text
stringlengths 3
16.2k
|
---|
It looks like nothing was found at this location. Maybe try one of the links below or a search? Try looking in the monthly archives. 🙂 © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
It looks like nothing was found at this location. Maybe try one of the links below or a search? Try looking in the monthly archives. 🙂 © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na CHARLES WASONGA SENETA wa Murang’a Irungu Kang’ata ameungama kwamba mgawanyiko miongoni mwa viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo ndio huenda ulisababisha Rais Uhuru Kenyatta kufutulia mbali ziara yake Jumapili. Akiongea katika studio za runinga moja ya humu nchini Jumatatu asubuhi, Bw Kang’ata pia alizungumzia kuahirishwa kwa ziara ya Naibu Rais William Ruto katika kaunti hiyo siku hiyo hiyo ya Jumapili. Bw Kang’ata alisema ziara ya viongozi hao wawili ilipangwa na makundi tofauti ya viongozi na hakuna kundi lililojulisha jingine. “Makundi haya tofauti yalipanga mikutano hii, bila kushauriana kwa sababu yanatofautiana kisiasa. Viongozi waliopanga mkutano wa Rais ni wale wanaunga mkono muafaka kati yake na kiongozi wa ODM Raila Odinga na wale waliopanga ziara ya Dkt Ruto wanapinga muafaka huu huku wakipigia debe azma yake ya kuingia Ikulu 2022,” akasema Bw Kang’ata. Rais Kenyatta aliahirisha ziara yake dakika za mwisho Jumapili na badala yake akawatuma mawaziri watatu; Fred Matiang’i (Usalama wa Ndani), Joe Mucheru (ICT) na James Macharia (Uchukuzi) kumwakilisha. Alikuwa amepangiwa kuhudhuria ibada ya Jumapili katika Kanisa la Kianglikana (ACK) la Kenol, eneobunge la Maragua, na baadaye kuongoza harambee katika kanisa hilo. Naye Dkt Ruto alikuwa amepangiwa kuhudhuria ibada ya Jumapili katika eneo bunge la Kandara kwa mwaliko wa mbunge wa eneo hilo Esther Wahome. Lakini kulingana na Seneta Kang’ata, ziara ya Rais Kenyatta Murang’a Jumapili ilianza kupangwa mwezi Machi mwaka huu. “Tulikuwa tumeenda Ikulu ya Nairobi kupokea basi la shule moja ndipo tukamwomba Rais atutembelee. Tulikuwa viongozi wengi kutoka Kaunti ya Murang’a,” akaeleza. Bw Kang’ata alisema walipata thibitisho, kuhusu ziara ya Rais Kenyatta, mnamo Alhamisi. “Lakini tulipata habari dakika za mwisho Jumapili kwamba rais hangeweza kufika,” akasema. Hata hivyo, Bw Kang’ata alikana madai kuwa Rais Kenyatta anajitenga na watu wa Murang’a akisema serikali ya Jubilee imetekeleza miradi mingi zaidi yenye manufaa kwa wakazi. “Miradi mingi ambayo serikali imetelekeleza katika kaunti yetu ya Murang’a ni thibitisho tosha kwamba Rais Kenyatta anawathamini zaidi,” akasema. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA AFP VIONGOZI wa upinzani nchini Bolivia Jumapili walivamia kituo cha runinga na kile cha redio, vyote vinavyomilikiwa na serikali na kuvikomesha kupeperusha matangazo hewani. Hayo yalijiri huku uhasama wa kisiasa ukiendelea kutanda nchini humo. Uhasama huo umechochewa na vuta ni kuvute kuhusu matokeo ya uchaguzi wa urais ambapo Rais wa sasa Evo Morales alitangazwa mshindi mwezi uliopita. Waandamanaji ambao ni wafuasi wa kiongozi wa upinzani Carlos Mesa, ambaye pia aliwahi kuwa rais, walivamia runinga ya Bolivia TV na kituo cha redio ya Patria Nueva kueleza ghadhabu yao kwamba vituo hivyo vimekuwa vikiegemea upande wa Rais Morales. Kulingana na mkurugenzi wa kituo cha redio cha Patria Nueva, Ivan Maldonado, waandamanaji hao waliwafurusha watangazaji hao na kuwaamrisha waondoke baada ya kupokeo jumbe za vitisho katika siku za nyuma. Wafanyakazi zaidi ya 40 walionekana wakiondoka kwenye vituo hivyo huku waandamanaji waliokuwa nje wakiwamiminia kila aina ya matusi vituo hivyo vikiruhusiwa kucheza muziki pekee. Tukio hilo lilikuwa kisa cha hivi punde kudhihirisha kero ya upinzani ambao unalalamikia udanganyifu kwenye uchaguzi huo uliompa Rais Morales nafasi ya kuongoza kwa muhula wa nne. Rais Morales naye alishtumu kitendo cha uvamizi wa vituo hivyo, akisema wameonyesha kwamba hawaheshimu demokrasia. “Wanasema wanapigania demokrasia lakini wanajifanya kwa kuwa vitendo vyao vinaonyesha udikteta. Pia wamevamia redio inayomilikiwa na Muungano wa wakulima,” akaandika kwenye ukurasa wake wa Twitter. Mapema jana, Rais huyo alikuwa ametoa wito kwa viongozi wa upinzani wakubali kufanya mazungumzo naye ili waafikiane jinsi taifa hilo linaweza kusonga mbele na kumaliza visa vya utovu wa usalama vinavyotekelezwa na waandamanaji. Hata hivyo, Mesa alikataa kuridhia ombi hilo akisema hawana chochote cha kuzungumza na Rais huyo wanayedai aliwaibia kura zao. Uwezekano wa Rais huyo kuendelea kusalia mamlakani unaendelea kuwa finyu baada ya mgawanyiko kuanza kushuhudiwa kwenye vitengo vya polisi huku baadhi waliokuwa wakilinda afisi yake wakiondoka Jumamosi. Ni maafisa wachache tu ndio walisalia kutoa ulinzi kwenye afisi hizo kufikia jana, ishara tosha kwamba hii huenda ikawa mwanzo wa kuporomoka kwa utawala wake. Viongozi wa upinzani nao wametoa wito kwa jeshi la taifa hilo kufuata nyayo za polisi hao huku wakisisitiza kwamba uchaguzi huru ndio utatuliza mambo nchini humo. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

Na NDUNGU GACHANE HATUA ya Rais Uhuru Kenyatta kufutilia mbali ziara yake katika Kaunti ya Murang’a dakika za mwisho Jumapili iliibua maswali mengi, huku baadhi ya viongozi wakipuuzilia mbali sababu zilizotolewa na Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i aliyetumwa kumwakilisha. Mbunge kutoka eneo hilo alisema ziara iliyopangwa na Rais ilifanya naibu wake, Dkt William Ruto kufutilia mbali hafla aliyopanga katika kaunti hiyo hiyo kwa kuwa wangeonekana kuwa washindani wa kisiasa. Ziara ya Rais ilikuwa imesubiriwa kwa hamu kwani wakazi na viongozi wa Mlima Kenya hulalamika kwamba Rais amewasahau tangu alipoingia mamlakani 2017, na huenda tu maeneo hayo kuhudhuria harusi au mazishi. Wakazi walikuwa tayari wamewasili katika Kanisa la ACK Dayosisi ya Mlima Kenya Kusini, mapema kuanzia saa moja asubuhi kwani walijua hawangeruhusiwa kuingia baada ya Rais aliyetarajiwa kuhudhuria ibada katika kanisa hilo kufika. Kufikia saa moja unusu, polisi na walinzi rasmi wa Rais walikuwa wamewasili mahali hapo kuanza kupekuapekua na wengine wakasimama pembe tofauti za kanisa. Baadhi yao walichukua usukani katika mkahawa wa nyama choma ulio karibu. Maafisa wakuu wa utawala wa serikali katika kaunti hiyo akiwemo Kamishna wa eneo la Kati, Bw Wilfred Nyagwanga, na wakuu wa idara ya kitaifa ya ujasusi pia walikuwepo. Wanasiasa wakiongozwa na Mbunge wa Maragua Mary Waithira, Peter Kimari (Mathioya), Muturi Kigano (Kangema), Isaac Mwaura (Seneta Maalumu) na Job Weru (Mathira) walikuwa tayari kumlaki Rais. Lakini ilipotimia saa nne unusu, baadhi ya walinzi wa Rais walianza kuondoka, hali iliyofanya wananchi waliokuwepo waanze kuchanganyikiwa kuhusu kilichokuwa kikiendelea. Karibu dakika 30 baadaye, magari mawili yaliwasili yakiwa yamebeba Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i, mwenzake wa barabara James Macharia na wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) Joe Mucheru. Dkt Matiang’i alidai Rais amepokea wageni waliokuja nchini kuhudhuria Kongamano la Kimataifa la Idadi ya Watu na Maendeleo (ICPD) ambalo litaanza hapo kesho Nairobi. “Mnajua jinsi Rais anavyowaenzi na anavyopenda kuwa nanyi, lakini alikuwa anatarajia wakuu wa mataifa ya nje. Ameahirisha ziara yake lakini atajumuika nanyi kwa ibada katika kanisa hili kabla azindue upanuzi wa barabara ya Kenol-Sagan-Marua mwaka ujao,” akasema. Hata hivyo, viongozi waliohojiwa na Taifa Leo, ambao waliomba wasitajwe walisema hiyo ni sababu hafifu isiyoaminika. “Hicho ni kisingizio tu cha kutotaka kututembelea. Alijua mapema sana kutakuwa na wakuu wa nchi za kigeni ambao watazuru nchini. Ninamlaumu kwani alisababisha Naibu Rais kufutilia mbali ziara yake. Inahuzunisha sana,” akasema mmoja wa wabunge. Wengine walisema kuna uwezekano ziara hiyo ingetilia shaka msimamo wake wa kupinga siasa za mapema kwani ingeonekana kama anashindania nafasi na naibu wake Mlima Kenya. “Pengine aliona ni vyema asubiri hadi wakati atakujia masuala ya maendeleo pekee,” akasema kiongozi mwingine wa kisiasa. Dkt Matiang’i aliwasilisha Sh2 milioni kutoka kwa Rais, na kila waziri akatoa mchango wa Sh1 milioni. You can share this post! Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |

NA MHARIRI |
BAADHI ya shule nchini zimejitokeza na kupinga matokeo ya Mtihani ya Darasa la Nane (KCPE) yaliyotangazwa Jumatano na Waziri... NA MHARIRI |
SERIKALI za kaunti zitalazimika kutafuta mbinu za usimamizi wa fedha iwapo magavana wanataka kujitolea kutimiza ahadi zao kwa... NA MHARIRI |
KILA Juni 14, ulimwengu huadhimisha Siku ya watu kuchangia damu duniani. Mwaka huu, kaulimbiu ilikuwa “Utoaji damu ni suala... NA MHARIRI |
UCHAGUZI mkuu wa Agosti 9 ulikuwa wa kipekee kwa jinsi ulivyokuwa na ushindani mkali kuliko mwingineo wowote ambao umewahi... NA MHARIRI |
MNAMO Ijumaa Rais William Ruto alipozuru eneo la Magharibi mwa Kenya, alisisitiza ahadi yake ya kuhakikisha kuwa viwanda vya... NA MHARIRI |
TANGAZO la Benki Kuu ya Kenya (CBK) kwamba wateja wataanza kutozwa ada ya kutoa pesa kutoka kwa benki hadi simu zao linajiri... NA MHARIRI |
RIPOTI ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali inayoonyesha kuwa mabunge ya kaunti yanapitisha bajeti kiholela bila kuhusisha... NA MHARIRI |
MKOPO wa Hustler Fund ulioanza kutolewa kwa wananchi wenye uwezo mdogo kimapato mnamo Jumatano huenda usiwafaidi raia jinsi... NA MHARIRI |
UZINDUZI wa Hazina ya Hustler jana Jumatano sasa unawapa matumaini mamia ya mama mboga, wanabodaboda na wafanyibiashara ndogo... NA MHARIRI |
HATUA ya serikali kuondoa marufuku dhidi ya mahindi ya GMO imezua mjadala mkali nchini. |
Suala la GMO limetekwa nyara na... NA MHARIRI |
KWA wiki chache sasa, kumekuwa na wasiwasi katika baadhi ya sehemu za nchi kuhusu homa ambayo inaonekana kuenea kwa... NA MHARIRI |
RIPOTI kwamba wabunge, kupitia Tume ya Huduma ya Bunge (PSC), wanataka kushinikiza Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC)... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na BENSON MATHEKA |
NAIBU wa Rais William Ruto atatumia muungano ‘ulioundwa’ mwaka 2021 na kiongozi wa Amani National Congress (ANC)... Na WANDERI KAMAU |
Naibu Rais William Ruto na waandani wake wameapa kufanya kila wawezalo kulemaza juhudi za Kiongozi wa ODM, Raila Odinga... Na CHARLES WASONGA |
WABUNGE wandani wa Naibu Rais William Ruto jana walifaulu kuzuia kupitishwa kwa Mswada tata wa marekebisho ya Sheria... BRIAN OCHARO na VALENTINE OBARA |
UBABE wa kisiasa kati ya Kiongozi wa ODM, Bw Raila Odinga, na Naibu Rais William Ruto katika Kaunti ya... Na CHARLES WASONGA |
HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za... Na WANDERI KAMAU |
SUALA lililozua gumzo wiki hii ni majibizano yaliyozuka kati ya mrengo wa Naibu Rais William Ruto na mwanasiasa Maina... Na JUSTUS WANGA |
GAVANA wa Meru Kiraitu Murungi amekiri kwamba umaarufu wa Naibu Rais William Ruto umekita mizizi zaidi katika eneo la... Na CECIL ODONGO |
INASIKITISHA kuwa Naibu Rais Dkt William Ruto na Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa wanalitumia suala la msitu wa Mau kwa... Na WYCLIFFE NYABERI |
NAIBU Rais Dkt William Ruto amemshambulia Rais Uhuru Kenyatta huku akisema ataondoka mamlakani bila kulipa deni la... Na CHARLES WASONGA |
NAIBU Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga wanaonekana kuendeleza mbinu za kampeni za kulambana visigino... Na IAN BYRON |
HATUA ya Gavana Okoth Obado kujihusisha na siasa za chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Naibu Rais, Dkt William... BENSON MATHEKA NA CHARLES WASONGA |
?WASHIRIKA wa Naibu Rais William Ruto wamegeuka kupe kwa ‘ kufyoza mamilioni ya fedha anazoyapa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na MASHIRIKA |
LONDON, Uingereza |
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, jana alitangaza masharti makali kudhibiti maambukizi ya... Na ELIZABETH MERAB |
WANASAYANSI wanachunguza kuhusu mchipuko wa virusi vipya vya corona aina ya Delta, katika nchi za Amerika, Uingereza,... Na MAUREEN ONGALA |
MASAIBU ambayo wagonjwa wa Covid-19 hupitia katika kaunti za Pwani, yameanikwa wazi baada ya kifo cha afisa mkuu wa... SIAGO CECE na ANTHONY KITIMO |
UFISADI miongoni mwa baadhi ya maafisa wa serikali katika mpaka wa Kenya na Tanzania, umezidi kuwaweka... Na WAANDISHI WETU |
WINGU la maangamizi limetanda kote nchini huku aina mpya ya corona maarufu kama 'Delta' ikiua watu kwa... Na WINNIE ONYANDO |
HUENDA visa vya wasafiri kulazimishwa kupima upya corona mpakani mwa Kenya na Tanzania vikakoma baada ya serikali hizo... NA WANGU KANURI |
AGIZO la serikali la kudhibiti mkurupuko wa ugonjwa wa corona mwaka jana limewashurutisha Wakenya wengi kufanyia kazi... Na Titus Ominde |
VIONGOZI wa kidini Kaskazini mwa Rift Valley (North Rift) wameshutumu wanasiasa kwa kupepeta usambazaji wa virusi vya... Na WANTO WARUI |
Huku wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiripoti katika shule zao mpya za sekondari hii leo, kuna uwezekano wa maambukizi... Na CHARLES WASONGA |
NAKUBALIANA na kauli ya maafisa wa afya katika kaunti ya Nairobi kwamba wanasiasa ndio wanachochea ongezeko la visa... Na SAMMY WAWERU |
DICKSON Muceri amekuwa mkazi wa Nairobi kwa muda wa miaka kadhaa ila sasa kitovu hicho cha jiji kuu la nchi hakikaliki... Na MARY WANGARI |
WANASAYANSI wamethibitisha kuwa kuchelewesha upokeaji dozi ya pili ya chanjo ya Covid-19 kwa kiasi cha miezi 10 baada ya... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na KINYUA BIN KINGORI |
WAKATI huu viongozi wa kisiasa wameanza mapema kampeni zao kwa kuzuru maeneo mbalimbali nchini, ili kushawishi... Na WANDERI KAMAU |
KULINGANA na Ripoti ya Jaji Mstaafu Akilano Akiwumi (1997) kuhusu chimbuko la ghasia za kikabila nchini, wanasiasa ndio... Na WANTO WARUI |
KWA mara nyingine tena tuzo inayoenziwa sana kote ulimwenguni imerudi katika eneo letu la Afrika Mashariki mara hii... Na DOUGLAS MUTUA |
MWAFRIKA akiwajibishwa na Mzungu hupiga kamsa na kudai anaonewa, ati msingi wa maonevu ni ubaguzi wa rangi... Na WANDERI KAMAU |
MOJA ya changamoto kuu zinazokikumba kizazi cha sasa nchini ni ukosefu wa ufahamu wa lugha zao asili. |
Ingawa lugha... Na KINYUA BIN KINGORI |
JUHUDI za kuhakikisha taifa limefanikiwa kupiga vita ufisadi lazima ziendeshwe kuambatana na Katiba, bila njama... Na WANDERI KAMAU |
UFICHUZI wa sakata ambapo watu maarufu duniani wamekuwa wakificha mabilioni ya fedha katika akaunti za siri ng’ambo... Na FAUSTINE NGILA |
NINA imani kuwa iwapo kufikia sasa hujawahi kuelewa teknolojia ya blokcheni, leo utaelewa kwa kuwa jana uliathirika... Na CHARLES WASONGA |
NI jambo la kusikitisha kuwa ni wakati kama huu ambapo uchaguzi mkuu unakaribia ndipo wanasiasa wametambua umuhimu wa... Na MARY WANGARI |
IDADI ya watu wanaoandaa hafla za uchangishaji pesa za kugharamia matibabu imeongezeka pakubwa katika siku za hivi... Na CECIL ODONGO |
CHAMA cha Kanu bado kina safari ndefu kurejelea umaarufu wake wa enzi za utawala wa chama kimoja na miaka ya 90 hata... Na CHARLES WASONGA |
UTEUZI wa waliokuwa maafisa wanne wa ngazi za juu katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kushikilia nyadhifa... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Naomi Wamboi, 21, ndiye anatupambia yeye ni mwanamitindo aliyewahi kushinda tuzo za Miss Nakuru. Akipata muda anapenda kusafiri na... Winnie Miriam Nechesa 21, ni mwanafunzi kutoka Chuo Kikuu Cha Maasai Mara kaunti ya Narok.Anapenda kuchora, na kujumuika na... Lilian Njeri mwenye umri wa miaka 21 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mwanamitindo na mkaazi wa Narok.Uraibu wake ni kusafiri na... Mary Njeri mwenye umri wa miaka 21 ni mkaazi wa mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru.Yeye ni mwanafasheni wa mapambo na vipodozi.Uraibu wake... Marylene Watiri mwenye umri wa miaka 22 ni mtaalam wa Beauty Therapy jijini Nairobi, aidha yeye ni mwanamitindo na mlimbwende.Uraibu wake... Zaweria Njoki mwenye umri wa miaka 21 ni Video Vixen kutoka kaunti ya Nakuru.Uraibu wake ni kuandika makala ya kitaaluma na kujumuika na... |
Malkia wetu leo ni Babra Ingasiani mwenye umri wa miaka 21, yeye ni mzaliwa wa kaunti ya Kakamega.Uraibu wake ni kusakata densi ya... Pauline Kimani mwenye umri wa miaka 23 ndiye anatupambia jarida letu leo.Yeye ni mkaazi wa eneo la Lanet na mfanyikazi mjini Nakuru.Uraibu... |
Sayfer Godez ni mkaazi wa Nakuru .Anapenda kushiriki kwenye majukwaa ya mapambo na urembo.Uraibu wake ni kusafiri na kujumuika na... Sylvia Wangeci 23 ni mzaliwa wa Molo, na mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha MKU tawi la Nakuru.Uraibu wake ni kusafiri na... Mical Abulatsia Imbukwa, 28, ni mwanahabari katika shirika moja jijini Nairobi. Uraibu wake ni kutazama filamu za Afro sinema na kujumuika... Faith Karungari mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafasheni na mwanamitindo maarufu kutoka Nakuru.Uraibu wake ni kuogelea na kusikiliza muziki... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na RICHARD MUNGUTI |
MAHAKAMA ya Juu jana ilianza kusikiza rufaa ya mpango wa kubadilisha katiba (BBI) huku Mwanasheria Mkuu Bw Paul... Na BENSON MATHEKA |
RAIS Uhuru Kenyatta jana Jumapili alisema kuwa ndoto yake ya kubadilisha katiba ya Kenya iliyopitishwa 2010 kupitia... Na CHARLES WASONGA |
KWA mara nyingine Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa mageuzi ya katiba yaliyopendekezwa katika Mswada wa Mpango wa... Na JOSEPH WANGUI |
Mwanasheria Mkuu, Paul Kihara Kariuki hatimaye amewasilisha rasmi rufaa katika Mahakama ya Juu kupinga uamuzi wa... Na Gitonga Marete |
KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango... Na Leonard Onyango |
NAIBU wa Rais William Ruto amewataka wabunge kujadili masuala nyeti yanayoathiri Wakenya badala ya kujaribu kufufua... Na CHARLES WASONGA |
JUHUDI za wabunge wanaoegemea mrengo wa Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa ODM Raila Odinga kutumia bunge kupitisha... Na WALTER MENYA |
JUHUDI za kuokoa mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia mpango wa maridhiano (BBI) zimefikishwa rasmi katika Mahakama... Na FRANCIS MUREITHI |
KUSAMBARATIKA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) kumefifisha pakubwa ushawishi wa kisiasa wa mwenyekiti wa Kanu,... Na WANDERI KAMAU |
KUHARAMISHWA kwa Mpango wa Kubadilisha Katiba (BBI) na Mahakama ya Rufaa kunatarajiwa kutoa mwelekeo mpya kwa siasa za... Na WANDERI KAMAU |
NAIBU Rais William Ruto jana alimtaka Rais Uhuru Kenyatta kurejelea miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na Jubilee, baada... Na Cecil Odongo |
BAADA ya Mahakama ya Rufaa kukubaliana na uamuzi wa mahakama kuu wa kuzima mswada wa Mpango wa Maridhiano (BBI) Ijumaa,... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
NA MAUREEN ONGALA |
SERIKALI ya kaunti ya Kilifi imeonya wamiliki wa maeneo ya burudani wanaocheza muziki kwa sauti ya juu bila kuwa na... NA PETER MBURU |
WAKENYA wanazidi kulishwa ahadi butu na wagombeaji wakuu wa urais, hasa Raila Odinga na William Ruto kuhusu jinsi maisha... Na LEONARD ONYANGO |
HOFU ya kuangushwa kwenye mchujo na wawaniaji chipukizi imesukuma baadhi ya wanasiasa kung’ang’ania wakuu wa... Na BENSON MATHEKA |
Maisha ya kisiasa ya kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga yamebadilika pakubwa uchaguzi mkuu wa mwaka ujao... Na SAMMY WAWERU |
NI rasmi sasa kiongozi wa ODM, Raila Odinga atakuwa debeni kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao,... NA JUMA NAMLOLA |
WIKI hii hapa katika meza ya habari ya Taifa Leo tuliangazia mambo ambayo wanasiasa wote waliojitokeza kutamani uraia... NA WANDERI KAMAU |
JE, taswira ya urais wa kiongozi wa ODM, Raila Odinga, itakuwa vipi ikiwa ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa... NA BENSON MATHEKA |
Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.... NA KIPKOECH CHEPKWONY |
NAIBU Rais Dkt William Ruto Jumatatu amewataka wapinzani wake, akiwemo kinara wa ODM Raila Odinga, kukataa kuungana... NA PAUL WAFULA |
AHADI za kuimarisha uchumi zinazotolewa na Naibu Rais William Ruto na Kiongozi wa ODM Raila Odinga zitaongeza matatizo ya... Na CHARLES WASONGA |
WAZIRI wa zamani wa Kilimo Mwangi Kiunjuri ameonyesha dalili za kuunga mkono ndoto ya kiongozi wa ODM Raila Odinga ya... Na LEONARD ONYANGO |
WANASIASA sasa wanatumia ahadi hewa kama chambo cha kunasa kura za vijana huku Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022... Be our fan Follow us Join us Subscribe our newsletter to stay updated © Copryright 2023 Taifa Leo. All Rights Reserved |
Na PATRICK KILAVUKA |
Aliyesema ukuona vyaelea jua vimeundwa hakukosea kwani, mfumaji Samuel Ruiru anaamini sindano ya kufuma, gunia la... Na CHARLES ONGADI |
PILIPILI nyingi zinatambuliwa kwa mwasho wake. |
Si kila mtu mwenye uwezo wa kuzitafuna na inabidi utafute maji kwa... Na WINNIE ONYANDO |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.