katika mahakama ya kuamua kesi za ufisadi Bi Eunice Nyuttu alitenga siku hiyo baada ya upande wa mashtaka kufunga kesi baada ya kuwaita mashahidi 49. Kati ya mashahidi hao 49, ni mashahidi 15 waliotoa ushahidi. Wale wengine 34 hawakutoa ushahidi ila walifika kortini na viongozi wa mashtaka Geoffrey Obiri na Oliver Muriithi kueleza mahakama, “hatuna maswali kwa mashahidi hawa”. Mabw Obiri na Muriithi pamoja na mawakili wanaowatetea washtakiwa walitakiwa wawasilishe mawasilisho ya ikiwa washtakiwa wataachiliwa ama watasukumwa kizimbani kujitetea. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA RICHARD MUNGUTI MAAFISA watatu wa kampuni ya kununua na kuuza mashamba ya Aimi ma Lukenya (AML) waliokamatwa na kuzuiliwa siku 12 zilizopita kuhusiana na ubomoaji wa majumba ya kifahari eneo la Mavoko, Athi River, Kaunti ya Machakos, wamepata afueni baada ya kuachiliwa kwa dhamana ya Sh100,000 kila mmoja. Julius Mutie Mutua, Pascal Kiseli, na Alex Kyalo Mutemi, waliachiliwa Jumanne alasiri na hakimu mwandamizi Bw Gilbert Shikwe. Bw Shikwe aliwaachilia baada ya kufahamishwa na wakili Joseph Mutava kwamba “haki za washukiwa hao zimekandamizwa na polisi ambao wanawazuilia pasi ishara watakamilisha uchunguzi wa kubaini mmiliki halisi wa shamba hilo ni nani.” Bw Mutava alieleza mahakama kwamba shamba hilo la ekari 4,298 lenye thamani ya Sh14 bilioni lilinunuliwa na wanachama wa AML. Shamba hilo lilinunuliwa kutoka kwa kampuni inayotengeneza saruji ya East Africa Portland Cement (EAPCC). Lakini Mkurugenzi wa EAPCC Oliver Kirubai aliyepiga ripoti alidai shamba hilo la EAPCC lilivamiwa na AML. Hakimu aliombwa na wakili Mutava awaachilie maafisa hao wa AML kwa dhamana kwa vile haki zao za kimsingi zinakandamizwa na polisi ambao wamewaonyesha cheti cha mashtaka mara mbili lakini hawajasomewa kortini. Bw Shikwe alikubaliana na Bw Mutava kwamba mahakama imefedheheshwa na tabia hiyo ya polisi ya kufika kortini kila wakati kuomba agizo washukiwa wazuiliwe kwa muda usiojulikana. Mahakama ilizima hatua hiyo ya polisi kuomba korti izuilie washukiwa bila ya kuwafungulia mashtaka. Hakimu alikubaliana na Bw Mutava kwamba washukiwa hao waachiliwe kwa dhamana kisha wawe wakipiga ripoti kwa afisa anayechunguza kesi hiyo wanapotakiwa. Kiongozi wa mashtaka Judy Koech aliomba korti itaje kesi hiyo Novemba 7, 2023, polisi waeleze ikiwa wamekamilisha uchunguzi au la. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA CHARLES WASONGA HATIMA ya Gavana wa Meru Kawira Mwangaza sasa itaamuliwa kwenye kikoa cha maseneta wote 67. Hii ni baada ya maseneta, wengi wao wakitoka mrengo tawala wa Kenya Kwanza, kutupilia mbali hoja iliyopendekeza kubuniwa kwa kamati maalum ya maseneta 11 kuthibitisha uhalali au mantiki ya mashtaka dhidi ya gavana Mwangaza. Gavana huyo alitimuliwa afisini Jumatano, Oktoba 25, 2023, baada ya madiwani 59 kati ya 69 wa Bunge la Kaunti ya Meru kuunga mkono hoja hiyo. Madiwani 10 walikosa kuhudhuria kikao hicho. Maseneta walifikia uamuzi huu baada ya Spika wa Seneti Amason Kingi kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Spika wa Bunge la Meru Ayub Bundi wenye tuhuma zilizowasilishwa dhidi ya gavana Mwangaza. “Hii ni kuwajulisha kwamba mnamo Jumatano, Oktoba 25, 2023, bunge la Kaunti ya Meru kupitia uamuzi chini ya Kipengele cha 181 cha Katiba ya Kenya, liliidhinisha hoja ya kuondolewa afisini kwa gavana Kawira Mwangaza,” Spika Kingi akasoma kwenye wasilisho lake kwa maseneta Jumanne alasiri. Maseneta waliangusha hoja iliyowasilishwa na Kiranja wa Wachache Ledama Ole Kina ambayo ilipendekeza kubuniwa kwa kamati ya maseneta 11 kuchunguza tuhuma dhidi ya gavana huyo. Maseneta wa Kenya Kwanza wakiongozwa na Kiongozi wa Wengi Aaron Cheruiyot walitaka hatima ya gavana Mwangaza iamuliwe na kamati ya maseneta. Hoja ya kutimuliwa kwa Bi Mwangaza ndiyo ya tatu kuamuliwa katika kamati ya maseneta wote. Mnamo Januari 29, 2020, kamati ya maseneta wote iliidhinisha kutimuliwa afisini kwa aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu almaarufu Baba Yao. Na mnamo Desemba 20, mwaka huo hatima ya aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko pia iliamuliwa kwenye kamati ya maseneta wote. Wadadisi wanasema kuwa gavana huyo ametelelezwa na viongozi wote wa Kenya Kwanza kutoka Meru. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA EVANS JAOLA SERIKALI imetangaza mpango kabambe unaoshirikisha sekta zote muhimu kuhakikisha haitakuwa ikiagiza mahindi kutoka nje ifikapo mwaka 2025. Hatua hii inalenga uzalishaji unaopiku zaidi ya magunia milioni 44 ambayo huhitajika kulisha taifa kila mwaka. Sehemu ya mpango huo ni kuhakikisha upatikanaji wa mbegu bora za mahindi na vile vile vipande vya ardhi ambapo mahindi yanaweza yakapandwa hapo. Ili Kenya kuvuna magunia 44 ya mahindi, inahitaji mbegu magunia 500,000 kiasi ambacho bado ni changamoto. Katibu wa Idara ya Kilimo Dkt Paul Rono amesema serikali inatafuta mbinu bora za matumizi ya ardhi inayomilikiwa na serikali kwa upanuzi wa shughuli za kilimo. Akisema serikali imejiwekea malengo kufikia mwaka wa 2025, Dkt Rono alisema serikali imeagiza kampuni ya Kenya Seed (KSC) kuongeza kiwango cha mbegu za mahindi ambazo imekuwa ikitayarisha. Serikali pia inapanga kuwatafuta wataalamu wa kuwapa wakulima ujuzi na kuwauzia teknolojia za kisasa kupiga jeki kilimo cha mahindi. Katibu hayo kwenye kikao cha kubadilishana mawazo kati ya KSC na Shirika la Ustawishaji wa Kilimo (ADC) katika Mbegu Plaza mjini Kitale, Kaunti ya Uasin Gishu alisema mpango wa nyumba za gharama nafuu tena kwa mpangilio, nao unalenga kuhakikisha ardhi haigawanywi vipande vidogovidogo kila mara. Alisema kugawanya vipande vidogo huathiri kilimo cha mahindi hivyo kufanya iwe vigumu Wakenya kupata chakula cha kutosha. “Serikali inalenga kutumia vizuri jumla ya ekari 1.4 milioni ambazo zinamilikiwa na ADC na pia vipande vingine vya Idara ya Magereza na Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS) kupiga jeki kilimo cha mahindi kufikia hitaji la magunia 44 milioni kila mwaka,” akasema Dkt Rono. Katibu huyo alisema ADC imepeana jumla ya ekari 23,000 kwa KSC kwa uzalishaji wa mbegu za mahindi na kuongeza kwamba serikali imepata ardhi nyingine ya uzalishaji mbegu katika mataifa jirani ambayo ni Tanzania, Uganda na Rwanda. Alikuwa ameandamana na Meneja Mkuu wa ADC Mohammed Bulle na mwenzake wa KSC Sammy Chepsiror. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA LABAAN SHABAAN KAMPUNI ya kutoa huduma za teksi kutumia apu, Bolt, imeamuriwa kumlipa dereva wake zaidi ya Sh1 milioni masaibu yakiendelea kuzonga kampuni hiyo na ile ya Uber. Hii ni baada ya Bolt kuvunja Kanuni ya Kampuni za Usafiri (TNC), Wamiliki, Madereva na Abiria. Sheria hiyo inazuia kampuni zinaoendesha programu za teksi dhidi ya kukata ada zaidi ya malipo yaliyowekwa kisheria. Tukio hili lilishurutisha Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama Barabarani (NTSA) kubatilisha leseni ya Bolt kuhudumu nchini mwaka wa 2023/2024. Jopo la Bodi ya Kutatua Kesi za Leseni za Uchukuzi lilielekeza kampuni hiyo kumlipa Bw Kennedy Wainaina Mbugua malipo ya siku ambazo hakuwa kazini baada ya Bolt kukiuka sheria. Bw Wainaina alituhumu Bolt kwa kumkata pesa kupita kiwango, kumuondoa kwenye apu na kukosa mfumo wa kutatua mizozo kama inavyotakiwa kisheria. Jopo hilo liliamuru Bolt kumrejesha Bw Wainaina katika jukwaa lao na kumrudishia pesa zake zote alizofanyia kazi Mei 17, 2023. Dereva huyo aliondolewa jukwaani Machi 31, 2023, kupitia mchakato ambao haukuzingatia sheria. “Mwisho, tumefahamu kuwa mlalamishi amethibitisha malilio yake kama inavyotakiwa kisheria. Uamuzi wetu ni kuwa mshtakiwa alishindwa kufuata kanuni na kuthibitisha anahudumu kisheria kwa mujibu wa matakwa ya NTSA,” jopo hilo liliamua kuhusu mustakabali wa Bolt. Uber ni kampuni ya Amerika nayo Bolt ni Estonia na zote zilianza operesheni nchini Juni 2015 na 2016 mtawalia. Madereva hawa wameandikia Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama Barabarani (NTSA) kutaka iingilie kati mgogoro huu. Katika barua waliyoandika Oktoba 24, 20243, madevera walisema Bolt na Uber zimekosa kuwajibika kwa mujibu wa kanuni za kuhudumu nchini. “Bolt inaendelea kuhudumu Kenya bila usajili unaofaa kisheria. Uber inakata asilimia 30 ya kuagiza teksi badala ya 18 huku Bolt ikikata asilimia 23,” alisema Bw Wycliffe Alutalala ambaye ni msemaji wa madereva wa sekta ya teksi. Kanuni hizi ziko katika sheria ya 2022 ya Kampuni za Usafiri, Madereva, Abiria na Wamiliki Magari. Sasa, madereva wanataka NTSA ibatilishe leseni zao za kuhudumu za mwaka 2023/2024 zilizotakiwa kuidhinishwa upya Oktoba 27, 2023. “Madereva na wamiliki magari wamekuwa wakihudumu kwa kulazimishwa kwa sababu wao hutia sahihi mikataba bila kusoma kanuni na kuuliza maswali,” alisema Bw Zakaria Johana, Katibu Mkuu wa Muungano wa Madereva wa Teksi. Kadhalika, wamelaumu Bolt na Uber wakisema wamekiuka kanuni ya 14(2). Sheria hii inawahitaji kuhakiki maelezo binafsi ya abiria wanapojisajili kwenye majukwaa yao kidijitali. Bw Alutalala alisema utepetevu huu umehatarisha maisha ya madereva wa teksi na wamiliki. “Hii imesababisha kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara madereva. Tumegundua wateja wamejisajili kwa majina kama ‘Gay, Mosquito, Shetani na kadhalika,” Bw Alutalala alidokeza. Wahudumu wa teksi vile vile wamelalamikia matukio ya kuondolewa kazini bila kusikilizwa kwa tuhuma dhidi yao. Bw Johana alisema madereva walipigwa kalamu bila kufuata kanuni inayotaka taarifa kutumwa hadi NTSA. Alieleza kuwa akaunti za madereva wengi zimefutwa lakini bado majina yao hayajachapishwa kwenye tovuti ya NTSA kama inavyohitajika. Shirika la madereva wa teksi limetisha kuongoza mgomo wa madereva kote nchini kama malalamishi yao hayatasikilizwa. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MHARIRI |
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI |
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI |
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI |
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI |
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI |
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI |
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI |
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI |
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI |
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. |
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI |
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI |
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na BENSON MATHEKA |
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU |
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA |
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA |
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA |
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU |
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA |
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO |
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI |
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA |
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON |
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA |
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na MASHIRIKA |
LONDON, Uingereza |
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB |
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA |
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO |
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU |
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO |
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI |
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde |
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI |
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA |
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU |
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI |
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na KINYUA BIN KINGORI |
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU |
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI |
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA |
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU |
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili. |
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI |
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU |
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA |
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA |
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI |
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO |
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA |
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na... |
Malkia wetu leo ni Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu... |
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na RICHARD MUNGUTI |
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA |
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA |
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI |
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete |
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango |
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA |
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA |
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI |
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU |
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU |
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo |
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA MAUREEN ONGALA |
SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na... NA PETER MBURU |
WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha... Na LEONARD ONYANGO |
HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa... Na BENSON MATHEKA |
Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Na SAMMY WAWERU |
NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,... NA JUMA NAMLOLA |
WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia... NA WANDERI KAMAU |
JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa... NA BENSON MATHEKA |
Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.... NA KIPKOECH CHEPKWONY |
NAIBU Rais Dkt William Ruto Jumatatu amewataka wapinzani wake, akiwemo kinara wa ODM Raila Odinga, kukataa kuungana... NA PAUL WAFULA |
AHADI za kuimarisha uchumi zinazotolewa na Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga zitaongeza matatizo ya... Na CHARLES WASONGA |
WAZIRI wa zamani wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonyesha dalili za kuunga mkono ndoto ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya... Na LEONARD ONYANGO |
WANASIASA sasa wanatumia ahadi hewa kama chambo cha kunasa kura za vijana huku Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na PATRICK KILAVUKA |
Aliyesema ukuona vyaelea jua vimeundwa hakukosea kwani, mfumaji Samuel Ruiru anaamini sindano ya kufuma, gunia la... Na CHARLES ONGADI |
PILIPILI nyingi zinatambuliwa kwa mwasho wake. |
Si kila mtu mwenye uwezo wa kuzitafuna na inabidi utafute maji kwa... Na WINNIE ONYANDO |
BAADHI ya watu hutupa magurudumu baada ya matumizi ya muda ila kwake Joseph Mwaniki, 33, gurudumu lililotumika bado... Na WINNIE ONYANDO |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.